#Neno....UCHOVU NA NJAA HATARI! Mwanzo 25:29-34...Kuna uchovu ambao Mungu asipokusaidia adui atatumia kukuangamiza. Leo nakuombea nguvu mpya ili usije ukafanya maamuzi yasiyo na hekima. Receive new strength! Tukutane Galilaya! #nurunaevahmwalili#nurunaevahmwalili
#Neno....MUDA WA KUFICHWA UMEKWISHA! Kutoka 2:1-3....Baada ya miezi mitatu, mamake Musa hangemficha tena, ilibidi amtoe nje. Vivyo hivyo muda wako wa kufichwa umefika mwisho, kwa nguvu ya msalaba, mwezi huu wa Aprili na kuendelea, onekana! Tukutane Galilaya!
#nurunaevahmwalili