Leo irani kapigwa vibaya sana leo ni siku ambayo irani imekuwa ndefu sana kwao
Wame shambuliwa kila maeneo mhimu na hiyo imefanyika nchi nzima
Viongozi wao wameuliwa marekani ndio wazazidi kuukalimbia Mlango-Bahari wa Hormuz
Muda wowote jambo lolote litatokea irani
BIBI NETANYAHU CONFIRMED A LIVE
Benjamin Netanyahu anaendelea na majukumu yake ya kawaida na kuifanya vizuri kazi yake.
Huu uvumi unao endelea ni wa vyombo vya habari vya irani tu hakuna chochote kilicho mpata BIBI
Iran wamesha muongopa kwa ambayo anaendelea kuyafanya huko
Umeweza kuondoa viongozi wa Iran wasio pungua 78 mpaka sasa
Dunia inahitaji watu kama BENJAMIN NETANYAHU.
Mwanamke aitwaye Juliana Gregory Temu (31) Mkazi wa Mabwepande Jijini Dar es saalam amemuomba Rais Dkt. Samia, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima, Wadau wa kutetea haki za Binadamu na Wasamaria wote kumsaidia ili ampate Mtoto wake Purity Anthony Njau (11) ambaye alichukuliwa mikononi mwake na Mzazi mwenzake aitwaye Anthony Regani Njau (30) tangu mwaka 2021 na Mtoto huyo amepewa Mama mmoja ambaye amemuasili (adopt) na kumgeuza Mtoto wake huku Mama mzazi akidanganywa kuwa Mtoto yupo masomoni Marekani wakati yupo hapahapa Dar es salaam.
Mwandishi wa @AyoTV_, Bakari Chijumba amefika Mabwepande anapoishi Juliana na kuongea na Mwanamke huyo ambaye amesimulia jinsi Mzazi mwenzake alivyomchukua Mtoto mikononi mwake mwaka 2021 na baadaye kudai Mtoto ameenda kusoma nchini Marekani hadi mwaka huu Familia ya Juliana ilipofuatilia na kubaini Mtoto yupo hapahapa Dar es salaam ingawa Marekani anaendaga tu kutembea wakati wa likizo.
“Mwezi January mwaka huu tumekwenda Ustawi wa Jamii na dawati la jinsia Polisi wakatusaidia nikaenda Shule anaposoma Mwanangu kumuona nimeumia Mtoto hanikumbuki kabisa kuwa Mimi ni Mama yake, hili jambo limenisababishia hadi niugue msongo wa mawazo (Depression) nikapelekwa Hospitali, kwa sasa tumeambiwa twende Mahakamani ila naumia Mtoto wangu mwenyewe kwanini niteseke, Rais Samia, Waziri Gwajima, Watanzania mnisaidie”
#MillardAyoUPDATES
@AmericanForce_ This is war, do you think they have been taken to Iran to dance in night club. There is going to be nothing to fear because they have gone to war
Huwa nashangaa mange anavyo wafurahia Marekani ambao kazi Yao ni kupiga mataifa ya watu wasepe na mafuta, sijui huku ndio kupigania Haki.!!
Ila wana siasa🙌
@Binamu01 Umeleta hoja mezani hivyo usikimbie maswali. Hao single mothers wamezalishwa na nani wanaume au wanyama?
Kama wamezalishwa na wanaume iweje kosa lionekane kwao?? Sitetei kuoa single mother ila kuonesha kua hilo ni tatizo Lao pekee sio sawa.
@godbless_lema Ni sawa na kusema utawala wa Nazism chini ya hitler ulitoka kwa mungu, benito musollin ulitoka kwa mungu, yaliyofanyika south africa chini ya mkaburu yalitoka kwa mungu,. N.k tusitumie vibaya tafsiri za maandiko
Warumi 13:1 inasema kwamba “hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu,” lakini kifungu hiki mara nyingi hutumiwa vibaya kuhalalisha utawala dhalimu. Kitaaluma na kidini, ni muhimu kutofautisha kati ya kanuni ya mamlaka inayotoka kwa Mungu na tabia ya watawala, ambayo haimaanishi kuwa kila kiongozi anaungwa mkono na Mungu.
Paulo alimaanisha kwamba mpangilio wa mamlaka ni wazo la Mungu kwa ajili ya haki na utaratibu, si kwamba kila serikali iliyo madarakani ni takatifu. Maandiko yanathibitisha wazi kuwa Mungu hakukubali utawala dhalimu. Katika Agano la Kale, Farao alikemewa na kupingwa na Musa kwa sababu ya ukandamizaji wa Waisraeli. Nabii Samweli alimkemea Mfalme Sauli kwa ukaidi na kutotii maagizo ya Mungu. Nabii Eliya alipinga kwa uthubutu utawala wa Ahabu na Jezebeli kutokana na dhuluma zao dhidi ya maskini. Vivyo hivyo, Manabii Isaya, Yeremia, Amosi na Mika walikemea wafalme na viongozi waliopotosha haki, walionyanyasa wanyonge, na waliotumia mamlaka kwa faida binafsi.
Kwa hiyo, Warumi 13:1 haipaswi kutumika kama ngao ya kuhalalisha serikali dhalimu. Mamlaka inayotoka kwa Mungu ni ile inayodhihirisha haki, uadilifu na wema. Kanisa na jamii zinapaswa kutumia maandiko kwa uaminifu, yakikemea dhuluma kama manabii wa zamani, na kuyatumia kama mwanga unaoongoza kuelekea haki ya Mungu.
Huyu ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi.
Kwenye bajeti ya @ortamisemitz 2025/26, serikali imetenga milioni 640 kwa ajili ya kumnunulia huyu Katibu Tawala gari ya kutembelea.
Kwa wastani Kaya zilizopo pale Lindi zinatumia shilingi elfu 46 kwa chakula mwezi mzima, chini ya mstari wa umaskini wa chakula ambao ni shilingi elfu 49 (kwa mujibu wa serikali ya Tanzania).
Asilimia 38% ya wakazi wa Lindi wapo chini ya mstari wa umaskini wa MAHITAJI YA MSINGI.
Nchi yenye amani!
Kikao cha Kamati Kuu kesho, Taifa linasubiri mwelekeo mpya wa Chama kuitekeleza No Reform No Election
Mambo muhimu tunayoyasubiri chama kitueleze ni
1. Tunazuia Uchaguzi au Tunasusia uchaguzi?
2. Ni Mkakati upi wa Kuzuia Uchaguzi?
3. Nini mstakabali wa Chama ikiwa tutashindwa kuzuia Uchaguzi?
4. Ni mkakati upi wa kunusuru mgawanyiko/Mpasuko wa Chama unaoendelea sasa huku wanachama muhimu wakikihama chama?
Haya ni mambo muhimu kamati kuu inatakiwa kuja na majibu na sio propagana za kijinga eti wanaohama ni waroho wa madaraka au wananunuliwa…. We need a serious Directions…!
Na Yericko Nyerere
Account ya JESHI LA POLISI imedukuliwa na WAKENYA.
Kenya ndio taifa linaloongoza kwa MATUMIZI ya mitandao ya kijamii AFRICA.
Kenya Ndio inaongoza kuwa na WADUKUZI wengi sana AFRICA.
Ndiomaana ni rahisi wakenya kujikusanya na kutoa kauli moja ikawa kauli ya nchi nzima kwasababu wapo wengi sana kwenye mitandao ya kijamii.
Jana MAMAENU kawachokoza wakenya, katangaza VITA na wakenya.
Leo MAPEMA tuu wamepita na Page ya JESHI la polisi na kupost kifo cha SAMIA.
Saizi mpango ni kupita na Account ya IKULU.
Binafsi nawapongeza na nawaomba wasiishie hapo waendelee kutufungua VICHWA VYETU, na sisi tunataka kupata ukombozi kama wao.
Keep PUSHING BROTHER’s.🙏🏿
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
@MalisaGJ_ I stand to be corrected, pamoja na U CCM wangu natamani kuona kura ya mwananchi ikiheshimika, nataman kuona uringo Sawa sifurahii manyanyaso dhidi ya watanzania wenzangu kisa kua na mawazo pinzani
Sauti hii inadaiwa ni ya Naibu Waziri wa Utumishi, na Mbunge wa jimbo la Kwela, Deus Clement Sangu akimtishia mjumbe wa CCM ambaye hamuungi mkono. Fikiria CCM wanatishiana uhai wenyewe kwa wenyewe kisa ubunge, halafu kuna "akili ndogo" zinajitoa Chadema zinaamini zikigombea kupitia "chama cha ubwabwa" zitapewa ubunge kama zawadi. Chadema tunasisitiza No Reforms No Election. Hatuko tayari kushiriki uchaguzi utakaogeuza ndugu zetu vilema na wengine kupoteza maisha. Tunataka uchaguzi ambao kura ya mwananchi itaheshimika na itafanya maamuzi. Uchaguzi ambao viongozi kama Deus hawatatumia nafasi zao kuifluence matokeo. #NoReformsNoElection
@Ntobi_@TunduALissu@freemanmbowetz Saivi unampongeza na kumuita kwa jina lake sio tena mropokaji? na aina nyingine ya udhalilishaji uliokua ukiufanya dhidi yake kwa kutweza utu wake saivi unajificha kwenye kichaka cha demokrasia? idiot.
Binafsi, ni muumini wa demokrasia, na uhuru wa maoni. Uchaguzi ndani ya Chama umekamilika vema.
Nampongeza sana Mhe @TunduALissu kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa.
Shukrani Mhe @freemanmbowetz kwa kutoa darasa la demokrasia kwa vitendo katika Chama na Taifa kwa ujumla.
Tuendelee na mapambano yaliyopo mbele yetu! #StrongerTogether ✊🏾
@kwamekivaisi tunahitaji watu wanaoweza kukisadia chama kushinda uchaguzi huu wenye maarifa, uwezo na hoja za msingi yes ni kweli chama changu cha mapinduzi kimefanya mengi, ni kweli rais wangu amefanya mengi ila hatuhitaji machawa bali wenye uwezo wa kukisaidia chama.