Godluck
1.9K posts


@SwahiliRealTalk Aliye jenga hili sanamu alikuwa ananjaa nini au akulipwa pesa zake
Indonesia

NI majira ya saa 10:30 alasiri hali ya hewa ikiashiria mawingu ikiwa ni dalili za kunyesha mvua,angani upande wa mashariki kulikuwa na alama ya upinde wa mvua uliopambwa kwa rangi anuai katika anga hilo sanjari na jua jepesi lililokuwa likishindana na mvua iliyokuwa ikitaka kunyesha wakati huo Bodaboda, usafiri niliotumia kufika hapo, dereva wa boda boda aliniondoa hofu kutokana na wingu lililotanda angani huenda lingeweza kunitotesha mwili wangu na kunieleza uzoefu wake kuwa kutokana na dalili hizo angani mvua haiwezi kunyesha.
Nilishuka na kumlipa dereva wa bodaboda na kukatisha katika mitaa ya mji wa Sumbawanga ambao wenyeji waliniambia kuwa hapo ndipo lilipo jina halisi la Sumbawanga.
'Sumbawanga Wenyeji' ndilo jina halisi la eneo hilo, mji wake ulipangwa vyema na mitaa yake ilionesha kuzingatia ramani za mipango miji tofauti na ilivyo baadhi ya miji mingi mikubwa ambayo nyumba zake zimejengwa holela holela bila kuzingatia ramani za mipango miji.
Ukale wa nyumba hizo unaonekana dhahiri katika paa la nyumba hizo ambazo asilimia kubwa bati zake zinaonekana zikiwa zimefifia na kutengeneza kutu na rangi nyeusi ilhali kuta za nyumba za mitaa hiyo zikionekana kuchakaa,dalili pekee ya kuwa nyumba hizo zimejengwa miaka mingi iliyopita Kwenye baadhi ya nyumba mbele ya vibaraza vya nyumba hizo kulikua na akina mama walioketi baadhi yao wakisukana nywele,wengine wakichambua mboga huku baadhi yao wakipiga soga kama ilivyo desturi ya mitaa mingi ya maeneo ya mijini.
Mbele yangu navutiwa na jumba kubwa imara na chakavu lililotelekezwa ambalo linaonekana ni jumba la kale kuliko nyumba nyingi zinazozunguka maeneo hayo, baadhi ya nyumba zilizopo jirani ya jumba hilo zikiwa ndogo ndogo tofauti na jumba hilo kuu na kuu kuu.
Jengo hilo limejengwa kwa ustadi mkubwa na matofati madogo madogo ya kuchoma likiwa na nguzo kubwa na imara eneo la juu karibu na paa likiwa mithili ya nyumba ya kifalme sawa na nyumba za kale zilizopo maeneo ya Bagamoyo, Kilwa na Zanzibar. Natupia macho mbele yangu nakutana uso kwa uso na mwanamama aliyekuwa akistaajabu mshangao wangu, nikasogea karibu yake na kumuamkia kwa heshima kulingana na umri wake.
Nilimkadiria mama yule umri wake ni kati ya miaka 75 na 80 lakini akionekana bado mwenye nguvu za kutosha Georgina Noel Kamzee(71)ndilo jina la Bibi huyu nilikosea kidogo kumkadiria umri wake lakini kulingana na maelezo ya mwanaye wa kike aliyeambatana naye akijitambulisha kama mtoto wa mama huyo anasema kuwa mama yake amezaliwa miaka 71 iliyopita kulingana na takwimu alizonazo katika vyeti vya kuzaliwa. Nilishawishika kumuuliza nilichokuwa nakishangaa eneo lile na kumuuliza kwanini jengo lile liko pale na lipo kwa matumizi gani.👇👇

Indonesia

@kalage_jr Usisahau nnchi za magharibi na marekani ziliwekeza kwenye nnchi kama china korea na japan for purpose
Filipino

@FaradayMtz01 Watu wangekuwa na capital hayo yote ungeona wabonge wangekuwa wanafanya ila changamoto za mitaji ndo zinatufanya tuone na kuwaonea wivu wachina
Filipino

@018Salama Wanazingatia sana nidhamu na mambo yasiyo ya msingi kuliko productivity
Filipino

Tanzania watu wa Ajira portal utasikia katoe timberland na nywele hizo. 😂😅
Mac 🍃@ihymacc
Advances in Colon Cancer Cure, Discovered By a Black Chicago student.
Indonesia

@GilbertPaul095 Kiancho angaliwa ni productivity yako nasiyo english yako
Filipino

@Mushi_plus Sisi tunaenda kutafuta capital mchina anakuja na capital ndo maana anfanikiwa
Indonesia

@Mvuvi_Nyasa X pomoja na online media zina uwa hizi tv mdogo mdogo bila kuonekana kwa macho
Polski

The ANC have been in power for 32 years now. Thirty-two very long, painful years. And what have they achieved? Not much apart from excelling at corruption and violence.
Cyril Ramaphosa 🇿🇦@CyrilRamaphosa
This Freedom Day stands as a reminder that political liberation was never the final destination. It was the beginning of a longer journey towards economicfreedom and social justice. x.com/i/broadcasts/1…
English


















