@HildaNewton21 Hadithi ya baba, punda na mwanawe. Yawezekana kapenda mwenyewe kukaa chini na kula kwenye sufuria. Wapo wadada wanaojipa uhuru wao na wanaishi vizuri tu. Picha haiwezi kuleta kilichopo ktk familia hii.
Kama Kweli Tamko hili limetoka Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwanini halijasainiwa?
Tunaliomba Jeshi lithibitishe uhalali wa barua hii na kama imetoka kwao basi watu wote wenye utimamu wa Mwili na Akili tutalitaka liache uchunguzi dhidi ya suala la Mdude kwani kwa barua hii ni wazi kwamba tayari Jeshi litakuwa lime panic na linashughulika na wahanga na kuacha jukumu lake la msingi na kujigeuza kutetea wahalifu Wanao tuhumiwa .
Hao Askari wanao tuhumiwa wanafahamika kwa sura na majina na kuanza kuwaexonarate kupitia barua hii kama kweli ni ya Polisi itakuwa uthibitisho kuwa uchunguzi unao endelea ni kiini macho na kutupotezea muda
Marafiki wa Mdude kipaumbele chetu ni Mdude Mpaluka Nyagali apatikane akiwa hai hatutaogopa kitisho cha kiumbe,mtu au mamlaka yeyote chenye lengo la kututisha au kutaka kutudhuru au kutufubaza au kutunyamazisha tumsahau ndugu ndugu na rafiki yetu Mdude Mpaluka Nyagali.
Iwe iwavyo tunamtaka Mdude Mpaluka Nyagali akiwa hai Huu ujinga wa utekaji na kucheza na maisha yetu hatuwezi kuuvumilia tena.
Yeyote anayetutisha lazima atakuwa muhusika wa Moja kwa moja katika uhalifu huu dhidi ya Mdude.
Tuna mtaka Mdude Mpaluka Nyagali akiwa hai sisi siyo Mbuzi wa Kafara.
ALUTA CONTINUA....MAPAMBANO DHIDI YA DHULUMA NA UTEKAJI YANA ENDELEA NA USHINDI NI LAZIMA
Polisi wamemkamata mtoto wa Siku 4 aliyesema ana ujumbe kwa Rais Samia
Mtoto huyo amemwambia mama yake, Samia ameacha njia ya uongozi bora
CHA Ajabu kukiwa na amani kabisa, polisi walikwenda na kumchukua huyo mtoto,
mama yake ajaonekana kuongozana na mtoto huyo
Samia asipoelewa ataeleweshwa tu
@mnadanchege@MariaSTsehai Watu wenye mapenzi mema wasusie kwenda makanisani na misikitini mpaka pale viongozi wa dini watakapokutana na kutoa matamko ya kukemea uvunjifu wa haki za binadamu.
@MariaSTsehai Hali ya kisiasa nchini inazidi kuwa mbaya sana hili haliwezekani tusikubali kabisa watu wananyimwa chakula viongozi wa dini ukiondoa fr.kitima, mwamakula na mwanamapinduzi wengine wote wapo kimya sasa wanahubiri Upendo upi??
😒AKILI GANI HIZI ⁉️
Maelezo: 👇🏾
Police stand ya Karatu wanazuia magari yote ya Ngorongoro wazibebe mzigo Aina yeyote ili kuzuia mahitaji yasiwafikie waandamanaji waliopo barabarani Ngorongoro
Waoneni 🙄 ubabe huu wanajua kuwa wanavunja haki za binadamu? Wamwulize Netanyahu kilichomkuta kwa ujinga kama huu
Fanya yote ila si kunyima watu chakula tena maelfu!
#StopMaasaiEviction
‼️Nyie ofisi ya Msajii wa Vyama vya Siasa @orpptanzania ‼️
Hii ya CCM kusajili wanafunzi mashuleni tena wengine chini ya miaka 18 hamjaona?
Kutwa mnakimbizana na @ChademaTz wakati wavunja sheria ni @ccm_tanzania
Nasubiri nikione Nyahozi na Mutungi mkikemea CCM 🙄
Eniwei I am not holding my breath - just sayng! Taarifa hizo hapo 👇🏾 msiseme hamkuambiwa
Fanyieni kazi taarifa kwa unoko uleule mliotumia kuhusu tweet ya @Twaha_Mwaipaya 😒
#TutaelewanaTu