Mnada Nchege

11K posts

Mnada Nchege banner
Mnada Nchege

Mnada Nchege

@mnadanchege

Mkulima

Mwanza, Tanzania Katılım Mart 2014
1.6K Takip Edilen2.5K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Mnada Nchege
Mnada Nchege@mnadanchege·
@MariaSTsehai @TunduALissu @SuluhuSamia Ile maana ya kukinukisha tafsiri yake ndio hii ona anavonuka kimataifa. Lisu akili kubwa sana katumia akili kampanikisha mama wa watu kajaa 18 zake yeye na watu wake wanacheza beats la Lisu
Indonesia
8
18
267
22.8K
Mnada Nchege retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Nimetoka Ukonga kumtembelea Tundu Lissu. Tumepata nafasi ya kujadili kwa kina mwenendo wa kesi zote zinazoendelea na zile zilizo pending. Amenieleza pia kuwa jana, tarehe 15 Aprili 2026, alikutana na Mhe. Lazarus Chakwera na kuwasilisha kwake masuala muhimu yafuatayo: Kesi ya Uhaini inayomkabili ni kwasababu ya msimamo wa No Reforms No Election, Kesi zote zinazomkabili yeye na chama zifutwe, na kwamba yuko tayari kwa mazungumzo akiwa mtu huru yeye pamoja na chama. Matukio yote ya Oktoba 2025 yafanyiwe uchunguzi huru kupitia chombo cha kimataifa, mfano SADC. Kuwepo kwa mazingira wezeshi ya mazungumzo ya kweli pamoja na utekelezaji wake. Uwajibikaji wa kitaasisi kwa yaliyotokea Oktoba 2025, mfano, Ofisi ya Msajili, INEC na TCRA, alisisitiza umuhimu wa kurejea Ripoti ya Jaji Nyalali (1992). Mabadiliko katika vyombo vya ulinzi na usalama, alisisitiza kurejea Ripoti ya Jaji Chande (2023). Mabadiliko ya mfumo mzima wa uchaguzi, ikiwemo kufutwa kwa INEC na kuundwa kwa chombo kipya huru, akisisitiza kurejea ripoti za waangalizi wa uchaguzi (1995-2025), pamoja na Ripoti za Jaji Warioba na Jaji Nyalali. Katiba Mpya Nimempatia pia uamuzi wa Mahakama ya Rufani uliotolewa jana kuhusu chama kuendelea kufanya kazi amesema "watu wajiandae, muhimu nijue mkutano utafanyika wapi a day after Ukonga" Paul Kisabo Wakili
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
13
159
810
18.6K
Mnada Nchege retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Ndugu wanachama wa CHADEMA na Wapenzi wa Demokrasia Nchini. Chama chetu kimefunguliwa rasmi kufanya shughuli za siasa. Hii ni fursa muhimu katika kuendelea na mapambano ya haki, uhuru na uwajibikaji katika Taifa letu. Lakini ukweli usioepukika ni huu hatuna ruzuku hata ya SENTI MOJA. Hii ina maana kwamba uhai, nguvu na uendelevu wa CHADEMA uko mikononi mwetu sisi wenyewe. Hatuna budi kuchukua jukumu. Hatuna budi kusimama. Hatuna budi kuchangia. Kila Mwanachama na kila mpenda Demokrasia ana wajibu wa moja kwa moja, kuchangia CHADEMA. Usione mchango wako ni mdogo. Usisubiri mwingine achukue nafasi yako. Kila senti unayotoa ni nguzo ya kusimama kwa chama hiki. Tujenge utamaduni wa kuchangia bila kusukumwa. Tujenge tabia ya kusaidia chama kila wakati. Hapo ndipo tutakapopata uhuru wa kweli wa kisiasa na kiutendaji. Mimi nipo, na nimeanza. Na wewe pia ni wakati wako sasa. Chukua hatua. Anza kuchangia. Simama na CHADEMA. Kwa pamoja, tutakijenga chama imara na Yaifa lenye HAKI. Tuchange tu kwa namba maalumu za CHAMA na Akaunti za Benki ili kujenga uadilifu wa Taasisi Imara. Mikakati zaidi inakuja baada ya vikao kuanza. Asanteni.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
45
350
998
79K
Mnada Nchege retweetledi
khalifa said #IRAN 🇮🇷 ☭🌹
mimi pia nawasihi watanzania, wanaoweza, waichangie chadema. tunafaidika moja kwa moja tukiwa na upinzani imara, unaoweza kuishika mapembe ccm na serikali yake, hususan kwenye sera na matendo yake ya kionevu na kikandamizaji dhidi yetu w'nchi. tujihimu:
Indonesia
25
352
1.2K
12.8K
Mnada Nchege retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Tonight, I had the pleasure of having dinner with the legendary @LarryMadowo, my Kenyan brother. We covered a wide range of topics, from Tanzania’s October 29th massacre and where the country stands today, to what lies ahead and Meta’s removal of my accounts. It was a deeply engaging and productive evening. It was a true honor to meet in person a journalist who works without fear, using his voice to speak for those who cannot.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet mediaMange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet mediaMange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
English
120
594
4K
116K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Uamuzi wa Mahakama ya Rufaa kufuta zuio dhidi ya CHADEMA ni ukumbusho muhimu kwamba haki haiwezi kucheleweshwa bila madhara. Haki si matokeo tu, bali ni mchakato unaopaswa kuwa wa haraka, wazi na wa haki. Haki ikichelewa, hugeuka kuwa aina ya dhuluma. Jaji asiye na utu anaweza kusoma sheria vizuri, lakini akashindwa kusimamia haki. Hatua ya Mahakama ya Rufaa inaonyesha kuwa mfumo unaweza kujirekebisha, lakini pia ni onyo, kuchelewesha au kupotosha haki kunadhoofisha imani ya wananchi. Imani ya wananchi hujengwa na haki ya haraka, na hubomolewa na haki inayocheleweshwa.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
24
95
588
26.4K
Mnada Nchege retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Tukutane ground.
Eesti
145
804
3.3K
39.9K
Mnada Nchege retweetledi
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Oyaaaaaaaa sijui kuna nini leo? leo moja haikai mbili haikai, naona shangwe tu 😂😂😂😂😂😂
Jebra Kambole tweet media
Suomi
46
204
1.3K
16.9K
Mnada Nchege retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Asante Wakili Jebra. Uamuzi wako wa siku ile wa kujiondoa kuendelea kusikiliza kesi, baada ya Jaji Mwanga kupuuza sababu zako za kuomba hairisho la muda mfupi ili kuhudhuria mazishi, haukuwa wa kawaida. Ilikuwa ni mpango wa Mungu. Kwani usingechukua hatua hiyo, ungehalalisha zuio batili na leo lingeonekana halali. God bless you Bro!!
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
45
325
2.1K
54.3K
Mnada Nchege retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Hongereni sana Chadema. Sasa kazi ipigwe mpaka wapaniki tena…….. Tunachokitaka kwenye nchi yetu ni haki, haki ya wananchi kuchagua madiwani wao, wabunge wao, Rais wao na chama chao. Tunataka haki ya uchaguzi huru na wa haki. HAKUNA AMANI BILA HAKI. HAKI KWANZA AMANI ITAFATA YENYEWE!!!!
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
हिन्दी
39
351
1.8K
27.2K
Mnada Nchege retweetledi
Mpale Mpoki
Mpale Mpoki@MpaleMpoki·
KWA KUWA SISI WANANCHI inaashiria kuwa katiba ni ya wananchi. Ibara ya 8(1)(a) wananchi ndio msingi wa mamlaka yote na serikali itapata madaraka na mamlaka yake kutoka kwa wananchi.. Iweje katiba mpya iihusishwe na chama ambacho hakina dhamira ya kuleta katiba mpya?
Filipino
4
34
125
2.8K
Mnada Nchege retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Mama Samia, unapswa kuwa na mashaka na makini sana kwa hao unaowaamini na waliokuzunguka kwa karibu, kuliko hata uhuru wa CHADEMA na Mkt Tundu Lissu. Uimara wa uongozi hupimwa pia kwa uwezo wa kuchuja ushauri na watu unaowategemea. Naona ambacho huenda hauoni kabisa, ungekuwa mama yangu labda ungenisikiliza na kunielewa kuwa hao unaowapa sikio lako kwa karibu ni hatari kwako kuliko kelele/hoja za CHADEMA. Mwachie Tundu Lissu, na acha CHADEMA wafanye kazi zao. Amani yako iko katika kutafuta HAKI na TOBA, siyo kuzima UKWELI. Mwambie Abdul, mtoto wako, atunze ujumbe huu kama hautanielewa.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
67
157
1K
36.7K