a l i w a t a n i JOE

10K posts

a l i w a t a n i JOE

a l i w a t a n i JOE

@HallahKispoti

Natural science technician

Katılım Ocak 2022
62 Takip Edilen156 Takipçiler
a l i w a t a n i JOE
a l i w a t a n i JOE@HallahKispoti·
@Sharb84 @Twaha_Mwaipaya Mungu atusaidie siku africa iweze kutengeneza viongozi😁 ila tukiendelea kuzalisha hawa wana siasa, wanaoamini maono yao wao ndio mkondo wa kila mtu kupita kifikra. Huenda watawala wakibadilika itakuja kua worse zaidi ya tuliposimama😁😁 hakuna chuki hoja zijengwe tuu😁😁
Indonesia
1
0
1
7
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
KOMBO anasema Waliouwawa Tarehe 29 OCTOBA waliwatishia Polisi mawe.
Twaha Mwaipaya tweet media
Polski
78
86
651
86.9K
a l i w a t a n i JOE
a l i w a t a n i JOE@HallahKispoti·
@Sharb84 @Twaha_Mwaipaya Sijawai hata kutaka kuusikiliza. Hawa watu kuna muda wanawazisha sana, we hate sisiemu ila kama vijana wenyewe wa chama ndo wa aina hyo😁😁 siku wakitwaa dola hawa si watakua zaidi ya kina KAWAIDA, wanaowapinga watawafanya nini. Huenda ikawa worse kuliko sasa
Indonesia
1
0
1
10
Francis
Francis@Sharb84·
@HallahKispoti @Twaha_Mwaipaya Wanakosea sana. Wimbo kama ule wa Chande,ulikuwa disgraceful kwa Mama yake Chande na akina Mama wote. Mambo ya hovyo hata kuu repost.
Filipino
1
0
0
25
a l i w a t a n i JOE
a l i w a t a n i JOE@HallahKispoti·
@Sharb84 @Twaha_Mwaipaya Issue ya uvumilivu wa kisiasa kwa vijana wa CDM sio wengi bali baadhi na wenye kutumika na chama imekua ni kitu kigumu sana kwao. Matusi, kuattack watu randomly wasiporidhishwa au wakiwa wanashindana hoja ni changamoto kubwa sana. Matusi na udhalilishaji ndio last option kwao
Indonesia
1
0
1
14
Francis
Francis@Sharb84·
@Twaha_Mwaipaya CHADEMA kama Chama cha Siasa haifai kufanya haya. Hii nimelisema mara nyingi,hata ule wimbo wa Chande sijui kuma.. .unamtukana hadi Mama yake aliyemzaa. Mambo ya hovyo. Wananchi tunataka watu timamu kuwakabidhi nchi. Siyo mambo ya hovyo yasiyo na tija. Jitahidini kurekebesha haya
Indonesia
2
0
1
138
a l i w a t a n i JOE
a l i w a t a n i JOE@HallahKispoti·
@Sharb84 @mangekimambi Mtu anaua, anatokea mtu anakuuliza kwa nini umeua unakimbilia kusema wanataka raslimali zetu😁😁 anakuambia tufanye upembuzi wa kina kilichotokea, unakimbilia kusema wew ni taifa huru. Kwahiyo unaua watu wako sababu tuu wew ni mtawala kwenye taifa huru? 😁😁 hawa watu wamechoka
Indonesia
0
0
1
16
Francis
Francis@Sharb84·
@mangekimambi Ni propaganda ya kijinga kuhusu raslimali. Zipi hawajawapa hao Wazungu,Wachina na Waarabu? Gesi,machimbo,Bandari,misitu,mbuga za wanyama, madini,n.k,n.k vyote wamegawa kwa bei chee kwa 10% zao. CCM hawamjali mwananchi bali matumbo yao na Familia zao,ndo maana kuuwa siyo tatizo.
Indonesia
1
7
37
1.4K
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
CCM wanadai kuwa mabeberu wanataka madini ya Tanzania ndio maana wanaingiliw mambo ya TZ, je kwanini CCM hawaweki wazi rushwa waliojaribu kuwapa Wamarekani ili wakae upande wao (wauwaji)? Watanzania ni hivi. baada ya Marekani kutoa lile tamko lile la kwanza kabisa juu ya mauaji, Samia alitafuta kampuni za Kimarekani na kuzipa contracts za madini akidhani kuwa Marekani wanatetea wananchi sababu wanataka madini. Akadhani akitoa madini basi kesi imeisha. Kampuni kadhaa za Marekani zikakubali offer na kusaini na Samia akadhani keshamlegeza Trump na kesi imeisha. Mnachoona leo ni kwamba wamepaniki na kuchanganyiwa, walitegemea wakimpa Marekani madini ya Tanzania basi kesi imeisha. Sasa imekuwa opposite, kampuni za kimarekani zime sign madili ila ndio kwanza serikali ya Marekani inawasha moto juu ya October 29 . Watanzania daini kujua tokea October 29 Samia katoa contract ngapi za biashara kwa kampuni za Kimarekani ili Wamarekani wafungie macho October 29? Akishajibu hilo ndio mtajua kuwa Wamarekani wanania ya kweli kutusaidia na wamegoma kushiriki ufisadi wao na uuaji wao na wananchi.
Indonesia
33
274
1.3K
26.9K
Francis
Francis@Sharb84·
@millardayo Kuna yule sitaki nataka. Naona Baba Bagonza kamtolea uvivu.
1
0
2
318
millardayo
millardayo@millardayo·
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe Dkt. Benson Bagonza amesema Kanisa hilo halijawahi kukaa kikao chochote cha kupanga Rais ajae wala hakuna Dhehebu lenye uwezo wa kuchagua nani awe Rais. Askofu Dkt. Bagonza ametoa kauli hiyo wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Dayosisi maarufu ‘KAD DAY’ ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Uhusiano, Deus Sangu. “Kitengo chako cha mahusiano kinayahusisha Makanisa, Misikiti na makundi yote ya kiimani, sisi sote wa Makanisa tupo chini yako kwa ajili ya uratibishaji wa mahusiano na makundi haya ya imani ni muhimu kwa sababu ndani yake kuna Vyama vyote, Makabila yote, Rangi zote, Maskini na Matajiri.” “Sisi kama KKKT hatujawahi kukaa kikao chochote kupanga Rais ajaye, hatujawahi na hatuna mpango huo kwani tunaamini hakuna Dhehebu lolote Nchini lenye uwezo wa kutuchagulia Rais, nayasema haya ili kukemea njama ya kuchafua Kanisa letu kwamba tunapanga kuweka Rais mwaka 2030” Askofu Dkt.Bagonza. #MillardAyoUPDATES
Indonesia
4
13
117
9.8K
Francis
Francis@Sharb84·
@mayordeah_ @Spearhead_Af The Era of bloggers paid by Corrupt governments to spinn Facts is over. We in Tanzania know our story better than a paid blogger and his minions. African stories must be told in truth and fact to help the continent. Its unfortunate sellout will always be their to spinn facts.
English
1
1
26
597
Mayowa Durosinmi
Mayowa Durosinmi@mayordeah_·
The era of having CNN tell African stories is over, and we at the @Spearhead_Af are telling Africa's story on Africa's terms. As for what really happened on the October 29 election in Tanzania, watch out for the documentary, which will premiere in Accra at 5PM on Tuesday, May 26, at the WAGMC Auditorium, University of Ghana. Subsequently, it will also premiere in Dar es Salaam and Nairobi before going up for general viewership on YouTube on May 31.
Mayowa Durosinmi tweet media
English
177
557
1.3K
35.7K
a l i w a t a n i JOE
a l i w a t a n i JOE@HallahKispoti·
@Sharb84 @RKishaija81715 Hawajamuingiza, wamejiingiza mkenge tuu. The guys are very smart na brand zao. Wana team za ku evaluate brand zao😁 you can’t fool them, ndo maana yule bwana kakimbilia et wamemzuia. Yan Rio aamue jambo kwenye page yake Bashite ndo azuie? Issue ni ile ile tuu
Indonesia
1
0
2
253
Francis
Francis@Sharb84·
@HallahKispoti @RKishaija81715 Wajanja wamemuingiza king. Alafu wanasema wamemuambia asi post😂😂😂 Sasa asipo post huo utalii na blabla itafikiaji millions wa fans wake!🤔 Win win sema tumemwambia asipost. Yeye mwenyewe angepost angeshambuliwa,lkn pia tunafanya PR kwa nini hajapost. 😂😂😂
Indonesia
1
0
1
442
Agnostic
Agnostic@RKishaija81715·
Rio anaonekana disappointed kinoma
Indonesia
18
25
519
26.1K
a l i w a t a n i JOE
a l i w a t a n i JOE@HallahKispoti·
@AbgastJ @cleme74076 @RahmaMwita Sasa kama CDM ilijifunza, kuna ubaya gani wengine wakijifunza? Kwa nini kuna hii idea ambayo niite ya “kijinga” kuamini wanachofanya CDM pekee ndio sawa? Ndio demokrasia. Kila mtu acha apate nafasi ua kujifunza kwa wakati wake
Indonesia
0
0
0
23
Jo
Jo@AbgastJ·
@HallahKispoti @cleme74076 @RahmaMwita Lowassa aliwapa somo na sasa wamefuzu. Ujinga ule haujirudii ndii maana mwaka jana chadema ilisimama wima bila kuyumba
Indonesia
1
0
0
100
Rahuuuum
Rahuuuum@RahmaMwita·
Mpina alivyoingia ACT Wazalendo mlibeza ila wakija kwenu ndo patakatifu, mna hitilafu sana kama chama na siku mkiacha kuona nyie ndo wabeba bendera ya harakati za kuitoa sisiemu madarakani wengine mapandikizi basi tutapiga hatua kama upinzani kwa umoja na si vinginevyo.
Godbless E.J. Lema@godbless_lema

Sawa bhana 😄 Dhambi zako zote zimekuwa cleared. Sasa Ijumaa 22/5 fika Releni utoe ushuhuda live 😅. Na usiwe na wasi wasi… huku hakuna nyama za matambiko 😂

Indonesia
167
11
134
51.1K
a l i w a t a n i JOE
a l i w a t a n i JOE@HallahKispoti·
@EduTalkTz Mi kila siku nasemaga😁😁 hata kama nchi wachukue CDM shida ya mataifa mengibya Africa ni moja na ni kuu, tuna wana siasa hatuna viongozi. Hata CDM ina wanaharakati wengi, viongozi wachache mnoo
Indonesia
2
0
1
658
bwakila
bwakila@cleme74076·
@RahmaMwita Hoja sio mpina kuingia act issues ni kumpeleka moja Kwa moja kushiriki chaguzi ambazo mnayajua matokeo tayari Kwa kisingizio Cha kulinda kura
bwakila tweet media
Indonesia
2
0
31
2.1K
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Kuna biashara zingine zinachekesha sana 😂
Mwinshehe 🕊️ tweet mediaMwinshehe 🕊️ tweet media
Indonesia
125
76
562
51.4K
Francis
Francis@Sharb84·
@MalisaGJ_ Nilitamani sana kumsikia Prof.Shvji. Nimefurahi kujua bado ana misimamo isiyoterereka kwenye kutetea haki.
Filipino
1
0
1
53
MalisaGJ
MalisaGJ@MalisaGJ_·
ZXX
6
65
226
4.2K
a l i w a t a n i JOE
a l i w a t a n i JOE@HallahKispoti·
@BarakaEnock_ Mtu anaweka pesa af we unachokana? Kwa nini usichokane na pesa zake? Nafikiri mnaelewa kwa nini matajiri hawajilipui na haya matimu😂😂 unaleta maneno ya kuchokana kwenye pesa za mtu
Indonesia
0
0
3
164
𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀🦁
Shabiki wa Yanga Dossa anauliza swali dogo tu kwa Viongozi wake wa Yanga kuhusu ile 50 kwa 50 iliyowekwa katka uwanja kati ya GSM na yanga, Je kama siku klabu ikichokana na Tajiri hii %50 kwa %50 inakuwaje?
Indonesia
24
11
180
12.6K
a l i w a t a n i JOE
a l i w a t a n i JOE@HallahKispoti·
@Sharb84 @UMOJAPARTY2022 Chawa wanatumikaga hivo kuja kutia maji kila kitu kionekane kuna circle kubwa ya kuzungukana. Buyobe tyr ukweli ushajianika, sasa wanachoforce ni kila mtu aonekane hafai. Kutengeneza chuki in between kwa wahanga
Indonesia
1
0
2
80
Francis
Francis@Sharb84·
@UMOJAPARTY2022 Haimake sense ikiwa waliotaka kumteka Mshabaha wapo jela Kenya. So,Mshabaha aliwaomba na Police wa Kenya wa act? Unajua implication kwa Kenya kwa amnesty international na UN human right kwa kesi kama ya Mshabaha?🤔 Rudi umsiklize Matiangi kuhusu Magu alipotaka Activist wakamatwe.
Indonesia
2
1
1
424
UMOJA PARTY
UMOJA PARTY@UMOJAPARTY2022·
UZI Tusidanganyane Mshabaha, Msuya na Buyobe wote Lao moja Msuya alipewa kazi kumpata SATIVA na HILDA, wakamtafuta anayewapaga information yaan Mshabaha, ukachongwa mchongo! Na malipo Mshabaha kapokea 10M ndo maana mshabaha anaona bora ajifanye katekwa baada ya mchongo kubuma!
Indonesia
11
2
4
4.6K
Francis
Francis@Sharb84·
@fbuyobe Hata ingekuwa kweli kakopa,zinakopa serekali,mabank sembuse mtu binafsi? Sasa angekuambia kakopa kwani wewe inakuhusu,deni lako? Wewe ni kama unatapatapa,Mara Hilda angeachaje kumjua Msuya,Mara Mshabaha hili na lile. Issue ni uliingiaje Kenya,Utekaji na kurudi Tz ulikokimbia.
Indonesia
3
3
44
2.9K
a l i w a t a n i JOE
a l i w a t a n i JOE@HallahKispoti·
@ayubu_madenge Bongo humalizi mita 100 washakunyanyua, na wananchi unaowasemea ndo watakua front kukushangaa kwa nini ujiamulie tuu mambo
Indonesia
0
0
3
426
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Eric Omondi amekusanya madumu matupu kisha akayafunga kamba na akaanza kuzunguka nayo kwenye barabara za Kenya kama ishara ya kupinga ongezeko la bei ya Mafuta. Omondi amesema haiwezekani viongozi watembelee magari yanayokunywa mafuta wakati wananchi wanateseka na mfumuko wa bei.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
43
105
1.4K
39.5K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Hii game ya Liverpool na Aston Villa inapigwa saa 2 usiku kwa saa za uingereza. Kama unajiuliza kwanini mbona kuna jua mpaka usiku ni kwasababu wako summer. Kipindi hiki mchana huwa mrefu kuliko usiku kutokana na kuwa karibu zaidi na ncha ya kaskazini ya dunia.
Filipino
17
22
301
49.5K