
@Wakazi The leader ume reason vema sana....Kingine ni kwa nini serikali isingezuia kumzika James bila kichwa mpaka kichwa kipatikane?? Na kwanini waliruhusu kuzikwa mwili bila kichwa wakati serikali ina mkono mrefu wa kutambua kichwa kiko wapi na nani alikichukua na kwa sababu zipi?
Indonesia



































