Sales With Hamza

6.4K posts

Sales With Hamza banner
Sales With Hamza

Sales With Hamza

@Hamzally2

SalesWithHamza (WomenSalesCoach) Nawasaidia wanawake wajasiriamali kuuza mtandaoni kwa confidence bila kushusha bei 📍Tanzania 📩 DM kwa msaada & consultation

Tanga, Tanzania Katılım Temmuz 2021
275 Takip Edilen384 Takipçiler
Sales With Hamza retweetledi
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
BRO TO BRO, Usiwahi kudharau hustle ya mwanaume mwenzako. Wanaume Hatuchekani wala kudharauliana. Kila mwanaume anapambana na vita yake kimya kimya, na mara nyingi hakuna anayejua mzigo anaoubeba. Heshimu sana jitihada za kila mwanaume unayekutana naye, kwa sababu nyuma ya kila hustle kuna njaa ya mafanikio, majukumu ya familia, na vita visivyoonekana. Siku zote Wanaume wa kweli hawavunjani moyo wanainuana. Kwa sababu sote tupo kwenye vita moja ya maisha
Filipino
19
93
363
12.4K
Sales With Hamza retweetledi
THE MESHA
THE MESHA@The_mesha24·
Mwanaume Malengo na Maono yako yatakupangia 1. Watu wa kuwa nao 2. Mwanamke wa kuishi nae 3. Marafiki sahihi 4. Nini ufanye na nini uache. Usipokuwa purpose, utakubali CHOCHOTE kinachokuja
Indonesia
3
13
46
839
Sales With Hamza
Sales With Hamza@Hamzally2·
@kasesco_tz Baba awe ndio mtoa maamuzi ya mwisho, tofauti hakikisha binti anajifahamu
Indonesia
0
0
0
38
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Mambo Gani muhimu kuichunguza familia ya mchumba wako kabla hujafanya maamuzi ya kumuoa..?
Indonesia
30
22
222
17.3K
Sales With Hamza retweetledi
M.D (🅨)
M.D (🅨)@ReganTesla_·
Nipo kwenye kipindi ambacho REPOST yako 1 tu inaweza kuokoa maisha yangu mpaka nikashangaa please do not skip REPOST 🙏🏽. Urban Chill Music T8 2nd GENERATION TZS 220,000/= Call/Whatsapp 0716006808
M.D (🅨) tweet media
Indonesia
6
285
282
7.8K
Sales With Hamza retweetledi
THE MESHA
THE MESHA@The_mesha24·
Ukweli mchungu wa maisha ni kwamba dunia inaheshimu matokeo kuliko maneno. Unaweza kuwa na ndoto kubwa, mawazo mazuri, na mipango mingi, lakini bila hatua zinazoleta matokeo yaonekana, watu wengi hawatakuchukulia kwa uzito. Matokeo hasa yale yanayoonekana katika kazi au kipato ndiyo yanayowafanya watu wakuone kwa jicho la tofauti. Acha matokeo yaongee chief.
Indonesia
2
15
71
1.4K
Sales With Hamza retweetledi
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
BRO TO BRO Haijalishi una kipaji au uwezo kiasi gani, kama uko kwenye mazingira yasiyofaa, thamani yako haitatambulika. Watu sahihi na mazingira sahihi ndiyo yanayofanya uwezo wako uonekane na kuheshimiwa. Kama eneo ulilopo linakuzuia ukuaji, ondoka hapo kisha jitahidi utafute mazingira sahihi kwako ambayo yatakayokupa nafasi ya kutumia uwezo wako na kujenga future yako. Wakati mwingine kupiga hatua ya kimafanikio hakuji kwa sababu hauna uwezo bali kwa sababu uko mahali pasipokuthamini
Filipino
13
59
272
8.3K
Sales With Hamza
Sales With Hamza@Hamzally2·
How to close a deal…! Baada yakuiangalia hii video ni vyema ukai Save ije ikisaidie siku za mbeleni
Indonesia
0
0
0
13
Sales With Hamza
Sales With Hamza@Hamzally2·
Mauzo hayaanzii hapa mtandaoni kwakuangali inspirationa videos, mauzo yanaanzia kichwani mwako…! Angalia video hii mpaka mwisho.
Indonesia
0
0
0
6
Sales With Hamza retweetledi
THE MESHA
THE MESHA@The_mesha24·
Shukrani hufanya maisha yawe mepesi. Kadri unavyoangalia usichonacho, ndivyo unavyozidi kuwa na huzuni. Thamini ulicho nacho, ndipo utakapoongeza kingine. Kuna nguvu kubwa sana kwenye kushukuru. Jifunze kushukuru chief.
Filipino
2
12
41
676
Zed
Zed@Zephania_Ndaki·
Diamond & Alikiba Awajafikia Prime Ya (Hussein Machozi) Marioo & Mboso, Konde Awajafikia Prime Ya (Marlaw) Roma, Weusi+ Billinas Awajafikia Prime Ya (Ngwair) Rayvany + Lavalava Awajafikia Prime Ya (Matonya) Ukibisha Uje Na Fact Nimemaliza👊🏿
Indonesia
63
23
313
23.7K
Sales With Hamza retweetledi
Revocatus Millambo, Ph.D.
Revocatus Millambo, Ph.D.@Millambo_·
Wengi huwa wananiuliza kwanini unakula naturals tu na kufanya mazoezi sana. Jibu langu huwa ni moja tu_ Kama Mwanaume sina muda wala haki ya kuugua. Kula na tizi ni insurance yangu kuwa fit. Hii dunia ngumu sana kwa Mwanaume, ili kuweza kufight, Anza kwanza na afya yako. 🫡
Indonesia
8
11
192
5.7K
Sales With Hamza retweetledi
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o
Hivi unajua Ukirusha Ads kwenye Dollar account unasave hela kuliko kwenye TZS account Dollar sio lazima uende exchange Nenda bank yako Fungua TZS na USD ACCOUNT waambie wakupe form ujaze ya INTERNET BANKING Utajitumia from TZS acc to USD account. Umemaliza ✅
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o tweet media𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o tweet media
Indonesia
13
31
152
10.8K
Sales With Hamza retweetledi
THE MESHA
THE MESHA@The_mesha24·
Usikubali kupoteza UJANA wako 1. Jenga tabia rafiki za mafanikio 2. Tengeneza pesa sana, jenga biashara > WEKEZA 3. Connect na watu, jenga NETWORK ya kimkakati. 4. Tafuta sana MAARIFA, ndio tobo lilipo 5. Tumia muda wako kwenye vitu vinavyo-kujenga. Ujana ni ASSETS.
Indonesia
2
23
109
1.8K
Sales With Hamza retweetledi
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Siku njema haziji zenyewe, ni lazima uanze safari kuzifata zilipo Kuna Mzee anatuambia hapa
0
12
134
2.1K
Sales With Hamza retweetledi
THE MESHA
THE MESHA@The_mesha24·
Opportunity zote unazozitafuta zipo mikononi mwa watu Mahusiano yako uliyonayo na watu, ndio opportunity unazoenda kupata. Swali ni kwamba…una watu wa aina gani? Sasa kabla ya kutaka watu bora na wenye opportunity anza kwanza kujiboresha wewe na kuwa bora. Self improvement
Indonesia
1
14
84
1.6K
Sales With Hamza retweetledi
Dullah_theKing🎧
Dullah_theKing🎧@DullahTheking2·
Mkumbushe mwanao kwamba 👇🏽 Kuwa HAI ni fursa ya kurekebisha mahusiano yako na MUNGU 🚶🏾‍♂️
Indonesia
21
101
596
8.6K
Sales With Hamza retweetledi
M.D (🅨)
M.D (🅨)@ReganTesla_·
Hakuna wakati utafika wewe upate kila kitu unachokitaka ila upo wakati wa wewe kumshukuru Mungu kwa kila kitu. Unaweza usielewe kwa sasa kutokana na nyakati ulizo nazo ila upo wakati utajua bila Mungu wewe si chochote. GM 🌻
Indonesia
9
58
323
4.9K