Kwa research ndogo niliyofanya hasa Dar nimegundua watu wengi wenye Samsung kuanzia S24 Ultra kwenda mbele wana maisha kiukweli ukweli.
Unlike wenye iphone 15 kwenda mbele wengi ni wasanii 😂😂
Once You Start Dating A Tanzanian Girl,She Instantly Become Homeless,Orphan,Hungry And Her Hair Goes Rough immediately,And Her Birthday Is In Two Weeks🤔
Hapa tupate mtaalamu na mbobezi wa maswala ya Sayansi ambaye hata mambo ya Euro na Dollar hayampigi chenga, atueleze kwanini Wanaanga wa Artemis II HAWATARUDI Duniani kwa Roketi ile ile inayowapeleka angani?🤔