
@NyandaAmosi Kwani wewe unayelaumu ulitoka? mmeishia tu kuleta hadaa humu mtandani et kalamu Ina nguvu kuliko upanga kwamba mlikuanahamasisha kupitia post😄 hii nchi watu ni wabinafsi sana mnataka wengine ndio wahatarishe maisha kwaniaba yenu ila Nyie aaahh😄
Indonesia






















