Hollyboe

21.9K posts

Hollyboe banner
Hollyboe

Hollyboe

@Hippoe_

Accept your past without regret. Simba & Man u fans

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mart 2021
8.8K Takip Edilen12.8K Takipçiler
BBC News Swahili
BBC News Swahili@bbcswahili·
Martha Karua aliweka video mtandaoni akieleza kuzuiliwa kwao katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. bbc.in/43mbJOW
BBC News Swahili tweet media
Indonesia
60
233
1.4K
52.7K
Hollyboe
Hollyboe@Hippoe_·
Ujenzi wa Miundombinu katika Shule ya Sekondari Butuguri; Mradi huu unajumuisha ujenzi wa mabweni matatu, vyumba vya madarasa saba, na matundu nane ya vyoo. Mradi huu unatekelezwa kwa ufadhili kutoka EP4R II, Serikali Kuu, na SEQUIP. #KaziNaUtu2025 #DiraYaSamia
Indonesia
0
0
3
405
Hollyboe
Hollyboe@Hippoe_·
Ujenzi wa Shule ya Amali Mkoa wa Mara; Mradi huu unatekelezwa katika Kijiji cha Butiama na unalenga kutoa mafunzo ya ufundi kwa vijana. Ujenzi wa shule hii unatarajiwa kukamilika kabla ya Januari 2026. #kazinaututunasongambele #KaziNaUtu2025 #DiraYaSamia
Hollyboe tweet media
Indonesia
0
3
4
453
Hollyboe retweetledi
Dira Ya Samia
Dira Ya Samia@DiraYaSamia·
SERIKALI YAWEZESHA WAFANYABIASHARA WADOGO. Serikali kupitia Mamlaka za Serikali za Mitaa imeendelea kuboresha mazingira ya kufanya biashara kwa wafanyabiashara wadogo. Hadi sasa, jumla ya ekari 22,000 zimetengwa katika maeneo mbalimbali ya mamlaka hizo kwa ajili ya shughuli za wafanyabiashara ndogondogo. Katika hatua nyingine, kero 1,849 zilizokuwa zikiwakabili wafanyabiashara hao zimetatuliwa, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuwawezesha kufanya kazi katika mazingira bora na salama. Vilevile, jumla ya wachuuzi 4,899 na watoa huduma wadogo wamesajiliwa rasmi, huku wafanyabiashara ndogondogo 3,565 wakiwa wametambuliwa na mamlaka husika. Hatua hizi ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuwaendeleza wafanyabiashara wadogo kama nguzo muhimu ya kukuza uchumi wa taifa. @SuluhuSamia @ikulumawasliano #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025 #KaziNaUtuTunasongaMbele
Indonesia
5
19
26
2.9K
Hollyboe retweetledi
Dira Ya Samia
Dira Ya Samia@DiraYaSamia·
SEKTA YA MADINI YAVUKA LENGO LA MCHANGO KWA PATO LA TAIFA! Leo tarehe 2 Mei 2025, Waziri wa Nishati Mhe. Anthony Mavunde amewasilisha Bungeni mapitio ya utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/2025, ambapo ameeleza mafanikio makubwa yaliyopatikana katika sekta ya madini. Kwa mwaka 2024, sekta ya madini imefanikiwa kuchangia asilimia 10.1 ya Pato la Taifa, ikivuka lengo lililokuwa limepangwa kufikiwa ifikapo mwaka 2025 mafanikio haya yamepatikana mwaka mmoja kabla ya muda. 📊 Takwimu za mabadiliko ya mchango wa sekta ya madini: Mwaka 2021: 7.3% Mwaka 2023: 9.1% Mwaka 2024: 10.1% Aidha, kasi ya ukuaji wa shughuli za uchimbaji wa madini imeongezeka kutoka asilimia 10.8 mwaka 2022 hadi asilimia 11.3 mwaka 2023. 📌 Mafanikio haya ni ushahidi wa utekelezaji madhubuti wa sera na mikakati ya serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kujenga uchumi imara na shindani kupitia rasilimali za taifa. #DiraYaSamia @SuluhuSamia @ikulumawasliano @MadiniTanzania #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025 #KaziNaUtuTunasongaMbele #MadiniBajeti
Dira Ya Samia tweet media
Indonesia
7
18
26
1.5K
Hollyboe
Hollyboe@Hippoe_·
RT @DiraYaSamia: 🎥 LEO BUNGENI: Akiwasilisha mapitio ya utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2024/2025, W…
Indonesia
0
2
0
53
Hollyboe retweetledi
Dira Ya Samia
Dira Ya Samia@DiraYaSamia·
SERIKALI YAONGEZA KASI UTENDAJI WA MAHAKAMA KUONDOA MRUNDIKANO WA MASHAURI. Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt, @SuluhuSamia imeendelea kuimarisha mifumo ya utoaji haki nchini kwa kuongeza kasi ya utendaji wa Mahakama, lengo likiwa ni kupunguza mrundikano wa mashauri na kuhakikisha wananchi wanapata haki kwa wakati. Akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2025/26 bungeni jijini Dodoma, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, amesema Serikali imeongeza idadi ya watumishi wa Mahakama kwa mwaka 2024/25, ikiwa ni pamoja na kuteua Majaji 10 na Mahakimu 91 wapya. Hatua hii imefikisha jumla ya Majaji 146 na Mahakimu 1,426 nchini. Waziri Ndumbaro amesema kuwa, kati ya Julai 2024 hadi Aprili 2025, jumla ya mashauri 238,154 yalikuwepo mahakamani, ambapo mashauri 63,050 yalikuwa yamebaki tangu Julai 2024 na mashauri mapya 175,104 yalisajiliwa. Kati ya hayo, mashauri 174,581 yalisikilizwa na kuhitimishwa huku mashauri 63,573 yakiendelea kushughulikiwa katika hatua mbalimbali. Aidha, Serikali imefanikiwa kupunguza mashauri ya muda mrefu mahakamani ambayo kwa sasa ni 2,780, sawa na asilimia 4 tu ya mashauri yote yaliyosalia. Miongoni mwa hayo, mashauri 1,325 yapo Mahakama ya Rufani, na mashauri 189 yapo katika Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi. @ikulumawasliano @Sheria_Katiba #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025 #KaziNaUtuTunasongaMbele
Indonesia
9
14
18
1K
Hollyboe
Hollyboe@Hippoe_·
hadi sasa Wizara kupitia Tume ya Madini imetoa leseni nane (8) za viwanda vya kusafisha madini nchini. Kati ya hizo, leseni saba (7) ni za viwanda vya kusafisha dhahabu na leseni moja (1) ni kiwanda cha kusafisha madini ya shaba, nikeli na kobati. #MadiniBajeti #DiraYaSamia
Indonesia
0
3
2
136
Hollyboe
Hollyboe@Hippoe_·
katika kuwaendeleza wachimbaji wadogo, Serikali imenunua mitambo 10 ya uchorongaji kwa ajili ya kutoa huduma kwa wachimbaji wadogo pamoja na kuanza ujenzi wa kiwanda cha kuchakata chumvi katika Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi. #KaziNaUtu2025 #MadiniBajeti #DiraYaSamia
Hollyboe tweet media
Indonesia
0
2
3
113
Hollyboe
Hollyboe@Hippoe_·
Rais Samia Suluhu Hassan anazindua benki ya ushirika. Benki hii inalenga kugusa maisha ya wananchi wengi kwa kupeleka huduma za kifedha hadi vijijini, na hivyo kuchochea kasi ya maendeleo ya kiuchumi nchini. #UstawiKwaWote #UzinduziBenkiYaUshirika #DiraYaSamia
Hollyboe tweet media
Indonesia
0
1
2
102
Hollyboe retweetledi
RASILIMALI ZETU
RASILIMALI ZETU@RasilimaliZetu·
Katika siku ya jana, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilijikuta tena kwenye mvutano mkali na Jeshi la Polisi, kufuatia tukio lililotokea mahakamani ambapo kiongozi wao, Tundu Lissu, alikuwa anafikishwa. Taarifa zinaonesha kuwa kulikuwa na mkusanyiko wa watu
RASILIMALI ZETU tweet media
Indonesia
13
7
10
1.4K