slim~shady retweetledi
slim~shady
10.8K posts

slim~shady
@Homelunduno
#Activist #FreeMind, Manchester United fan🔴, Simba sc fan, Bayern Munchen fan.
Katılım Kasım 2019
3K Takip Edilen3.1K Takipçiler
slim~shady retweetledi

Mmeambiwa bei ya mafuta kama taifa tupo vizuri kuliko Marekani nyie mnataka KUGOMA mnaleta Taharuki mitandaoni.🤣
Kweli uchumi sio MATAKO aisee..!
Swahili Times@swahilitimes
Umoja wa Wasafirishaji Abiria Dar es Salaam (UWADAR) umeomba kusitisha kutoa huduma kutokana na kujiendesha kwa hasara tangu kutangazwa kwa ongezeko la gharama za mafuta.
Filipino
slim~shady retweetledi

Pyeeee, unazungumza na nani? Na utamshawishi nani? Hutambuliki kama rais wa Tanzania, nani akusikilize muuaji, ulieua raia ili uwe rais? Utasikilizwa na kina Mwiguli ila sio nje ya Tz.
Ila huyu mtu anajua kujitoa akili,yani ana-act kama vile bado kuna mataifa yenye akili yanayomtambua, yani ana act kama vile she is still welcome at the table baada ya mauaji ya Oktoba 29.
Wewe ni rais batili na huna muda…..
Swahili Times@swahilitimes
"Sisi kama viongozi wa nchi mbalimbali tunajitahidi kunyanyua sauti zetu, kuzungumza na wenzetu, kushawishi wenzetu vita hii imalizike ili maisha ya wananchi yarudi kuwa ya kawaida." - Rais Samia Suluhu Hassan
Indonesia
slim~shady retweetledi
slim~shady retweetledi

@TitoMagoti Hatokaa aione amani. Kila akinyanyua kichwa aongee mbele za watu ni kujiaibisha
Indonesia
slim~shady retweetledi

@TitoMagoti Sio Daktari Bingwa kaka kua na heshima ni Dr Bingwa Bobezi, yani Super specialist Samuya😁
Filipino
slim~shady retweetledi

Decision gani na mgawaji wa Udaktari bingwa Bobezi ni Baba mkwe wake😁😁😁 nchi kumanina sana hii
Tito Magoti@TitoMagoti
Juzi hapa amepewa udaktari bingwa na Chuo Kikuu bora cha afya nchini. Hivi decision making vyuoni ikoje hadi wanafikia uamuzi wa kijinga kama huo? Ni hofu ya nini?
Filipino
slim~shady retweetledi

Dunia ya sasa watu wana taarifa mkononi…
Mazungumzo yoyote unayofanya na Watanzania ujue sio wajinga, watafuatilia na wataringanisha taarifa hizo.
Watanzania wa sasa sio wa mwaka 47.
Nasema kwa uhakika hakuna mahali popote duniani mafuta yamefika 8,000 usd wala 6,000 Euro kwa lita.
Hakuna popote mafuta yanauzwa 400usd wala 600 Euro duniani.
USD 100 ni sawa na 260,000 Kwahiyo usd 400 ni sawa na 1,040,000.
Euro 600 ni sawa na 1,820,000
Kama ni 6,000 ni sawa na sh
18,200,000=
Kama ni usd 8,000 ni sawa na milioni 20.8 .
Lita moja ya mafuta Marekani inategemeana na state na state.
Kwa mfano Washington DC area kwa gallon 1 ambayo ina lita 3.8 ni usd 3.80 ambayo kwa pesa za Kitanzania ni 9,600, ukigawa kwa lita 3.8 ni sawa 2,526 kwa lita, ambayo hapa sisi kwa Tarime 4,020, kwa hapa Dar ni 3820.
Na kwa Marekani nzima wastani wa gallon moja ni usd 4.10.
Kwahiyo kwa wastani sana ni sh 2,600 za Kitanzania kwa lita.
Marekani ndio wako vitani na wao ndio wana uchumi mkubwa, lakini mafuta Marekani ni rahisi kwa zaidi kwa sh 1500 kwa kila lita tunayonunua huku..
Ukiwa na 10,000 ya Tanzania Marekani utanunua lita 4, na ukiwa ma hiyo hiyo hela hapa Tanzania utanunua lita 2 na point kidogo.
Indonesia
slim~shady retweetledi
slim~shady retweetledi

Huwa najua Idd Amin Mama ni kilaza ila sikujua kama ni kilaza wa Kiwango hiki.
Anasema Europe bei ya mafuta ni Euro elfu sita (6000) kwa lita moja, kwa hela ya bongo ni milioni 16-17
Kaenda mbali zaidi anasema Marekani bei ya mafuta ni dola elfu nane (8000) ambayo bongo ni sawa na milioni 20.
Ukweli ni kwamba bei ya Mafuta kwa Europe ni Euro 3.57
Wakati huo Marekani wao huwa hawanunui mafuta kwa lita bali wananunua kwa Gallon na Gallon moja ni Dola 3.80
Mwisho ukiwa kilaza hakikisha wasaidizi wako wanakuwa na akili hii itakusaidia kukwepa aibu ndogo ndogo kama hizi.
Indonesia
slim~shady retweetledi
slim~shady retweetledi

TUACHE KUDANGANYA WATANZANIA HAKUNA UCHUMI UNAKUA KWA KUKOPA HIVI.. 📌
Toka CAG atoe ripoti yake tunajua ya kuwa deni la taifa limekuwa kubwa sana na linatisha mno JAPO tunadanganywa kuwa deni ni stahimilivu..
Hakuna ustahimilivu wowote hapo ni kudanganya watu na kuwapa matumaini yenye lengo la kuzugazuga awamu iishe na zigo la matatizo ahangaike nalo serijali ijayo 2030.
Yoyote atakayekuja kuwa Rais baada ya 2030 akae akijua anakwenda kurithi matatizo makubwa sana ya uchumi yanayotengenezwa sasa na yaliyotengenezwa kuanzia 2021-2025 na yanaendelea kukomaa sana na kuwa sugu vibaya sana kuanzia 2025-2030..
Ukweli ambao hatutaki kuwaambia watanzania ni kuwa serikali hii kuanzia 2021-2025 imekopa sana ndani ya nchi na nje ya nchi mpaka kufikia kiwango kikubwa kuwahi kutokea toka Tanzania ipate uhuru. Hatutaki kuwaambia ukweli kuwa chini ya uwaziri wa fedha wa Mwigulu Tanzania imejiingiza kwenye madeni makubwa sana ya kujitakia ikidhwni hiyo ndiyo njia ya kukuza uchumi.
MATOKEO yake ni kuwa leo hii ukiwaambia watu uchuni umekua wanakushangaa unaongelea nini maana hawaelewi uchumi umekua wapi na kwa nani!..Hawaelewi kwa kuwa uchumi unakua kwenye makaratasi na siyo kwenye maisha yao ya kila siku kama wananchi wa hi ya chini.
Takwimu ziko wazi na zinaonyesha wazi haya japo huwezi kukuta watawala wanasema na kuambia watanzania. Watajificha kwenye kivuli cha uchumi unakua kwa 6% 😁
Takwimu zinaonyesha serikali kuanzia 2021-2025 imekopa hivi
🚨19 times zaidi ya Mkapa
🚨9 times zaidi ya Mwinyi
🚨6 times zaidi ya Nyerere
🚨4 times zaidi ya Kikwete
🚨3 times zaidi ya Magufuli
Haikuishia hapo tu ikaenda mbali zaidi ambapo (growth differential = mapato ya taifa -deni la taifa) imekuwa negative kwa miaka yote minne. Yaaani ukichukua ukuaji wa pato la taifa ukatoa hela unazolipa deni unabakia na negative!..
Negative maana yake hakuna kitu ni pungufu na unadaiwa bado yaani!.. Negative ni chini ya sifuri yaani kiurahisi kuelewa ni kuwa ukichukuwa SIFURI na NEGATIVE VALUE ujue SIFURI ni kubwa 😁
Miaka minne (2021-2025) Growth differential ya uchumi wa Tanzania ilikuwa hivi;
👉2020-2021 ni -7.1%
👉2021-2022 ni -6.1%
👉2022-2023 ni -4.8%
👉2023-2024 ni -1.7%
Viwango hivi vya negative growth differential kitaalamu vinaitwa dhaifu/deteriorating na ni kiashiria cha kuwa deni la taifa linakua haraka kuliko ukuaji wa uchumi. Yaani DENI ni kubwa kuliko KIPATO
SASA nyie wachumi wa X na waimba chorus huu uchumi ndiyo mnadanganya watanzania kuwa unakua?
Suala la kukua kwa uchumi siyo la vyama au wanaharakati au kikundi cha waimba chorus hapana ni suala la taifa zima ndiyo maana kwenye hili tumeacha kupuliza mavuvuzela na kuwaambia watawala kuwa wanadanganya watanzania na hali ni mbaya sana na uchumi uko KUZIMU..
Unapokuwa na uchumi wenye hali hii matokeo yake ni haya yafuatayo:
💡 kila siku unasema umeajiri watu lakini hakuna watu wanaoajiriwa
💡kila siku unasema tunakusanya sana kodi lakini uhakisia wa kukusanya kwako kodi hakuonekani kwenye maisha ya watanzania kwa kuwa mihela yote inalipa madeni
💡unashindwa ku subsdize bei ya mafuta kwa kuwa huna hela ya kufanya hivyo inakwenda kulipa madeni sugu
💡unaongeza mishahara wafanyakazi lakini hakuna kitu inawasaidia zaidi ya kuongeza bei za bidhaa na maisha yanapanda juu sana
💡unakuwa na miradi mingi ya maendeleo unashindwa kulipa na wakandarasi wanalia hawalipwi kwa kuwa hela inalipa madeni sugu
💡unakuwa na mashirika ya umma yanapata hasara sana kwa kuwa rushwa imetanda na hakuna jinsi ya kufanya kuyanusuru kwa kuwa walioko kwenye nafasi wana kazi ya kuiba tu
HALI hii ni mbaya sana kiuchumi na ni vyema watanzania wakaambiwa tunakokwenda ni kugumu kiasi gani na wajipange na magumu yanayokuja mbele yao!..
Huwezi ukawa na uchumi unakua na ndani ya miaka minne tu serikali imekopa matrilioni ya pesa mara tati zaidi ya serikali iliyopita!.. Hakunaga uchumi wa hivi unakua na kama unakua basi unakuwa kwenye makaratasi tu siyo kwenye maisha ya watanzania.!
#KigogoMediaUpdates

Indonesia

"Nami naanza na ofisini kwangu kupunguza matumizi ya mafuta, ninapotembea maofisa wakubwa wote na magari yao huwa wananifuata. Kuanzia sasa maofisa wote hao nitawaingiza katika basi moja, kupunguza matumizi ya mafuta, hivyo hivyo na nanyi katika maeneo yenu tupunguze matumizi ya mafuta" Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Filipino
slim~shady retweetledi

Hili limama lenu kichwani kuna FUNZA?
Anasema Europe bei ya mafuta ni Euro elfu sita (6000) kwa lita moja, kwa hela ya bongo ni milioni 16-17
Kaenda mbali zaidi anasema Marekani bei ya mafuta ni dola elfu nane (8000) ambayo bongo ni sawa na milioni 20.
Ukweli ni kwamba bei ya Mafuta kwa Europe ni Euro 3.57
Wakati huo Marekani wao huwa hawanunui mafuta kwa lita bali wananunua kwa Gallon na Gallon moja ni Dola 3.80
Elimu mbali mbali inaongea na hutashangaa wanapiga makofi na suti zao kama misukule.
Nchi imeozeana inanuka kishenzi.
Indonesia

Ile tukunyema Haina Ubongo asee
Tito Magoti@TitoMagoti
@Roma_Mkatoliki Sasa yule mwendawazimu dala alfu 8 katoa wapi?
Filipino



