Anko J

20.5K posts

Anko J banner
Anko J

Anko J

@IamMborrow93

Content creator 🖊️, Wisdom.

🇹🇿 Katılım Haziran 2024
925 Takip Edilen1.5K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Anko J
Anko J@IamMborrow93·
Weka bango lako tuone….👇🏽
Anko J tweet media
Filipino
74
213
2.6K
251.4K
Anko J retweetledi
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Hawa wanaenda wapi?
WHYMYCATISSAD tweet media
Indonesia
53
29
804
48.8K
Anko J retweetledi
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Dompinyo na Mwenzake Cheif Kyando. Wamelalamika kuikosa million 20 ya CRDB na ku-share image ya views zao kwa contents za CRDB walizotengeneza na kupost. Screenshots kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
Filipino
19
8
460
65K
Anko J retweetledi
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Ahmed Abdallah atarudi redioni kweli huyu?😅
WHYMYCATISSAD tweet media
13
14
574
30.8K
Anko J retweetledi
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Ukishakua Jela Watu wanaoweza kukupambania ni wale waliokuwa nje.🥲
The mandevu tweet media
Indonesia
16
103
1.5K
22.7K
Anko J retweetledi
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Oya ni kweli?
Latto 𝕏 tweet media
Filipino
38
17
753
74K
Anko J retweetledi
Anko J
Anko J@IamMborrow93·
Tuone umevaaje leo miguuni……? Thread……👇🏽
Anko J tweet media
Eesti
4
5
10
481
Anko J retweetledi
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
Yeye yupo Canada anafurahia ila anakwambia Lisu asifanye maridhiano abaki tu gerezani.
Adui Wa Yanga tweet media
Indonesia
25
28
152
9.7K
Anko J retweetledi
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
Boss wa record label ya 'Mavin Records' Don Jazzy ametuambia kwa mara ya kwanza alimjulia na kumpata msanii wake #AyraStarr kupitia mtandao wa Instagram. 🗣Don Jazzy anasema alimwomba msichana mmoja amtumie akaunti za marafiki zake wa kike wenye vipaji vya muziki ndio akatumiwa handle ya Sabi Girl Ayra Starr. Unaambiwa Don Jazzy alim-follow Ayra Starr instagram na siku akajipost akiwa anaimba na kilichofuata baada ya hapo ni historia. #EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha
EastAfricaTV tweet media
HT
5
8
304
23.2K
Anko J retweetledi
Sia Da Vinci💎
Sia Da Vinci💎@siadevinci·
Sema nmegundua kuna Ugonjwa wa vibamia linaandama hili taifa. Lile shimo la kawaida sana. Mbona wote mmepitia kwenye mashime makubwa zaid ya hilo.
Sia Da Vinci💎 tweet media
Filipino
42
4
161
57.1K
Anko J retweetledi
britishboe
britishboe@british77boe·
Mbali na yote hapa nani anastahili kupewa maua yake?Legend?
britishboe tweet media
Indonesia
24
14
185
50.1K
Anko J retweetledi
ROSALINE🦋
ROSALINE🦋@AmRosalinee·
Imebidi nijikague mara10😂😂 Hii ni koneksheni Bora ya mda wote 🙌🙌😂😂
ROSALINE🦋 tweet media
Indonesia
38
23
151
38.4K
Anko J retweetledi
Hanis♣️
Hanis♣️@__Masstown·
Good Morning My Friends🌄
Hanis♣️ tweet media
English
41
27
317
29K
Anko J retweetledi
kibaha_finest
kibaha_finest@kibaha_finest·
Tuwachanganye joining 2026 wahenga hawaamini macho yao mwamba alikula mtu na dada yake.🤣🤣🚮
kibaha_finest tweet mediakibaha_finest tweet media
Indonesia
29
23
344
42.4K
Anko J retweetledi
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Afisa Mkuu wa Serikali ameonya kuwa Kenya iko katika hatari kubwa ya kupokonywa haki yake ya kuandaa Mshiriki Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 kutokana na uhaba mkubwa wa fedha na ucheleweshaji wa ujenzi wa Viwanja. Katibu Mkuu wa Michezo Elijah Mwangi alifichua kwamba nchi bado haijalipa ada yake ya lazima ya Ksh3.9 Bilioni (Dola Milioni 30) kwa Shirikisho la soka Afrika (CAF). Mgogoro wa kifedha unachangiwa na vikwazo vikubwa katika ukarabati wa Uwanja. Mwangi aliwafahamisha Wabunge kwamba Viwanja vya Kasarani na Nyayo huenda vikawa tayari katika muda wa miezi sita uliowekwa na CAF. Alieleza kuwa Mkandarasi anayekarabati Uwanja wa Kasarani amepunguza Wafanyakazi wake kwa kiasi kikubwa kutokana na deni la Serikali la zaidi ya KSh3.7 bilioni. Hali katika Uwanja wa Nyayo ni mbaya zaidi, huku mkandarasi akiacha eneo kubwa kutokana na fedha ambayo haijalipwa inayozidi Ksh2.6 bilioni. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
20
19
436
32.1K
Anko J retweetledi
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Senegal wamenikosha Sana, wamesema hawapo Tayari kurudisha kombe wala Medali, Hawajali atakama CAF itawatoa Kwenye kushiriki mashindano tena🔥🔥
Fumbo Khan tweet media
Indonesia
34
72
1.1K
17.9K
Anko J retweetledi
Joyce Evaristi
Joyce Evaristi@JoyceHuru·
Kimeumana jimbo lipo wazi tena
Joyce Evaristi tweet media
Indonesia
42
17
347
36.9K
Anko J retweetledi
CyriloLeo
CyriloLeo@leodigardcyrilo·
Mstaafu ana kaupepo kake, muda si mrefu wataacha kumualika
CyriloLeo tweet media
Indonesia
25
54
1.4K
40.7K
Anko J retweetledi
Mafioso
Mafioso@capitanpapilon·
Chimbo hili 😂
Mafioso tweet media
Filipino
21
28
156
3.1K
Anko J retweetledi
Eng Jubel
Eng Jubel@EngJubel·
Kumbuka unaweza kua juu pasipo kuwashusha wengine.
Eng Jubel tweet media
हिन्दी
10
10
219
21.1K