iam_Jac

22.8K posts

iam_Jac banner
iam_Jac

iam_Jac

@Iam_jac5

I hope that by 2050 the entire solar system will have been explored and mapped by flotillas of tiny robotic craft. #BabeHuman

Katılım Şubat 2020
178 Takip Edilen805 Takipçiler
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Spana ambazo Serikali haram ya Idd Amin Mama inapigwa kuhusu Report ya Uwongo ya Tume ya Jaji Chande zimewavuruga sana. Juzi kati Lazaro Nyalandu alipanga kufanya Interview na media moja hivi ya Kimataifa ili azungumzie Report ya Chande, alienda studio za Media hiyo vizuri tu, kila kitu kikawa tayari kwa ajili ya kuanza Interview. Kabla hata hawajaanza kurekodi akapigiwa simu moja tu akaambiwa asiendelee na hiyo Interview yake kwasababu Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama imeamua kwamba mtu pekee ambae atazungumza kuhusu Report ya Jaji Chande ni Profesa Kabudi na Watu wa Tume tu. Nduli Idd Amin mama anataka Kabudi ndo awe anazungumza kwasababu yeye ndo Muandishi wa Report hiyo, anajua matakataka yote ambavyo wameweka ndani ya Report hiyo. Basi ikabidi jamaa asitishe kila kitu na kuondoka zake mdogo mdogo yani kama jamaa aliambiwa punguza kiherehere.😂
Hilda Newton tweet media
Indonesia
41
125
892
55K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Huyu Bongo Zozo sio Mtanzania lakin ni mtu ambae anaelewa maumivu na mateso ambayo Watanzania tunapitia, hawezi kufumbia macho udhalimu wa Idd Amin Mama. Mungu amlinde aisee maana ni wachache sana wenye moyo kama wake.🙏😭
Indonesia
19
161
666
9.5K
Joseph Oleshangay
Joseph Oleshangay@Oleshangay·
Huyu kimeo atakuwa amewafunga watu wangapi kwa ushahidi wa kupika?
Indonesia
7
18
104
2.6K
Harry
Harry@HarryGodfirst·
Uongo una miguu mifupi. Profesa Jumanne, Huyu Bibi alikuwa GAZA akishuhudia hizo maiti pale MOCHWARI ? Hii Tume ya kina Chande & Jumanne ni ya watu wa hovyo kuwahi kutokea.
Harry tweet media
Filipino
16
95
295
14.1K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Sawa tusiwatukane, tusiwapige mawe, basi hata kuwasusa hawa wazee tumeshindwa? Wametudharau na kutuonyesha kidole cha kati! Acha niendelee na mambo mengine maana wamenitia hasira sana!
Filipino
10
45
306
7.8K
iam_Jac
iam_Jac@Iam_jac5·
Chande ameingia kwenye mgogoro mkubwa sana na jamii kabudi na Samia wamemtumia vibaya sana huyu mzee Umma wa sasa ukifanya kosa unawajibishwa
Indonesia
40
112
533
39.8K
iam_Jac retweetledi
#KatibaMpya
#KatibaMpya@KatibaMpyaTz_·
Samia anakwenda kwa majirani @bonifacemwangi @upendomoja Huyu ambaye ameua wakenya na kufanya mateso makubwa kwa baadhi yao atakuwa Kesho anafika leo @edwinsifuna @MarthaKarua huyu mfukuzeni sio kiongozi halali wa Tanzania pia ametesa wana Afrika mashariki
#KatibaMpya tweet media
Indonesia
2
15
23
1.6K
iam_Jac retweetledi
mwananchidr
mwananchidr@mwananchidr·
Mtamuelewa Padri Daudi kwasababu ameamua aweke kila kitu wazi
Indonesia
5
135
609
17.9K
iam_Jac retweetledi
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Mimi huyu alinichekesha baada ya 29 Oct akakaa kimya kusoma upepo. Alipoona upepo umepungua akaanza kuandika Kiingereza kuwa eti nae alishiriki Demonstration kituo alichopiga kura 🤣
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe

I stand with the people of Iran against any genocidal threats by US president. The world must condemn and take action intended war crimes by the US and Israel against another sovereign state of Iran

Filipino
27
20
158
11.4K
iam_Jac retweetledi
#KatibaMpya
#KatibaMpya@KatibaMpyaTz_·
Kibibi sasa kinapanga kuua baadhi ya wajumbe kwenye hii Tume Kinasema wanaleta ujuaji lazima CHADEMA na Lissu washughulikiwe, alichotaka ni kurahisisha mambo hii tume inakwenda kukusanya maoni ya watu na haikuwa malengo, wanatuhumiwa wamehujumu serikali Tamaa imemponza CHANDE
#KatibaMpya tweet media
Indonesia
5
18
83
5.2K
iam_Jac retweetledi
#KatibaMpya
#KatibaMpya@KatibaMpyaTz_·
Bashite alisema atashughulikia wote wanaoutata urais 2030, Hizi Zee limenasa kwenye mitego ya Bashite sababu ya kupenda ngono na watoto, lime recordiwa Zainabu Hotel. Huyu sasa atabeba sumu za Bashite na kurecordi watu anazungumza nao au kuwatengenezea Ajali Kisiasa
#KatibaMpya tweet media
Filipino
8
12
125
20.6K
iam_Jac retweetledi
Brenda Rupia Jonas
Brenda Rupia Jonas@BrendaRupia·
Mwenezi wa @ccm_tanzania yuko wapi?Jana alituambia hatujui kufanya uchambuzi wa uchumi turudi shule.Leo tunaambiwa Europe wananunua mafuta kwa EURO 400 na marekani $600.Na hii ni kwa lita moja sio?
Indonesia
78
91
449
16.6K
iam_Jac retweetledi
#KatibaMpya
#KatibaMpya@KatibaMpyaTz_·
Kwa Watanzania nani anamjua huyu August Dominick Mrema !? Je haya mambo ya kuingiza mafuta machafu na kuchezea Bei hii Oryx Tanzania hawafanyi ? Maana kwa Tanzania ni wakubwa zaidi ukilinganisha na Kenya Huku Tanzania wanakuwa Malaika uchafu wanafanya kenya Tu?
Ahmednasir Abdullahi SC@ahmednasirlaw

This is ORYX...the other company involved in the oil scam...I'm told a third company is involved. Once I confirm the same i will post its CR 12. I REPEAT AGAIN if the government is serious about getting to the bottom of this scam then it must go against ALL THE DIRECTORS of these companies.

Indonesia
0
3
2
873
iam_Jac retweetledi
#KatibaMpya
#KatibaMpya@KatibaMpyaTz_·
TAHADHALI Huyu ni mtu hatari, kwa jamii ni afisa wa TISS ana mahusiano na familia ya Kizimkaz anazunguka mtaani kutafuta taarifa za watu wa kutekwa hata maafisa wa Tiss wanamuogopa huyu ana link moja kwa moja na familia ya kizimkazi, Mtu hatari kazi zake ni mbaya sana
#KatibaMpya tweet media
Indonesia
8
37
176
20K
iam_Jac retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Mungu akubariki sana.
Indonesia
47
510
2.1K
52.8K
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
ikulu_Tanzania tweet media
हिन्दी
59
31
137
17.9K
Hasta La Victoria Siempre
Hasta La Victoria Siempre@Oktoba29·
Ima elimu yake nikiwaambia mtacheka sana, ima ni TISS jinga sana na ima ana kitu moyoni juu ya Msoga. Msoga fala sana katumia account ya Kijiti mda mrefu sana tunamchora.
Hasta La Victoria Siempre tweet media
Indonesia
17
28
362
45.1K