Imaglass

560 posts

Imaglass banner
Imaglass

Imaglass

@Imaglass8

At work

Katılım Temmuz 2021
621 Takip Edilen169 Takipçiler
Imaglass retweetledi
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
Kumbe kwa sheria za Usalama Barabarani Boda Boda na Baiskeli havina haki ya kutumia Barabara kuu. Ivo Mwendesha gari akimkanyaga Boda boda hana kosa lolote kisheria maana boda boda ndo kamfuata kwenye njia yake. Boda boda muwage wapole kwenye barababara sio njia zenu zile na sheria haiwatambui. Mnatambulika tu na CCM siku wakiwahitaji kwenye kampenzi zao😂
Indonesia
22
9
129
13.4K
Imaglass retweetledi
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Kuna kipindi cha maisha kinaitwa “Isolation Season.” Ni pale Mungu anaanza kukutenga. Marafiki wanaondoka. Mialiko inapungua. Maisha yanakuwa ya kimya kwako . Unaweza kufikiri umepoteza watu. Kumbe unaandaliwa kubeba vitu ambavyo usingeweza kubeba ukiwa kwenye kelele nyingi.
Indonesia
2
16
78
1.8K
Imaglass retweetledi
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Mwanamke anapokupenda kweli, haombi ubaki vile ulivyo. Anaomba Mungu akupeleke mbali kuliko ulipo leo. She doesn’t pray for your comfort. She prays for your future. Anafurahia kila hatua unayopiga, kwa sababu anaiona kama ushindi wenu wote. That kind of love is selfless, quiet, and rare. Na sio kila mtu hupewa zawadi ya kuipata.
Filipino
2
14
70
1.5K
MWANAHISABATI
MWANAHISABATI@ArthurGeil·
Unateseka sana kwenye mahusiano kwa sababu unaogopa kuachwa😂
Indonesia
1
3
43
882
Imaglass retweetledi
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Binti mmoja baada ya kufika Same Kama Ajira mpya . Wanakijiji wakampa shamba bure tu kwasababu yeye ni Mtumishi wa serikali . Binti anasema akapanda migomba 800. Baada ya muda, migomba yote ikaanza kuzaa. Akauza mkungu mmoja kwa wastani wa 12,000 TZS. 800 × 12,000 TZS kwa mkungu = 9,600,000 TZS kwa mavuno. Msimu baada ya msimu, shamba likaendelea kumlipa. Vijijini kuna Maisha …
Indonesia
14
17
104
9.3K
Imaglass retweetledi
MWANAHISABATI
MWANAHISABATI@ArthurGeil·
Mkumbushe mwanao kuwa... Akijifunza kuamka mapema, kutimiza ahadi zake na kumaliza kazi bila kusukumwa, atakuwa mbele ya wengi. Mara nyingi mafanikio huanza na tabia ndogo ambazo watu wengi huzipuuzia.
Indonesia
4
18
69
957
Imaglass retweetledi
MWANAHISABATI
MWANAHISABATI@ArthurGeil·
Nakumbuka kabla ya kifo chake aliniangalia usoni kisha akasema... 🪡
Indonesia
2
4
25
1.1K
Imaglass retweetledi
sanjo
sanjo@Sanjodaud_·
Tenga siku moja utembelee kijijini kwenu utawaona wazee. Kuna siku ninekaa napiga story na mzee, yeye alikuwa mtu wa ziwani sana . Alipiga kazi ya uvuvi ndani ya miaka 20 mfululizo bila kuchoka. Wakati tukiwa watoto, hatukuwahi kula dagaa wa furu(samaki wadogo) kwa sababu kipindi kile hakukuwa na aina hiyo ya mazao ya majini. Mzee alikuwa gwiji kwa habari za uvuvi maana nilimuuliza kuhusu uwezo wake wakutambua uelekeo wanapokuwa kwenye maji kwa maana inavyoelezwa "Ukiwa ziwani sehemu ya nchi kavu huwa haionekani". Mzee anasema ni sahihi ukiwa majini unapaswa kutembea na alama za nyota, namna ya usomaji wa nyota za angani zilitupa urahisi wa kutambua wapi tupo kwa kufuta nyota fulani kwa kuzingatia muda husika. Ilibidi niseme mzee naomba tueleze hiyo ilifanyika namna gani usiku uliofuata🫡 𝕏 kaeni na wazee wawape mambo ya kale maana vya kale ni dhahabu .
Filipino
0
6
13
166
Imaglass retweetledi
I AM
I AM@francismtey·
Mwakinyo ni mmoja ya mtu... Mwenye uwezo mkubwa Wa Kuzumnguza na kupangilia maneno. Interview yake ya juzi na Dozen, Alisema... "Watu wanaoshika TASBII ni moja ya watu hatari sana" "Bora mvuta Sigara na Muhuni kuliko WATU WA DINI" Jamaa yupo Vizuri. Akiandika Kitabu Nitanunua. ... FRANCIS | ABRACADABRA
Indonesia
5
12
98
4K
Imaglass retweetledi
The ChandO
The ChandO@SadickTusia·
Bilionea MNigeria Femi Otedola alipoulizwa kwenye interview, ya Simu na Mtangazaji wa Radio, "Sir ni kitu gani unachokumbuka kilichokufanya uwe na furaha maishani?" Femi alijibu: "Nimepitia hatua nne za furaha katika maisha yangu na mwishowe nilielewa maana ya furaha ya kweli." Hatua ya Kwanza ilikuwa ni kutafuta Mali na kulimbikiza. Lakini katika hatua hii sikupata furaha niliyoihitaji. Nikaingia hatua ya pili ya kujinunulia vitu vya thamani. Lakini niligundua kuwa vitu vyote hivi vinakupa furaha ya muda tu ambayo haidumu. Nikaingia hatua ya tatu ya kufanya miradi mikubwa. Ni katika hatua hii nilikuwa ninasambaza 95% ya Diesel Nigeria yote na Africa Kwa ujumla. Pia nilikuwa mmiliki mkubwa wa Vessel Africa na Asia. Lakini pia hapa sikupata furaha niliyokuwa nimeifikiria. Hatua ya nne ilikuwa ni kipindi ambacho Rafiki aliniomba kununua Wheelchairs Kwa ajili ya watoto walemavu. Walikuwa kama watoto 200 hivi. Baada ya kuombwa na rafiki yangu nilinunua Wheelchairs 200 mara moja. Lakini pia aliniomba niambatane naye ili nikawakabidhi watoto zile wheelchairs. Nilijiandaa nikaambatana naye. Nikawagawia zile wheel chairs Kwa mikono yangu mwenyewe. Niliona furaha ikitawala kwenye nyuso za hawa watoto. Nikawaona wamekaa kwenye wheelchairs, wakizunguka na kufurahia. Ilikuwa ni kama wako Picnic wakisherehekea ushindi wa bahati nasibu. NiIihisi furaha ya kweli ndani yangu. Nilipotaka kuondoka mtoto mmoja alinishika miguu yangu. Nilijaribu kujinasua taratibu lakini alinikazia macho akinitazama usoni. Niliinama chini nikamuuliza, kuna kitu kingine unahitaji? Jibu alilolitoa mtoto huyu sio tu kwamba lilinipa furaha bali pia lilinifanya nibadili kabisa mtazamo wangu juu ya maisha. Mtoto huyu alisema: *"Ninakuangalia ili niikumbuke Sura yako, siku nikikukuta mbinguni niweze kukutambua na kukushukuru tena."* Je Wewe mwenzangu, utakumbukwa Kwa lipi utakapoondoka kwenye hiyo Kampuni, Ofisi, Biashara, Kazini au mahali unapoishi? Je kuna Mtu atatamani kuuona uso wako tena siku za usoni?.👇 ..Pia kama bado sija ku ADD kwenye group la "ELIMIKA WHATSAPP" basi nitumie meseji apa, tujumuike wote...👇 whatsapp.com/channel/0029Vb… Basi nita ku ADD ni free tunashare mambo ya muhimu tu kujifunza🙏
The ChandO tweet media
Indonesia
0
7
26
4.4K
Imaglass retweetledi
MWANAHISABATI
MWANAHISABATI@ArthurGeil·
Ikiwa wewe ni mwanaume na unapitia mateso au kipindi kigumu…, Yafiche maumivu yako na usimwambie mtu yeyote, kwa sababu, Watu wakiona unateseka, watakujibu kwa dharau na sio kwa huruma.
Indonesia
2
12
69
1.4K
Imaglass retweetledi
The ChandO
The ChandO@SadickTusia·
Maisha hayajawahi kuja na maelekezo, rafiki yako wa Leo kesho anaweza kuwa Adui yako na Adui yako wa Leo miaka mitano mbele anaweza kuwa RAFIKI YAKO. Kikubwa usijipe umuhimu kwenye maisha ya watu na pesa pekee unayotakiwa kuipigia hesabu ni pesa yako na sio ile Ahadi ya Mjomba au rafiki ama mpenzi aliyokupa. Mwisho: Dada endelea kuvuta shisha, chora na tatoo pia kunywa mapombe lakini ukifika muda wa kuoa boyfriend wako ataenda kuoa mwanamke mstaarabu tu mwenye hofu ya Mungu alafu wewe atakutolea Kama mfano wa MWANAMKE USIEJIELEWA NA KUJITAMBUA ~ The ChandO🫵
Indonesia
1
6
48
2.2K
Imaglass retweetledi
Taivina James
Taivina James@Thereal_taivina·
Msimu ujao tunakuja kuipaka Rangi Kamari.
Taivina James tweet media
Eesti
2
14
168
3.9K
Imaglass retweetledi
Taivina James
Taivina James@Thereal_taivina·
Hili Dili la kumchafua Fabrizo Romano amekula sativa na nani mwingine?
Taivina James tweet media
20
34
562
16.4K
Imaglass retweetledi
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Mwanamke akikupenda for real, atafurahia kuona unakua. Sio kwa sababu mafanikio yako yanamnufaisha yeye . Bali kwa sababu moyo wake unafurahia kukuona ukitimiza kile Mungu alichoweka ndani yako. That kind of love is not common.
Filipino
4
26
151
2.1K
Imaglass retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Hakuna maridhiano baada ya uchaguzi Maridhiano ni kabla ya uchaguzi, baada ya uchaguzi ni uwajibikaji -Humphrey Polepole alitoa huu ujumbe wa mwisho masaa machache kabla ya kutekwa! Na sisi tunashikilia hapohapo! #FreePolepole #SamiaMustGo
Indonesia
28
396
1.4K
40.5K