Wajibu_Institute

1.9K posts

Wajibu_Institute banner
Wajibu_Institute

Wajibu_Institute

@InstituteWajibu

Experts in: • Public Financial Management • Social Accountability • Corporate Governance, and Leadership | [email protected] RTs are not endorsement

Ndovu Street, House No 10 Katılım Ekim 2018
397 Takip Edilen1.9K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Wajibu_Institute
Wajibu_Institute@InstituteWajibu·
The Principles of Public Sector Auditing Textbook is out. Place your order to get your copy. Call/Text +255736666916
Wajibu_Institute tweet media
English
0
22
56
0
Wajibu_Institute
Wajibu_Institute@InstituteWajibu·
This week, we were honored to be invited by H.E. Jesper Kammersgaard, the Ambassador of Denmark for a productive discussion on strengthening PFM, Equitable in trade practices, and sustainable public procurement in the country. We look forward to advancing our collaboration.
Wajibu_Institute tweet mediaWajibu_Institute tweet media
English
0
2
2
311
Wajibu_Institute retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Katika zahanati hiyo moja ya Uzi, kuna daktari mmoja pekee. Hakuna wakunga wa kutosha. Kwa mama mjamzito, hii maana yake ni kusubiri au kusafiri umbali mrefu, wakati mwingine maisha yanakuwa kwenye hatari. #RaiaMakini @policy_F @InstituteWajibu
Indonesia
0
5
12
1.5K
Wajibu_Institute retweetledi
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Ukosefu wa maji Malamba Mawili umewalazimisha wakazi kununua maji kwa gharama kubwa kila siku. Je, ni haki kwa wananchi wa kipato cha chini kubeba mzigo wa huduma ambayo kikatiba inapaswa kupatikana kwa wote? #RaiaMakini @policy_F @InstituteWajibu
Filipino
0
1
6
132
Wajibu_Institute retweetledi
Ngusa
Ngusa@ngusadien·
@MarekaMalili @policy_F @InstituteWajibu Mfano, chukulia viongozi wanasema wanalinda katiba kwa kutumia katiba kumwajibisha raia, lakini katiba haiwajibishi viongozi, unategemea nini
Indonesia
0
2
2
404
Wajibu_Institute
Wajibu_Institute@InstituteWajibu·
WAJIBU  will be closed for the holiday season from 22nd December 2025 to 5th January 2026. We thank our stakeholders, and the public for the continued trust and collaboration throughout the year. Wishing everyone a peaceful and joyful holiday season!
Wajibu_Institute tweet media
English
0
1
0
108
Wajibu_Institute
Wajibu_Institute@InstituteWajibu·
It was a valuable learning experience that reflected the importance of knowledge sharing and learning partnerships.
English
0
0
0
13
Wajibu_Institute
Wajibu_Institute@InstituteWajibu·
The visit was primarily focused on learning and exposure, giving the interns an opportunity to better understand WAJIBU’s programs, with particular emphasis on our youth interventions, as well as to gain insights into the Public Financial Management (PFM) landscape in Tanzania.
English
1
0
0
21
Wajibu_Institute
Wajibu_Institute@InstituteWajibu·
On 15th December, we were pleased to host Ella Pyk and Olivia Johansson, interns from the @SwedeninTZ at WAJIBU for a learning visit.
Wajibu_Institute tweet mediaWajibu_Institute tweet mediaWajibu_Institute tweet media
English
1
0
1
29
Wajibu_Institute retweetledi
Kamala Dickson
Kamala Dickson@ItsKamala·
'Matumizi duni masoko ya kisasa Dar yanavyopoteza mapato" Soko lililokuwa na wafanyabiashara 925, lakini sasa ni 650 wengi wamekata tamaa wameondoka masokoni. Masoko yamejengwa kwa fedha kubwa ila wateja hawako @policy_F @InstituteWajibu #RaiaMakini
Kamala Dickson tweet media
Filipino
1
5
11
1.1K
Wajibu_Institute retweetledi
Kamala Dickson
Kamala Dickson@ItsKamala·
Uchunguzi uliofanywa na Dailynews Digital miezi 3 katika masoko matatu ya kisasa ya Magomeni, Tandale na Bwawani,masoko hayo bado hayajatumika kama ilivyopangwa. Soko la Magomeni Sh bilioni 10.5, Soko la Bwawani bilioni 1.5 na Soko la Tandale Sh B 10.2 @policy_F @InstituteWajibu
Filipino
0
3
20
3.3K
Wajibu_Institute
Wajibu_Institute@InstituteWajibu·
WAJIBU – Institute of Public Accountability is looking for an Advocacy and Engagement Officer (AEO) to join our Zanzibar Office.
Wajibu_Institute tweet media
English
0
0
2
85
Wajibu_Institute retweetledi
policy forum
policy forum@policy_F·
Wakazi wa vijiji vya nanjilinji A na miguruwe wilayani Kilwa wameeleza kwamba mradi wa raia makini uliotambulishwa kwao na shirika lisilo la kiserikali TUJIWAKI utawasaidia kutambua majukumu yao kama wananchi na kuisimamia serikali kwenye utekelezaji wa miradi ya kimaendeleo ili ilete tija. Wameyazungumza hayo kwenye mikutano ya hadhara Kwa nyakati tofauti yenye lengo la kuutambulisha mradi huo. Wananchi hao pia wamepata nafasi ya kuuliza maswali muhimu kuhusu mradi huo namna utakavyotekelezwa kwenye vijiji vyao na kushukuru Kwa ujio wa mradi huo kwani utawawezesha kufatilia mambo yanayohusu maendeleo ndani ya vijiji vyao. Awali mratibu wa mradi wa raia makini PILI MKEMI ameeleza mradi huo unatekelezwa kwa ushirikiano wa shirika la WAJIBU na POLICY FORUM kwa ufadhili wa Umoja wa Ulaya ukiwa na malengo ya kuwawezesha wananchi kufatilia masuala ya uwazi na uwajibikaji kwenye kwenye matumizi ya fedha za umma pamoja na maendeleo ya jamii zao. #RaiaMakini
policy forum tweet media
Indonesia
0
1
0
189
Wajibu_Institute
Wajibu_Institute@InstituteWajibu·
YAIF 2025 is where youth voices drive change and shape the future.
English
0
0
1
29
Wajibu_Institute
Wajibu_Institute@InstituteWajibu·
Through this theme, we’ll explore how youth can drive changes through fight corruption, and ensure responsible use of public resources while unlocking opportunities for sustainable economic growth. From presentations, panels to actionable solutions,
English
1
0
0
34
Wajibu_Institute
Wajibu_Institute@InstituteWajibu·
YAIF 2025 is here! This year on 13th and 14th August at Point Zone Resort- Arusha, we’re gathering passionate young minds, change-makers, and accountability champions under the theme: “Accountability and Economic Growth: Amplifying Youth Voices in the Development Agenda.”
Wajibu_Institute tweet media
English
1
0
2
82
Wajibu_Institute retweetledi
Tanzania CSO Network
Tanzania CSO Network@CSO_Network·
LEO NI SIKU YA UZINDUZI..! 📍 Youth Manifesto / Ilani ya Vijana Tanzania 2025 📅 Makumbusho ya Taifa Vijana wote 👉 Hii ni nafasi yetu ya kusikika, kuamua na kushiriki kujenga Tanzania bora! Usikose kuwa sehemu ya historia. #YouthManifesto2025
Tanzania CSO Network tweet mediaTanzania CSO Network tweet media
Indonesia
1
6
7
488
Wajibu_Institute
Wajibu_Institute@InstituteWajibu·
"Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo Mifugo na Uvuvi 2025"
Wajibu_Institute tweet media
Español
0
1
1
491
Wajibu_Institute
Wajibu_Institute@InstituteWajibu·
WAJIBU na @policy_F wazindua Ripoti Tatu za Uwajibikaji za mwaka 2023/24. Ripoti hizo zimezinduliwa na Bw. John Kabale, Mkurugenzi Msaidizi kutoka TAKUKURU. Uzinduzi ulichagizwa na mada iliyowasilishwa na Mtoa Mada mkuu Mhe. Jaji Mstaafu Robert Makaramba,Dodoma. #RaiaMakini
Wajibu_Institute tweet mediaWajibu_Institute tweet mediaWajibu_Institute tweet mediaWajibu_Institute tweet media
Indonesia
0
4
4
813
Wajibu_Institute retweetledi
Kamala Dickson
Kamala Dickson@ItsKamala·
@InstituteWajibu na @policy_F Waandae Bango Kitita la Uwajibikaji (Accountability Matrix) Kuangalia maeneo yenye Vihatarishi vya Uwajibikaji, Ushahidi, na nani anapaswa kuwajibika katika matumizi ya fedha za Umma~ Jaji Mstaafu Makaramba #RaiaMakini
Kamala Dickson tweet media
Indonesia
0
4
4
528