Chandra 🌟
2.4K posts

Chandra 🌟
@ItsMatemu
There is no friendship without self-interest.
London, Ontario Katılım Haziran 2020
354 Takip Edilen411 Takipçiler

@astropics So you can get all seasons in a single day? That's wild
English

@EsirEid Hapana, angalia muktadha aliolinganishwa nao. Persecution. Sio Ukuu wake
Filipino

#TajiriLaKihaya
Ikiwa dini yako inamlinganisha mtu mwenye ubinafsi uliopitiliza, mlaghai na mnyanyasaji wa kingono wa watoto…
NA YESU,
basi unahitaji dini mpya.
Indonesia

@KwadwoKyeremehT @elliot_solution You are cutting corners, stay on lane
English

@elliot_solution They have systematically downplayed the 94 million deaths as a footnote of history, whiles only talking about theirs (6 million)
English

The most violent century in human history was the 20th century.
The two deadliest conflicts ever were World War 1 and World War 2.
Neither was fought in the name of religion.
Stalin was atheist. Killed 20 million.
Mao was atheist. Killed 45 million.
Hitler was not motivated by religion.
Killed 6 million Jews.
The problem was never religion.
The problem has always been power and the humans who want it.
Religion is just one of the tools they use.
Take it away and they will find another.
Nandi 🤍💜🤍@pallnandi
The world would be a lot more peaceful if religion didn’t exist.
English

@HecheJohn Huyu Baba namuonea Huruma sana, lakini nikiiangalia kesho anayoipigania najipa Moyo na kusema "napaswa kumuunga mkono".
Filipino

KUTOKA KATIKATI YA KUTA ZA MAGEREZA UKONGA, ANAANDIKA TUNDU ATIPHAS LISU:
Mwaka 1988 mto Vaal huko Free State ulifurika na kujaza bwawa kubwa la kuzalisha umeme la Vaal Dam. Bwawa likazidiwa maji na kutapika. Sehemu kubwa ya maji yakaenda kuathiri mashamba ya makaburu huko Free State na Gauteng. Nyumba za wakulima wa kizungu zikabomoka, na vifo 11 vikaripotiwa.
Wakati huo kulikuwa na mapambano makali ya watu weusi kudai uhuru kutoka kwa makaburu. Baada ya makaburu kupata majanga hayo ya mafuriko, maelfu ya watu weusi walishangilia mitaani na wengine wakifanya sherehe kama ishara ya kushukuru "miungu" yao kwa kuwalipia kisasi.
Rais Pieter Willem Botha, mmoja wa Marais katili mno wa Kikaburu, akalaani kitendo cha Waafrika kushangilia vifo vya makaburu. Huyu ni yule aliyewahi kusema Waafrika hawana akili za kujitawala, wanapaswa kutawaliwa milele. Baada ya mafuriko hayo P.W Botha akasema serikali yake haitawavumilia walioshangilia vifo vya makaburu kwa sababu huo si ubinadamu.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama cha ANC, Walter Sisulu, akamjibu P.W Botha kwa maneno ambayo yanaishi hadi leo. Sisulu alisema:
"Kama makaburu hawaumizwi na vifo vya watu weusi, wasitegemee kwamba weusi wataumizwa na vifo vyao. Weusi wameuawa kinyama na makaburu, na wengine hawakupewa hata heshima ya kuzikwa; walifukiwa kwenye makaburi ya halaiki kama wanyama. Leo, makaburu wakifa wanataka weusi waomboleze? Huku ni kujipa haki kubwa kuliko hata malaika.
Hamuwezi kuua watu weusi, muwafukie kama mizoga, halafu mkifa nyie mnataka watu haohao wasikitike. Binadamu ni yule yule, awe mwenye ngozi nyeusi au nyeupe. Kama wewe kaburu unaumizwa na kifo cha kaburu mwenzako; unapaswa kuumizwa na kifo cha mtu mweusi pia. Kuwa mweupe au kuwa na madaraka hakukufanyi kuwa binadamu kuliko wengine. Utu wetu haupo kwenye rangi za ngozi zetu wala vyeo vyetu.”

Indonesia

@ItsMatemu @prossoff Qmmk kweli yaani,unalomba Bar Maid,kimoyomoyo unajisemea huyu napiga mara mbili nasepa sitaki mazoea. Ila baada ya hapo sasa kazi unaanza kuielewa mpaka unatamani uipost! Hata uambiwe mtu fulani anakula,unaumia na kuwa na wivu qmmk utadhani unaoa.
Indonesia

DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE.
1. Anauza duka la mtu.
2. Migahawani na mahotelini.
3. Bar maid.
4. Muhudumu wa Guest house/Lodge.
5. Muigizaji.
6. Mnenguaji.
7. Saloon za kiume.
8. Muhudumu wa magari.
9. Agent stendi.
10. Mtembeza mboga + matunda.
Hiyo ni aina ya ladies among other ambao wapo subjected ma wanaume aina mbali mbali.
Wanakutana na watu ambao wanazo hela zilishakosa kazi where as kazi yake inabaki ni kurutubisha mbong'o.
Huyo kama hana akili binafsi ni ngumu na wengi ni single moms katoto kako kwa bibi.😁
Indonesia

Kati ya msichana aliyesimama wakati huna chochote na msichana aliyekusaidia kuwa mtu fulani, utamuoa nani?
Nasoma comments
LADE HERSELF@Thebiglade
Between a girl who stood by you when you had nothing and a girl who helped you become somebody, who will you marry??
Filipino

Niliwasimulia kuhusu huyu mwanangu aliekuta mkewake ni ameathirika wakati yeye hana then akaendelea kuishi nae. Mnakumbuka?
Mwamba hii kitu imemtokea sijajua kama kaukwaa tayari au niaje.
Alikaa kitandani siku tatu bila kuinuka.
Anachoma sindano yanakauka kauka.

ProsperNow.@prossoff
Naanza kuamini kwamba kuna wanawake wanadawa za kuwashika wanaume wao. Kuna mwanangu mmoja amepambana na mkewake katika kuugua. Mwanamke anaumwa mara kwa mara, baada ya muda akapima HIV akakuta positive. Msela akamuachia geto na watoto, ila now wanakaa pamoja tena. MADAWA.
Indonesia

@ItsMatemu @Kenny37022462 @prossoff Yawezekana ndio sababu lakini sio issue ya ku_entertain kwa kuwa maambukizi sio lazima michubuko. Maji maji ya sehemu za siri tu yana virusi tayari halafu yawezekana bahati yake ni kuwa muhusika anaweza kuwa anatumia dawa vizuri
Indonesia

@BingwaIK @Kenny37022462 @prossoff Hivi kama hamna michubuko pia maambukizi si hayawi? Kuna jamaa nilisikiag alitumia mafut ya kula mengi kama lubricant kwa mwathirika, hakuathirika harakharak nikahis hakukuw na msuguano/michubuko
Indonesia

@Kenny37022462 @prossoff Inapunguza kasi ya kuambukiza sio 100% haambukizi. Ko itategemea level ya exposure utayokuwa nayo
Indonesia

@Shahidi_Wa_Siri @Trigga_kush Kama uko na contacts zake si anakuadd bila we kuamua? Au iko na inayozuia kiumbe yeyote?
Filipino

@Trigga_kush Ndio maana nilizuia mtu kuni-add group bila ruhusa yangu otherwise anitumie link
Indonesia

@Shahidi_Wa_Siri @Therealngassa huu mwandiko naujua..., mulemule, dah💔
Indonesia

Unpopular but true,
European football is by far the most successful colonizer Brainwashing tool in Africa.
There are millions and millions of young African men who care about nothing else in the world except EPL & Champions League.
Ever wondered,
Why do we watch their football,
yet they don’t watch ours.
English

@Shahidi_Wa_Siri @Therealngassa Umetoa kwa cm yang hiz😅😅, ukaongez neno dokta

@Therealngassa Sahihi mkuu napata shida sana kbbk , huyo ni mmoja tu wapo wengine kama watatu hvi..duuh sms znapishana tu

Indonesia

@Sativa255 Season ticket ya Camp Nou ni €420 mpaka €1000, kwa inavyoonekana watu wengi wananunuwa season ticket, zinabaki siti chache ndio mnauziwa kwa gharama, kwa hiyo bei ya €252, mechi mbili Ni zaidi ya ticket ya msimu mzima
Indonesia

Jana Creez Favors alikuwa akiangalia game ya BARCELONA live na alikata tiketi ya €252 (750,000TSH).
Naona vijana wengi wanashangaa na kuona kwamba bora waendelee kuangalia soka lao la KWASU KWASU LUPASO. Hizi ni mentality za kukosa “Exposure”.
Uwanja wa CAMP NOU ni miongoni mwa viwanja vyenye historia ya SOKA DUNIANI, huduma utakayo kutana nayo ni level za kidunia. Huduma zenyewe ni pamoja na kuiona Barcelona na wakina LAMINE YAMAL.
Sasa wewe unataka kuingia uwanja wenye level na huduma za kidunia kwa bei sawa na NJUKA? Hata ukija life style ya BARCELONA kama jiji maisha yake lazima yawe ghali sana kulingana na utakayo yakuta huko.
Tunaposifia “ULAYA IMEENDELEA” hizo huduma utakazopata kwanzia usafiri, hotel na vyakula utakavyokula lazima viwe gharama kwasababu ya hayo maendeleo. Unataka ulipie CHAKULA ULAYA sawa na utakacholiipia ukiwa NJUKA HUKO GONGO LA MBOTO?
Nchi yeyote ile ambayo imeizidi nchi yako maendeleo tegemea maisha kuwa juu kuliko NJUKA. Kwahiyo unapofikiria kuenda nchi za watu hasa hizi zilizoendelea hakikisha unayo pesa na kichwani mwako unajua unaenda kutumia pesa.
Ndiomaana ukiwa TUKUYU kitimoto kilo moja unapewa na ndizi mbili bure za kuminya—hii huduma haipo kabisa DAR, kwanza hata kitimoto chenyewe bei na ndizi utauziwa kwanzia nusu mpaka nzima.
Hii ni kutokana na maendeleo yaliyofanywa DAR hayafanani na TUKUYU— Ukiwa Dar kila kitu unalipia isipokuwa PUMZI, ila Tukuyu unaweza kupata vingi vya bure na ukaishi labda uwe unachagua vya kupewa.
Hizi mentality za KIMASKINI za kutaka kulinganisha gharama za mambele na PESA MADAFU ni kukosa akili. Tutafute hela NJUKA tuache kushangaa shangaa utakula BANZI la mgongo.

Indonesia














