Ochu Jr
5.6K posts

Ochu Jr
@ItsOchu10
| Storytelling | Photographer |

Nitatoa wapi Mwanaume hakunywi pombe,bangi na hapendi wasichana...



Traore anasema demokrasia haifai. Means kajipanga kuwa lifetime president . Africa tuna mifano mingi ya watu kama yeye, muda utasema.

Sijui kwanini ila kila siku zinavyozidi kwenda ndio ninavyozidi kupoteza na kuishiwa imani yangu kwenye DINI. NB. DINI ZOTE


This might be hard, but who’s the #1 most versatile actor on this list...

Wewe ulikutana na Waziri, alikwambia "Kuna mafuta ya kutosha" Kwanini mafuta yapande kwa 1000/= wakati bado tunatumia mafuta yaliyopo kwenye reserve ya hadi Julai? Naombeni mnipe shule hapa,haya mafuta tunayotumia yameingia kwa meli kipindi hiki cha VITA au yalikuwepo kabla?



Any religion that forbids my own language as a means of communication to God or that says I have to learn a certain language to be able to pray is not a religion but an institution of identity eradication.

























