Mchunguzi

5.4K posts

Mchunguzi

Mchunguzi

@JMagobe06

Katılım Ocak 2025
345 Takip Edilen156 Takipçiler
Mchunguzi retweetledi
ALLY MSANGI
ALLY MSANGI@ally_eh·
Kuna watu wanatumia miaka mingi wakifikiria kuanza. Na kuna wanaotumia muda huo huo kujifunza kwa kufanya. Baada ya mwaka mmoja, tofauti yao ni kubwa sana. Sio kwa sababu mmoja ni mjanja zaidi. Ni kwa sababu mmoja alianza.
Indonesia
3
11
56
784
Mchunguzi retweetledi
georgie 🇷🇼
georgie 🇷🇼@Mchinagraphics·
Kuanzia nikiwa darasa la pili Nilianza kupata wito wa kuja kuwa PADRE ni mpaka pale nilipofeli paper la seminari darasa la saba nikajichanganya skuli ya Gavoo huko nilikutana na ZAINAB na AMINA hata utumikiaji nikasahau. Imani yangu ipo siku nitarudi SEMINARI 🙏🙏
Indonesia
3
7
22
488
Mchunguzi
Mchunguzi@JMagobe06·
@Kicheche_jr This📌📌📌lazima mtu uwe na plan kadhaa za kukuingizia kipato in 10 yrs kwa thamani ya pesa ya wakati huo
Indonesia
0
0
0
43
Mchunguzi retweetledi
Comrade Kicheche Jr
Comrade Kicheche Jr@Kicheche_jr·
Narudia tena, hakikisha ukifika umri wa miaka 40 uwe na shamba la ekari 5 ili ujiandae kustaafu. Panda miti au mazao ya kukuokoa uzeeni.
Indonesia
7
7
81
1.4K
Mchunguzi retweetledi
Amir ✝️👑⛪️📖✨️
Amir ✝️👑⛪️📖✨️@AAmirKh50764293·
Thank you so much for willingness to support the ministry Your support helps us continue the work of spreading the Gospel serving the needy and reaching more souls for Christ. We truly appreciate your generosity May the Lord richly bless you and multiply back to you abundantly 🙏
English
6
25
215
2.2K
Mchunguzi retweetledi
Thomas-Josephat
Thomas-Josephat@ThomasJosephat3·
Welcome to Bukoba Hakika nyie na sisi wanyakyusa ni watani na tunafanana kwa sifa Ila kuhusu mto ngono na katerero mmetisha watani
Thomas-Josephat tweet media
Filipino
4
3
29
1.2K
Mchunguzi retweetledi
Mchunguzi retweetledi
Emmanuel Matiku
Emmanuel Matiku@EmmanuelMa30199·
Hili ndilo kanisa takatifu katoliki la mitume Am proud to be a Catholic. Hapa hatuchekeshi hatucheki na yeyote, ukweli unawekwa ustaharabu unawekwa wewe na upumbavu wako na ushetani wako utabaki nao . Ila kanisa katoliki la mitume litabaki Imara na kamilifu daima, Nipo pale.
Mamwavi_Nkabasia@joeselasini

Papa kwa Mamlaka za Kiraia nchini Algeria: "Yule anayejilimbikizia utajiri na kubaki bila kujali wengine hana haki. Mtazamo huu wa haki ni rahisi na wa kina kwani unatambua sura ya Mungu ndani ya wengine. Hakika, dini isiyo na huruma na

Filipino
0
3
7
240
Mchunguzi retweetledi
Alex at Hallow
Alex at Hallow@alexathallow·
Sad day to be an American Proud day to be a Catholic
English
1.5K
674
11.5K
292.1K
Mchunguzi retweetledi
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
Unasikia mahubiri?? Wakristo na Wayahudi huwekwa kwenye kundi moja. Wayahudi kwanza then Wakristo, hawa watu hawatanii, leo unaambiwa usiwazungumzie kidini eti?? Guess who funds them?? Tafuteni Google imerahisha upatikanaji wa taarifa.
SIZWE-BANSI@SizweBansii

🚨Muslim cleric - :The very first problem I see in America 🇺🇸 is Christianity. 👇 Seriously." This is not AI 🤖- believe them when they say it Eradicating "shirk", or in other words, destroying Christianity,is one of the highest religious duties for Muslims living in the West

Indonesia
4
7
22
1.3K
Mchunguzi
Mchunguzi@JMagobe06·
@nulphin Yeye ni mjuzi wa Uchumi🤣🤣🤣🤣🤣daaaaah
Indonesia
0
0
1
117
Dr Calipso
Dr Calipso@nulphin·
Hiki kitumbua cha kizimkazi wazee hamna akili umu. Yaan ni mbege iliyochacha
Indonesia
23
25
128
8.1K
Mchunguzi
Mchunguzi@JMagobe06·
@amprincess9 Mtu hana uhakika na maisha ataacha kuwa na chuki Mama😃😃😃
Filipino
0
0
1
40
TricyLove🦁
TricyLove🦁@amprincess9·
Ni kama umaskini mara nyingi huja na package ya chuki Yani watu wenye hela ngumu kuwakuta na chuki, kwanza anatoa wapi huo muda! Mungu atufungulie milango tufanikiwe kwenye utafutaji wetu. Tuondokane na chuki bila sababu. Sema umaskini ni mbaya basi tu.
Indonesia
77
115
504
16.4K
Mchunguzi
Mchunguzi@JMagobe06·
@Mudimabiriani Mimi waliniungisha mwanzo baada ya muda wakatangaza nilifanikiwa kwenye biashara kwa sabbu yao. Sina hamu kabisa
Indonesia
1
0
1
19
Mudi Mabiriani in Dubai
Mudi Mabiriani in Dubai@Mudimabiriani·
Fungua Biashara kisha usitegemee ndugu wala wanaokujua waku support tena watoe kichwani kwako FOCUS na kuitangaza ili upate wateja wapya wanaokujua watakutoa mchezoni na kukupunguza speed katikati ya mchezo wanakuwaga wadwanzi all the times
Indonesia
5
28
127
2.4K
Mchunguzi retweetledi
Mudi Mabiriani in Dubai
Mudi Mabiriani in Dubai@Mudimabiriani·
Ni rahisi kupata kazi ya ndoto yako ukiwa hapa tayari Dubai kuliko uki apply online ukiwa Kizimkazi
Indonesia
8
12
128
4.2K
Mchunguzi
Mchunguzi@JMagobe06·
@gabyconscious Vijana atataka shamba la laki 3 ila liwe hapo Bunju sokoni. Yaani wanataka vitu hata uwezo wa kumudu hawana kwa sasa ila wanashindwa kufikiria Bunju napo palikuwa mbali 20 yrs ago
Indonesia
0
0
0
21
Mchunguzi retweetledi
Mamwavi_Nkabasia
Mamwavi_Nkabasia@joeselasini·
Rubani aliyeongoza chombo kilichouzunguka mwezi alipotua hakuwa na maneno mengi. Alisema; "WE NEED JESUS." Tunamhitaji Yesu. Mungu atuongezee imani na tumaini lisilotetereka ili tumtafute kwa bidii na kuyaishi mafundisho yake.
Mamwavi_Nkabasia tweet mediaMamwavi_Nkabasia tweet media
Filipino
11
35
250
6.2K
Mchunguzi retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Tunaishi katika ardhi ambayo watu wake wanaamini ukiguswa bega nyeti zako zinapotea, na hivyo wanavaa rubber band na pini mkononi kulinda nyeti zao. Lakini watu hao hawaamini kwamba kuna watu wamekwenda nje ya orbit ya Dunia 400,00KM katika mwezi, wametalii, na wamerudi Duniani.
Indonesia
45
146
1.2K
29.8K