Jamii Check

4.3K posts

Jamii Check banner
Jamii Check

Jamii Check

@JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering Misinformation and Disinformation Online and Offline by JamiiAfrica

Tanzania Katılım Eylül 2010
67 Takip Edilen4.9K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Jamii Check
Jamii Check@JamiiCheck·
Jukwaa la #JamiiCheck hufanya kazi ya Kuhakiki Taarifa zinazopatikana ndani na nje ya Mtandao ili kubaini kama zina Ukweli, Uzushi au Nadharia Jukwaa hili huwa na 'Logo' yenye rangi 4 ambazo ni Njano ikimaanisha Taarifa mpya inayosubiri kuhakikiwa, Kijani ikimaanisha Taarifa iliyohakikiwa na kukutwa na Ukweli, Nyekundu ikimaanisha Taarifa iliyohakikiwa na kukutwa haina Ukweli pamoja na Kijivu ikiwakilisha Taarifa iliyohakikiwa na kukutwa ni Nadharia Tunapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uhakiki wa Taarifa, hakikisha unatumia Jukwaa hili uwe sehemu ya Watu wanaopambana na Usambazaji wa #TaarifaPotofu Mtandaoni Kufikia Jukwaa, bofya JamiiCheck.com #FactCheckingDay #FactsMatter #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
Jamii Check tweet media
Filipino
1
8
37
10.6K
Jamii Check
Jamii Check@JamiiCheck·
Picha iliyoambatanishwa kwenye video inayodai Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (#FIFA) limeitaka klabu ya Simba na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (#TFF) kumpendekeza Clatous Chama kwenye tuzo ya goli bora (#Puskas) Si ya Kweli kwani ujumbe huo haujachapishwa na Shirikisho hilo. Kumbuka, baadhi ya watengenezaji wa maudhui hutumia Taarifa Potofu kuvutia watazamaji hivyo ni muhimu Kuthibitisha kabla ya kuamini na kusambaza. Zaidi soma jamii.app/GoliChamaFifa #JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #HakikiTaarifa
Filipino
0
0
2
63
Jamii Check
Jamii Check@JamiiCheck·
Haishauriwi kunywa Mkojo baada ya kung’atwa na Nyoka. Ni imani Potofu na ya hatari ambayo haiwezi kutibu Sumu ya Nyoka, na kiuhalisia inaweza kuleta Madhara zaidi kwa kuingiza Bakteria mwilini au kuongeza upungufu wa maji. Kadhalika, haishauriwi kufunga Jeraha kwa kamba ili kubana damu kwani sumu hiyo haisafiri kupitia mishipa ya damu bali husambaa kupitia tishu Soma jamii.app/SumuNyoka #JamiiCheck #HakikiTaarifa #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck
Indonesia
0
0
3
119
Jamii Check
Jamii Check@JamiiCheck·
Tovuti ya Cleverland Clinic na Canadian Cancer Society zinabainisha kuwa virusi vya Homa ya Ini havienezwi kwa migusano ya kawaida kama vile kukumbatiana, kusalimiana kwa kushikana mikono, kupiga chafya au kukohoa. Inaelezwa virusi hivi hasa aina B ambavyo ndiyo hatari zaidi huambukizwa kwa kiasi kikubwa kupitia damu na majimaji ya mwili kama shahawa na majimaji ya ukeni kupitia mgusano wa damu, maambukizi wakati wa Ujauzito au wakati wa kujifungua, kuchangia vifaa vyenye ncha kali na Ngono zembe. Zaidi soma jamii.app/HomaYaIniKuenea #FactsCheck #HakikiTaarifa #FactsChecking #JamiiCheck
Indonesia
0
0
3
71
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hii Gari imepita sasa hivi hapa Ubungo sijui inaelekea wapi.
kasesco☆ tweet media
Indonesia
47
44
458
34.3K
Jamii Check
Jamii Check@JamiiCheck·
A viral video claiming to show President William Ruto watching a broadcast of former Deputy President Rigathi Gachagua, is Manipulated. JamiiCheck’s digital forensic review found the TV footage was digitally inserted and the audio was overlaid. No credible reports support this event, confirming the clip was Fabricated Read more jamii.app/RutoWatchingGa… #JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck
English
0
1
3
125
Jamii Check
Jamii Check@JamiiCheck·
@JusticeKay8651 @YerickoNyerereT Habari mkuu, uthibitishaji wetu unaonesha picha ya kwanza yenye watu wachache si halisi, imetengenezwa kwa Akili Unde. Picha halisi ni ile yenye watu wengi. Kufahamu zaidi namna uchambuzi huu ulivyofanyika, tafadhari tembelea Jukwaa letu la JamiiCheck.com
Indonesia
0
0
0
10
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Hiki chama utapeli hakijaanza leo, Hawa niliwafundisha mwenyewe haya makaratee ya kufake mikutano, kwahiyo nawajua uhuni wao kama ninavyoijua Mbutu na Vichochoro vyake😂 Wamewalipa vijana wa IT wacheze na AI ili mikutano ionekane imejaa, wakazuia picha na video zisipostiwe kabla
Yericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet media
Indonesia
487
21
211
176.6K
S t e w a r d
S t e w a r d@madeinmusoma·
Kumbe ile harufu ya wali au pilau kule mashambani, porini n.k ni ishara ya uwepo wa Chatu maeneo hayo 🙂
Indonesia
30
20
445
31.5K