
DR.MATEKA
2K posts

DR.MATEKA
@Japason3
C.E.O. @lochamedia Media personnel Content creator https://t.co/Q5z9kFzh6b




By the way App ya XChat imetoka few Minutes ago kwenye iOS. Pakua Uangalie😎👍





🙄 Msione yaelea vimeundwa! Kila mtu alishangaa kauli ya Chande kuhusu vijana kupewa mafunzo kwenye jengo ambalo liko kita 10 kutoka kituo cha polisi Kumbe chawa wa Abdul katoa code kuwa walilenga @ChademaTZ2 eti jengo la Ufipa Sasa mzee Chande atueleze kama hiyo ripoti waliandika pamoja na akina Abdul ama inakuwaje? Yaani mtu azuke kutoa details hizi kweli? Huu upumbavu wenu una mwisho na tunashukuru Mungu kawapiga upofu wanabwabwaja tu Ila #TutaelewanaTu #SamiaMustGo




kwani sir Jeff walimfanya nini mbona yupo kimya sana aisee hadi nawazaga yupo hai au hayupo hai..?💔💔😢




#HABARI Rwanda imekuwa Nchi ya Kwanza barani Afrika kwa watengeneza maudhui wa nchini humo wa mtandao TikTok kuweza kupata pesa moja kwa moja kutokana na maudhi wanayotengeza kwenye mtandao huo. Haya yanajiri kutokana na rufaa ya umma iliyotolewa wakati wa Baraza la 20 la Kitaifa la Umushyikirano, ambapo watengeneza maudhui wa jukwaa hilo walitoa wito kwa Rais wa nchi hiyo Paul Kagame kusaidia kufungua fursa za mapato moja kwa moja kutoka kwenye mitandao hiyo inayolipa watengeneza maudhui. Kwa muda mrefu sasa, watengeneza maudhui wa TikTok waliopo Afrika wamekuwa wakipata mapato kwenye jukwaa hilo kupitia ushirikiano na chapa mbalimbali, na zana zingine za uchumaji wa mapato kama vile ushirikiano wa wasanii wa muziki pamoja na kupokea zawadi kutoka kwa wafuasi wanaowafuatilia kwenye mtandao huo. #EastAfricaTV













