Veesmart2🌹
15.8K posts

Veesmart2🌹
@Veesmart2
Here for fun💯 #MUFC Manchester United fan🌹
Katılım Ocak 2022
5.4K Takip Edilen5.8K Takipçiler

@spana_Konki Kmmk nimesoma msg za huyo Halima mpaka nimejihisi nna mafua
Filipino
Veesmart2🌹 retweetledi

Una mawazo ya kimasikini sana. Unatakiwa kuchelewa kupata Mtoto ili miradi uliyoianzisha, aje aiendeleze akiwa na damu changa. Wengi mnaokimbilia kuzaa mkiwa wadogo, mna ndoto za kuja kusaidiwa na hao Watoto, badala ninyi ndio muwaandalie mazingira mazuri.
Ahmad@rajuQuire
Unapata mtoto ukiwa na miaka 30, mtoto baada ya miaka 6 anaanza darasa la 1, wewe una miaka 37, anamaiza la 7 wewe una miaka 44. Anamaliza form 4 wewe una miaka 48. Anamaliza form 6 wewe una miaka 50. Anajiunga na JKT wewe una miaka 51. Anamaliza chuo kikuu (maximum miaka 4) wewe una miaka 55. Anatafuta kazi na kuanza kujitegemea mwaka 1/zaidi, wewe una miaka 56. Hapo tufanye hajafeli wala kurudia vidato. Huyo ndio first born wako. Usisahau Life expectancy ya Tanzania ni miaka 52. Enhee! 🤔
Indonesia
Veesmart2🌹 retweetledi
Veesmart2🌹 retweetledi

HILI LIWE FUNZO KWA MAFWELE NA GENGE LAKE.
SSP Christopher Bageni atanyongwa hadi kufa. Ndivyo mahakama ya rufaa ilivyoamua. Maamuzi ya leo ni ya mwisho ktk mwenendo wa kesi yake. Hana pengine pa kukata rufaa, pa kukimbilia, wala pa kupinga. Mahakama imeamua anyongwe hadi afe. Jaji Stellah Mugasha amegonga nyundo. Itz over.
Hawezi kukata rufaa tena kwa sababu hukumu ya leo ni review ya hukumu iliyotolewa na mahakama hiyo September 16, 2016, ambapo alihukumiwa kunyongwa hadi kufa na jopo la majaji watatu wakiongozwa na Jaji Benard Luanda. So hakuna mahakama ya kujadili tena shauri lake, labda Rais ampe msamaha.
Kwa wasiokumbuka Bageni alikua Mkuu wa Upelelezi wilaya ya Kinondoni. Mwaka 2006 yeye na wenzie wakiongozwa na aliyekua Kaimu RPC Dar, Abdalah Zombe, walituhumiwa kupanga njama za kuwauwa wafanyabiashara watatu wa Morogoro.
Zombe anadaiwa ndiye aliyeongoza wenzie kwenye mpango huo, baada ya kujulishwa kuwa wana madini na fedha kiasi cha shilingi milioni 200.
Walikamata gari waliyokua wameikodi. Wakamuongoza dereva hadi msitu wa Mabwepande. Wakapora madini pamoja na fedha zote walizokua nazo. Kisha wakawafunga vitambaa vyeusi usoni na pingu mikononi. Kisha wakawapiga risasi za kisogoni na kuwauwa wote akiwemo dereva wa taxi waliyemkodisha.
Kesho yake Zombe akaita media na kusema wameua majambazi yaliyokua yanarushiana risasi na Polisi. Rais Kikwete akaunda tume ya Jaji Kipenka kuchunguza. Ikabainika hawakuwa majambazi. Kilichouma zaidi walikua ndugu wa familia moja. Mama mmoja alipoteza wanae watatu. Watoto wa familia 4 wakapoteza baba zao, na wake wanne wakawa wajane kwa tamaa za polisi.
Zombe alifanikiwa "kuchomoka" kwenye kesi hii baada ya kusota rumande kwa miaka kadhaa. Lakini Bageni alipatikana na hatia akahukumiwa kunyongwa. Akakata rufaa ikafeli, akaomba review ya kesi, na rulling imesomwa leo kuwa ANYONGWE HADI KUFA.
Waliomtuma hawapo nae Segerea, wala hawatanyongwa pamoja nae. Atanyongwa peke yake. Wanaohangaika nae saivi angalau kumfariji ni familia yake. Zombe hayupo, OCD wake hayupo hata IGP wa wakati huo hayupo. Ni yeye mwenyewe, na atanyongwa mwenyewe.
Hii iwe fundisho kwa wote wanaotumwa kufanya maovu leo e.g kuteka, kuua na kupoteza watu. Ipo siku utajikuta peke yako. Anayekutuma hatakuwepo. Utasimama wewe mwenyewe kutoa hesabu ya maovu yako. Kama si hapa duniani basi hata mbinguni, lakini ipo siku utalipa. Kama ambavyo wema ni mbegu, na ubaya pia ni mbegu. Humea, hukomaa, na ni lazima UVUNE.!”

Indonesia
Veesmart2🌹 retweetledi

Veesmart2🌹 retweetledi

@MrDepalitto9 Huyu demu na hii charting yake😅😅😅😅
Bora ametoa tuu hapana kuna kuzaa zuzu
Suomi



























