de Santos

5.4K posts

de Santos banner
de Santos

de Santos

@Jemedarys

Bested

Kilimanjaro, Tanzania Katılım Nisan 2015
553 Takip Edilen218 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
de Santos
de Santos@Jemedarys·
Habari zenyu wana X kama kuna mtu ana mtambua huyo kijana naomba ani tafute plz
de Santos tweet media
Filipino
0
0
2
206
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Ilikuwa game ya kuondoka na points tatu basi tu uzembe wetu
WHYMYCATISSAD tweet media
Indonesia
37
12
374
7.4K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Wasipokuwa makini hii mechi tunafungwa, huu msako wa Yanga utaendelea wa mwanzo mwisho kmkmk 💔💔
Filipino
11
10
204
4.6K
M Ę C K I Ę 
M Ę C K I Ę @mee_nicodemus·
Forward za Yanga zimeshindwa kuipa Yanga points 3.
Indonesia
15
9
155
3.9K
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Haijawahi kutokea kwenye historia ya Ligi Kuu Bara Mchezaji kama Clatous Chota Chama, The Greatest ever.
Farhan Kihamu Jr tweet media
Indonesia
55
77
1.4K
21.2K
FELIX JASON
FELIX JASON@Iamfelixtz·
“Niwaambie watani, wasitafute visababu, hakuna kinachoweza kubadilika. Waje hapa tutoane damu” 🎙️ Ahmed Ally
FELIX JASON tweet mediaFELIX JASON tweet media
Indonesia
5
11
594
13.4K
The.Citizen🦅
The.Citizen🦅@____the_truth·
@Jemedarys @krisBangala Aliyekwambia nani tunapenda sifa tu, yanga ndo timu pekee kwenye vipindi vya michezo itapondwa tu iwe imeshinda, imetoa sare au imedroo, imagine tu nusu fainali muungano yanga angecheza na mlandege na kumfunga bao tatu, hoja kuu ingekua yanga kacheza na vibonde
Indonesia
3
0
0
19
BANGALA
BANGALA@krisBangala·
Asilimia 98% Ya Vipindi Vya Michezo Kwenye Media Za Tanzania,Vinaiongelea Vibaya Sana Yanga, Ni Wakati Muafaka Sasa Kwa Timu Yetu Kuanzisha Radio na TV Yake Ili Wana Yanga Tuwe Na Fursa Ya Kuzungumza Mambo Yetu Kwa Sauti Yetu Wenyewe,Na Kutangaza Mafanikio Yetu Duniani
BANGALA tweet media
Indonesia
43
25
432
14K
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Tuko kijiweni hapa tunabishana hivi Mpanzu ni fundi hatari au ni fundi machachali ?
PàChâ#1738 💫 tweet media
Indonesia
12
17
140
3K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨SIKU YA MCHEZO IKAWE KHERI KWETU MASHABIKI, WACHEZAJI NA VIONGOZI WA TIMU YETU SIMBA SC Kwanza tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa siku nyingine Afya pamoja na uzima siku muhimu ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo kwa ajili ya alama 3 muhimu kuelekea ubingwa msimu huu Jana pale General Isamuhyo baada ya Yanga SC kuingia kufanya mazoezi ya mwisho kuanzia saa 12 walikaa mpaka saa 2 kasoro jambo ambalo sio kawaida,Simba SC walipotaka kuingia mabaunsa wakazuia hapo wamiliki wakaingilia kati hivyo Yanga SC na mabaunsa wao wakanywea na kuondoka.Kichekesho Yani mgeni alitaka kumuondoa mwenyeji asifanye mazoezi ya mwisho kwa kigezo Cha sheria ambapo hakuna sheria inayoelekeza hivyo kuanzia FIFA,CAF na TFF, Actually Huwa ni kanuni ndogo ndogo tunazotunga sisi wenyewe Jambo lingine Yanga SC Huwa wanachekesha na kushangaza BUS la timu liko wapi kiasi Cha kuwatesa na kuwanyanyasa Wachezaji vile kwenye Coaster wamebanana mpaka wanashindwa kuhema vizuri,Lile Bus ni bovu au ndio masharti ya Mganga maana Kila mechi ngumu ziwe za ligi au klabu Bingwa Huwa hawalitumii Kitu Cha mwisho nimeona Meneja wa Yanga SC anawatukana waandishi wa habari kisa tu wamemkosoa jambo linalothibitisha Kuna ubinafsi mkubwa na ukosefu wa maadili kwa sababu Jemedari na Juma Ayo wamepinga kwa hoja yeye kaenda kutukana badala ya kujibu hoja,Toka mwanzo nilisema baada ya mchezo adhabu zifuate kwanza upotoshaji wa taarifa na limeongezeka Hilo la ukosefu maadili
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
2
7
43
1.4K
mudric
mudric@Zeita758245·
@FKihamu We jamaa mnafiki sana ndio maana bongo mchambuzi anabaki kuwa ambangile tu nyie wengine tunajua ni njaa tu
Indonesia
2
0
7
1.1K
Mr.Mbeya
Mr.Mbeya@baraka_asege·
So Derby namba 5 kwa ubora barani Africa itachezwa hapa Sindio.?
Mr.Mbeya tweet media
Filipino
27
2
143
8.8K
Moshi Jnr
Moshi Jnr@moshijnr·
Nafasi ya tatu na ya pili bado ni utata mkubwa sana, ikizingatiwa Yanga tayari amejitengenezea eneo lake😀
Moshi Jnr tweet media
Indonesia
12
5
298
5.8K
Presenter Noah
Presenter Noah@PresenterNoah·
Yanga wanasema hawawezi kucheza kwenye uwanja wenye hali kama ile (wanadai pitch ni mbaya) Simba wanasema hali ya uwanja ni nzuri kabisa kama yanga wanaogopa na wanataka kukimbia mchezo baada ya kufungwa juzi waseme Wote tumeona video za pitch., Kitapigwa au tutegemee drama?!
Indonesia
10
5
258
13.9K
de Santos
de Santos@Jemedarys·
@RevocatusMagum1 Sasa Ahmed ally anasema amna shida yeye anasema ni eneo dgo pemben mwa uwanja na mkweli sasa hpo bdo @YoungAfricansSC anakua na nguvu ni kweli udhaifu huo upo
Filipino
1
0
0
295
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
AMEANDIKA JEMEDARI SAID ✍️ PRESHA YA KUTOSHINDA ISAMUHYO INAWASUMBUA YANGA. Nimeona viongozi wa Yanga wakiandika na kusema maneno ya hovyo na mabaya juu ya uwanja wa Major General ISAMUHYO. Ikanikumbusha msimu juzi Yanga walivyokuja pale wakati wa mvua kama huu wakawa na maneno kama haya na mechi ikachezwa ikaisha 0-0. Msimu jana mechi ilikuwa kiangazi hakukuwa na maneno na mechi ikaisha tena 0-0. Msimu huu mechi na JKT bado wanaanza na Simba ambao wanakodi kiwanja pale, lakini maneno machafu yameanza. Mtu anirekebishe, mimi najua mechi ni kesho tarehe 3 Mei, 2026 saa 12:00 jioni au kuna mabadiliko? Yanga wamecheza mazoezi muda wa mechi kikanuni siku 1 kabla ambayo ni leo tarehe 2 Mei 2026, kuna masaa 24 mpaka kufika muda wa mechi, wanalijua hili? Leo unafanya ukaguzi na kudharau watu wa Club Licensing, unaiita kiwanja cha Major General ISAMUHYO “Zizi la Ng’ombe” ilihali nyinyi miaka 90 hata “Banda la Kuku” hamna..!! What a shame..! Halafu mazoezi yamefanyika mpaka yameisha ila unasambaza video ya kipande kidogo cha kiwanja ambacho kimetuamisha maji kiasi kidogo sana sio cha kukataza mechi kuchezwa kwa mujibu wa kanuni, msingi wa kufanya mazoezi ni kuyaona hayo mapungufu ili yasiwe mageni siku ya mechi, lakini wanaleta Usimba na Yanga kwenye kiwanja cha JKT na kudharau juhudi za watu wengine walioamua kuutumikia mpira kwa dhati sio maneno ya kilasiku TUTAJENGA UWANJA LAKINI HAKUNA NI BABAISHA BWEGE TU. Kwangu huu uwanja Yanga hawaupendi tu kwakuwa ni SEHEMU NGUMU kwao, hawajawahi kufunga hata bao tangu waanze kucheza hapa, hizi zingine ni presha tu wanaona kama kiama kimefika kesho. Simba ni klabu ambayo ipo katika KLABU 10 BORA Afrika wamekubali kucheza hapa pamoja na umuhimu huo waliokuwa nao, hawajawahi kukebehi jitihada hizi za JKT Tanzania kujenga huu uwanja, kama wanakubali klabu hii KUBWA TANZANIA NA AFRIKA kwa ubora, nani tena anajipa umuhimu kuizidi Simba SC hapa Tanzania? Nakumbusha tena, mechi ni kesho saa 12:00 jioni, kuna muda mrefu sana, mezeni maneno yenu kuweni na subra, sifa ya uongozi ni pamoja na subra, mngesubiri hata siku ya mechi ifike mchana mchana au jioni ndo mseme hivi. BIN KAZUMARI MTIPA (Voice of the Voiceless)
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
5
11
98
5.5K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Sheria za sasa iv ni kali sana sizan kama watagoma na sizan Kama game itagailishwa maana mwamuz katoka nje ya nchi itakua ni aibu. Kwanza Simba imetoa hela kwa Niaba ya Bodi ya ligi na TFF kwaajili ya huyo mwamuzi so mechi wakigoma kuja tunachukua point 3 na magoli 3 Alaf kingine kama kweli kunashida ya uwanja refa ataihirisha mechi kesho Cha mwisho kwenye hizo video wao wanadundisha mpira kwa nje tena mipira isio na upepo kabisa na mimi nimecheza mpira, Sauti ya mpira usio na upepo naujua alaf ukiwaangalia wachezaji wao kwa nyuma wanapiga mipira vizuri tu na inadunda 😅🤣 yaani wanatufanya sisi watoto.
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
5
0
66
5.2K