
HESHIMA JOHN
482 posts

HESHIMA JOHN
@JohnHeshima
*Nafsi,akili na Mwili* *Author* #hatuazamtoano. #HekayazaMtaa #MtanzaniaMzalendo



@Semkae Futa wote DC na RC. Majukumu ya DC kama mhamasishaji wa maendeleo aachiwe Meya au M/Kiti wa Halmashauri. Mengine yanayohusu utawala yabaki kwa RAS na DED. Rais anazo taasisi nyingine ground ambazo ndio jicho lake.










@Patriote257 KIRUNDI-Mwiriwe(KIHA-MWIDIWE) KIRUNDI-UZOZA(KIHA-ULOZA) KIRUNDI-URUMVA(KIHA-ULATEGEZA) KIRUNDI-OYA(KIHA-KAYEE) KIRUNDI-NI NZIZA( KIHA-NI NSOLE). KIHA sio Kirundi, ni sawa useme KIRUNDI na Kinyarwanda ni lugha moja, Kuna tofauti.


Leo Desemba 9, 2025 Tanzania Bara inaadhimisha miaka 64 ya kupata uhuru kutoka kwa Waingereza.




Mimi sikuwa muumini wa Serikali tatu za muungano, ila kwa sasa ni muumini, baada ya kufanya tafiti na kujiridhisha ni mfumo bora utakaoondoa kero na maswali mengi. Kuwe na Rais wa Tanganyika, na Rais wa Zanzibar na Rais wa Muungano.
















