Nelson✝️

14K posts

Nelson✝️ banner
Nelson✝️

Nelson✝️

@JosephBaharia

..

Kilimanjaro, Tanzania Katılım Eylül 2023
2.4K Takip Edilen2K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Nelson✝️
Nelson✝️@JosephBaharia·
Tunauza kuku wa kroiler wenye nyama tamu sana, laini na yenye ladha ya kipekee. Supu yake? Ni balaa – tamu hadi tone la mwisho! 😋🍲 Tunapatikana Moshi-Arusha. *Tunapokea oda kwa rejareja na jumla. 📞 Wasiliana nasi: +255 686 922 778
Nelson✝️ tweet mediaNelson✝️ tweet media
Indonesia
4
8
21
1.8K
Nelson✝️ retweetledi
Broke & Zero Aura (BZA)🍁
Wamama jau anakupa mtoto wake umbebe anakukojolea anasema ety baraka izo amekuachia,kudadeki😂😂💔
Indonesia
15
34
98
1.7K
Nelson✝️ retweetledi
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Nikiwa lale secondary kuna kipindi sikufua soksi temu nzima,zikawa zinasimama mpaka ilivyofika kipindi cha mvua nkawa nazitumia kama gumboot.
Indonesia
22
38
104
1.9K
Nelson✝️ retweetledi
ᄂΛƬΛ𝒙
ᄂΛƬΛ𝒙@latax_·
Ndugu yangu ukiweza, weka mipaka: ongea kidogo, ficha mipango yako, usifurahishe kila mtu, tafuta kipato na shukuru waliokusaidia.
Indonesia
1
17
58
587
Nelson✝️ retweetledi
Sunday Victor
Sunday Victor@sundey_fx·
Ukweli mchungu. Mwanaume asiekua na pesa hana sauti, rekebisha hali yako ya kifedha kabla huja rekebisha mambo mengine.
Indonesia
1
11
40
754
Nelson✝️ retweetledi
NICE (🎹🎸)MCHINA WINGA
Ningekuwa na eneo la kueleweka ningeanzisha podcast ya "SEMA NA TWEEP" Mimi naamini ukiacha ujinga wa watu huku wengi wana madini mengi ✅
Indonesia
18
14
115
3.4K
Nelson✝️ retweetledi
Masaki
Masaki@selemasaki·
Yule jamaa alikuwa anatuambia "mimi siwezi kutumia mihadarati maisha yangu yote" muda huu amelewa!!
Indonesia
0
4
16
305
Nelson✝️ retweetledi
Jumble
Jumble@JumbleJumbeg9fu·
Kukataa kuwa mshindi, hakukufanyi kuwa mshindi, bali kukataa kushindwa ndio kutakufanya kuwa mshindi.
Indonesia
0
4
18
417
Nelson✝️ retweetledi
𝙓𝙨
𝙓𝙨@Excess300·
Nipo na Dogo hapa analilia demu wake amejifanya hamjui baada ya kununuliwa four cousin 😂😂😂😂
Indonesia
5
17
48
799
Nelson✝️ retweetledi
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Miaka kadhaa nyuma mida kama hii ndio nilikuwa narudi kutoka kugusa sembo & chandimu
Indonesia
1
7
14
101
Nelson✝️ retweetledi
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Ukikamatwa na kosa lolote wewe jitetee unavyoweza achana na mambo ya kusema "najua haki zangu" hii hutaambiwa popote
हिन्दी
4
28
258
9.7K
Nelson✝️ retweetledi
Mthesalonike wa KIANDA✍️
Tunacheka nao ndiyo, ila tunajua fika ya kwamba na wao ni sehemu ya watu wanao subiria tukosee ili waseme tulijua tu, wanasubiria tukosee ili waanze kuyatangaza madhaifu yetu na kusahau strength zetu💔🥲 ~Wazee wa Sumbawanga✍️
Indonesia
4
18
26
306
Nelson✝️ retweetledi
simo_northern47
simo_northern47@SLello47·
Mwanamke anaejielewa na kujitambua hawezi kukubali umpige vidole wakati wa sex. Good morning X familia.
Indonesia
29
38
98
1.7K
Nelson✝️ retweetledi
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
A great person anatambulishwa kwa matendo yake sio maneno, maneno mazuri yanaweza kuandikwa hata kwenye kuta za barabarani.
Indonesia
4
21
72
959
Nelson✝️ retweetledi
Waziri Wa Wapwa Og
Waziri Wa Wapwa Og@_rwanda_adamOg·
Usiyahukumu maisha yako Kwa kutumia mizani ya mtu mwingine daima nenda na mwendo wako"✍️✍️
Filipino
4
20
41
469
Nelson✝️ retweetledi
NAJITAFUTA
NAJITAFUTA@NAJITAFUTA·
Watu wengi huhama upande sio kwa sababu ya mapenzi waliyo nayo upande wa pili hapana ila ni fursa ndiyo hufanya watu kuhamia upande mwingine ndio mana ukiwa na pesa utacheka na wale wale waliokudharau pindi ukiwa huna kitu 🤔 .
Filipino
0
12
24
276
Nelson✝️ retweetledi
Waziri Wa Wapwa Og
Waziri Wa Wapwa Og@_rwanda_adamOg·
Kwenye stori wanazosimulia kukuhusu wewe kuna kurasa wanaziruka ndio maana unaonekana huna jema kwao"✍️ Good Morning Champions✌️
Indonesia
24
26
71
798
Nelson✝️ retweetledi
shangazi wa wapwa💫🌺
shangazi wa wapwa💫🌺@humbleQueen02·
Huwa tunapenda kusikia maneno matamu kutoka kwa maadui zetu kuliko kuliko ukweli mchungu kutoka kwa watu wanao Tupenda✍
Filipino
29
46
96
995
Nelson✝️ retweetledi
M N Y A S A M V U V I. PHD
Tunapoteza vyenye thaman sana kwenye maisha yetu. Good morning wataftaji .
HT
27
33
41
368
Nelson✝️ retweetledi
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Tumetoka mbali sana kwenye matumizi ya simu, miaka kadhaa nyuma ilikuwa ukitaka kununua simu unatest kwanza kama spika inasauti ya kutosha.
Filipino
4
4
42
699
Nelson✝️ retweetledi
Kante
Kante@MkulimaKante·
Siku hizi ukiomba namba kwa mwanamke ukifika nyumbani unaamua uifute tu maana unaona kabisa umejiongezea bajeti😁
Indonesia
43
64
401
8.3K