NAJITAFUTA

37.3K posts

NAJITAFUTA banner
NAJITAFUTA

NAJITAFUTA

@NAJITAFUTA

PEOPLE FORGET TO BE PEOPLE

Popote ilipo fursa Tupo 👌 Katılım Ekim 2023
2.8K Takip Edilen2.4K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
NAJITAFUTA
NAJITAFUTA@NAJITAFUTA·
Vijana Wengi wamefaulu vizuri sana mtihani wa darasani lakini wamefeli vibaya mno mtihani wa maisha 🤔 .
Indonesia
26
231
389
12.8K
Extreme Introvert🧕💫
Extreme Introvert🧕💫@Sincerelyrahma7·
Shetani akiona umeshtuka na kuanza kujipanga kumkataa na matendo yake, Anakupa uvivu uvushe magharibi ujiambie utaunganisha na Ishaa😭
हिन्दी
14
16
51
1.1K
NAJITAFUTA retweetledi
CHOKA MBAYA 👑
CHOKA MBAYA 👑@KISWASWADUMKUU·
Mpwa good evening au Habari za jioni . Nimeona niwatafsirie kabisa Sababu najua wengi wenu humu kingreza kiliwapiga chenga 😎 .
Filipino
0
10
14
75
NAJITAFUTA retweetledi
MKAKA WA NDOTO ZETU 👑
MKAKA WA NDOTO ZETU 👑@GoldenBoyNow·
Dada jitahidi kua kisheti yaani unapitika shimo zote na una fit kwenye hali zote za mwanaume wako 😎 .
Filipino
0
9
17
145
NAJITAFUTA retweetledi
MAN IN 30's
MAN IN 30's@TANZANIABRO·
Kwa wasichana warembo njia pekee ya kuigusa mioyo yao ni kwa kupitia mikundu yao tu 😎 .
Indonesia
1
10
25
561
NAJITAFUTA retweetledi
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Rais Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Kenya, William Ruto mara baada ya kuhitimisha ziara ya kitaifa ya siku mbili nchini. Hafla ya kumuaga imefanyika katika viwanja vya Gwaride Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Swahili Times tweet mediaSwahili Times tweet mediaSwahili Times tweet mediaSwahili Times tweet media
Indonesia
0
3
64
2.2K
MUITALIANO 🔋
MUITALIANO 🔋@iamkizzyh·
Wazee kila nikiona mwanamke mzuri namtamani shida itakuwa nini hapa?
Filipino
20
14
48
1.2K
NAJITAFUTA retweetledi
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mshambuliaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast na Timu ya Chelsea ya Uingereza Didier Drogba, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 05 Mei, 2026.
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
8
31
160
9.4K
NAJITAFUTA retweetledi
Engkabora
Engkabora@Engkabora·
Mahusiano yenu nyie kila siku mnamisiana bila kukutana sawa buana...
Indonesia
6
13
34
416
NAJITAFUTA retweetledi
MACARE
MACARE@macare_46·
Mtu akichagua kuwa adui yako usimfanye kuwa rafiki
Indonesia
4
18
39
309
NAJITAFUTA retweetledi
FREE NINJA🇵🇸@allymohamed
Unajua Chama anaweza ona alifunga goli la kawaida ila kwasasa story ni tofauti kabisa aisee goli limetembea sana🙌🏾
1
5
26
294
NAJITAFUTA retweetledi
Shawtyy
Shawtyy@Shawtywishi·
Mtu ntakiss after hii celibacy atadhani mm ni vampire😭😂
Indonesia
67
137
455
6.3K
NAJITAFUTA retweetledi
Soulja Boy
Soulja Boy@souljaboy·
It’s different when you really believe in yourself
English
39
279
1K
17.1K
NAJITAFUTA retweetledi
Bunge la Tanzania
Bunge la Tanzania@bunge_tz·
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu akimpa zawadi Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. William Samoei Ruto alipowasili kulihutubia Bunge leo Mei 5, 2026 Jijini Dodoma.
Bunge la Tanzania tweet mediaBunge la Tanzania tweet mediaBunge la Tanzania tweet mediaBunge la Tanzania tweet media
Indonesia
2
9
71
3.4K
NAJITAFUTA retweetledi
millardayo
millardayo@millardayo·
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amesema hadi mwezi Aprili 2026, jumla ya Wateja 23,156 Vijjni na Mijini wamefungiwa Dira za Maji za Malipo Kabla (Smart water meters) ikilinganishwa na Wateja 13,526 kipindi kama hiki mwaka 2025. “Wizara imezielekeza Mamlaka za Maji na Vyombo vya Watoa Huduma Ngazi ya Jamii kuwafungia Dira za Maji za Malipo Kabla (smart water meters) Wateja wao ikiwemo taasisi za umma, lengo ni kupunguza malalamiko ya Wateja kwenye ankara za maji, kuongeza ufanisi kwenye ukusanyaji wa maduhuli kupunguza malimbikizo ya madeni, kudhibiti matumizi holela ya maji pamoja na mivujo ya maji” “Aidha, Wizara imeandaa Mkakati wa Kuharakisha Ufungaji wa Dira za Maji za Malipo Kabla (Strategy for Accelerating Installation of Smart Water Meters 2026-2030), lengo ni kuongeza kasi ya ufungaji wa mita hizo, hadi mwezi Aprili 2026, jumla ya Wateja 23,156 Vijjni na Mijini wamefungiwa Dira za Maji za Malipo Kabla ikilinganishwa na Wateja 13,526 kipindi kama hiki mwaka 2025, baadhi ya Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira zilizowafungia Wateja Dira za Maji za Malipo Kabla ni pamoja na Iringa ambayo imefunga Dira za Maji za Malipo Kabla 6,525, Dodoma 832, Tanga 3,521, Dar es salaam 234, Arusha 343, Moshi 463, Bunda 577, Busega 231, Mafinga 489, Masasi - Nachingwea 530, Nzega 633, Songea 338; na kwa upande wa Vijijini, RUWASA imefunga jumla ya Dira za Maji za Malipo Kabla 1,480 kwenye Mikoa mbalimbali. “Ufungaji wa Dira za Maji za Malipo Kabla umeonesha mafanikio kwa kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa maduhuli na kupunguza malalamiko ya Wateja, kutokana na gharama kubwa ya dira hizo, Wizara imeweka mkakati wa kuhusisha Sekta binafsi ili kuongeza kasi ya ufungaji wake na lengo ni kufunga dira 1,114,133 kwa Wateja wa Mijini ifikapo mwaka 2030” #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
HT
3
5
122
9.6K
NAJITAFUTA retweetledi
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
"Kenya iko tayari kuwekeza kama mshirika wa kimkakati katika kiwanda kinachopendekezwa cha kusafisha mafuta jijini Tanga." - Rais wa Kenya, William Ruto akihutubia Bunge Dodoma
Swahili Times tweet media
Indonesia
0
3
67
2.1K
NAJITAFUTA retweetledi
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mshambuliaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast na Timu ya Chelsea ya Uingereza Didier Drogba mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 05 Mei, 2026.
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
8
33
141
6.1K
NAJITAFUTA retweetledi
Dr.Kamami (kibungo😌) 🇹🇷
Natafuta mwanamme wa kuzaa nae Vigezo. *Awe mfupi mweusi *Mwenye makengeza *Mwenye matege *Awe mnyakyusa au msukuma *Awe mcha Mungu *Asiwe na hela (ninazo) *Asiwe na mtoto *Umri (28-70) *Asiwe anatumia x 🌝
Indonesia
37
23
77
2.6K
NAJITAFUTA retweetledi
KINCAID💰
KINCAID💰@AmourGingi·
Umekwenda kujitambulisha ukweni, halafu Mama mkwe akuulize ww ndio unamletaga na gari usiku? Halafu ww hunaga gari 🤣🤣🤣
Filipino
6
14
82
1.9K
NAJITAFUTA retweetledi
William Samoei Ruto, PhD
William Samoei Ruto, PhD@WilliamsRuto·
We are strengthening our relations with Tanzania to deepen cooperation and unlock greater mutually beneficial opportunities. Our focus is on expanding trade and investment, scaling up joint infrastructure development, and advancing friendly policies that deepen our integration. This is because we recognise that the progress and setbacks of Kenya and Tanzania are intertwined.
William Samoei Ruto, PhD tweet mediaWilliam Samoei Ruto, PhD tweet mediaWilliam Samoei Ruto, PhD tweet mediaWilliam Samoei Ruto, PhD tweet media
English
10
54
269
6.4K