Joseph Mutakubwa
6.6K posts

Joseph Mutakubwa
@JosephMutakubwa
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Kasım 2011
1.5K Takip Edilen1K Takipçiler

Msije tu baadae mkasema "alikua kipenyo" 😂. Kila la heri kwa bwana Gambo katika safari yake mpya ya kisiasa.
Godbless E.J. Lema@godbless_lema
Sawa bhana 😄 Dhambi zako zote zimekuwa cleared. Sasa Ijumaa 22/5 fika Releni utoe ushuhuda live 😅. Na usiwe na wasi wasi… huku hakuna nyama za matambiko 😂
Indonesia

@salim_alkhasas Mbona hawapost sasa? Drogba mpaka sasa sidhani kama kashapost au kuna kipindi maalum wamepewa cha kupost?
Tanzania 🇹🇿 Filipino

Post yake moja tu kuhusu Tz ni faida tano unazotafuta
NGASSA+255@Therealngassa
Kwa upole na unyenyekevu naombeni faida 5 za ujio wa rio ferdinand Tanzania

@Allan_Lucky @rioferdy5 Rio kwenye mitandao ya kijamii ana command influence, hiyo influence sio sawa na sie tunaoishi kwa mama kibonge buza, ni watu wenye kipato cha juu na wana spending power na sehemu wapenzi wa soka, tuna Afcon. Sehemu ya ratiba yake ni Serengeti, watalii. Marketing stratrgey
Indonesia

Kwenu wachambuzi wa masuala ya kisiasa, kiuchumi, na kijamii, huu ujio wa ndugu @rioferdy5 hapa Tanzania unaifaidisha vipi nchi na watu wake?

Indonesia

It has been quite an experience to follow @Arsenal Football Club's epic adventure, from times of struggle and crushing setback, to successive seasons of recovery and resurgence on their glorious path to the summit of the English Premier League.
In this time, we have witnessed the power of hope, resilience, focus and relentless hardwork in action, and watched a team of dedicated professional do battle against formidable adversaries, matchday after matchday.
Tonight, the great reward is won. The team is victorious. It's faith and dedication is vindicated. And our commitment to succeed through work, discipline and teamwork is affirmed.
Congratulations to the Gunners

English

@rioferdy5 @Evra Posted from Dar es salaam
Tanzania 🇹🇿 English

Shout out Arsenal fans…
Years of mockery… nearly men!
Tonight, sealed it.
@Evra where’s your apology 😂😂😂
English

@ahmednasirlaw Now you trust in Arteta Wakili
Tanzania 🇹🇿 English

@MarekaMalili Ila nimegundua Watanzania wafupi sana sijaona mtu mrefu aliyemzidi Rio katika pitapita za Rio kote leo😃😃😃
Tanzania 🇹🇿

@MarekaMalili Hivi Drogba au Rio wameshapost katika social media zao kwamba walikuwa/wapo TZ? hivi wao wakipost si ndio tutapata mileage zaidi?
Tanzania 🇹🇿 Filipino

Nawashauri kwa upendo wote ule....USITHUBUTU 😃!
BeLINDA 🎬@belindaPINDA01
NAMBA YA RAIS KAGAME RWANDA 🇷🇼 +250784477674
Indonesia

Kuna mnyama mmoja anaitwa fawanews, mpaka game za lipuli unastream
Tate !Gawaxab@Barongo01
Showmax wamezingua, game za PL mnaangalia wapi online??
Indonesia

@MiroTanzania Weka nyavu za kuzuia mbu ingia hapo mzee
Tanzania 🇹🇿

@MrDepalitto9 Ilikuwa hazipiti siku mbili bila ajali pale
Tanzania 🇹🇿 Indonesia

@mzeewakaliua Anakuambia AIRBNB tulikuwa tunaziita gesti bubu ila ni kweli😀
Tanzania 🇹🇿 Filipino

@MarekaMalili @kipepe123 Kuna dogo mmoja muendesha bodaboda alisuka mkeka wa 49m ikawa imebaki game moja ya Man U ikaja cashout 10m watu wakamwambia toa hii 10m akakataa katukatu. Dadek man u akapigwa akakosa vyote. Sasa mtaji wa buku mbili kukupatia 10m una hasara gani!
Tanzania 🇹🇿 Indonesia












