Joe Maro 🇹🇿
16.6K posts


@Josephmaro8 @IAmHaule Yaaani siku hizi hata town ameacha kuja inaniuma sana. Mtu alikuwa vzr kwenye computer bado akaogopa kujitafuta nje ya ajira. Kijijini kuchomoka au kuwa tofauti si kazi ndogo. Na 2018 akasogezwa ndani zaidi na akapewa hako kacheo🙌🙌
Indonesia

@JMagobe06 @IAmHaule Mkuu nikipiga hii hesabu kwa sasa atakuwa na jino moja mdomoni! Na hiyo suruali na shati lilivyopauka ni mungu anajua!
Filipino

@IAmHaule Mimi nilipangwa Kazi Longido back in 2009, nikamkuta mwanangu tumemaliza nae chuo tukawa tunapambana kutoka. Mimi nikawa na push sana yeye akaanza kuangalia ka cheo fulani. Nikafanikiwa kutoka nikamuacha. Leo ukimuona hana tofaut na wanakijiji wa kule.inahitaj nguvu kuwa tofauti
Filipino

@BlessdGrooveKid @Kidimilo_23 Kumpeleka guest si kuongeza gharama za maisha na vijana wengi hela hawana? Sasa kama ndio anamchumia atakuwa anampeleka wapi? Hotelini? Au wakakutanie kwa wazazi wao? Hizi bangi nyingine tuvute kwa staha!
Filipino

@kasesco_tz Hii nchi ni kama tunaishi enzi za mababu! Yaani maana ya kuwa na Database ni nini sasa? Ujinga mtu nchi hii! Maana hayo makaratasi wanayoyataka wanayo yote na taarifa zako lukuki!! Hii nchi ni kama hatujui tunataka nini hata kwenye vitu vidogo!! Finger print zilikuwa za nini?
Indonesia

@godwin13721 @Kariakoo_ OG VANS 30k? Mkuu hiyo ni famba iliyochangamka!
Indonesia

@Kariakoo_ Hiyo n feki bro , Kwa bei hiyo xawa ila Og ni 30k
Filipino

@HecheJohn Makamu nani tena huyo anaingiza watu chaka karne hii? Wamesema ile chombo ya NASA ilikuwa imejificha baaharini? Maana siasa za hii nchi ni tatizo kama Corona!
Indonesia

Kutumia media uchwara kujaribu kufanya agenda setting sio kwa kizazi hiki..
Kizazi cha internet kinajua Mpaka Ulaya watu wanavyoishi na wanavyopigania haki..
Ujinga Kama huu ulifanyika kabla ya uchafuzi wenu wa mwaka jana .
Mwisho mliishia kuua maelfu ya watu.
Watanzania sio wajinga, wanajua wanaolipwa kufanya propaganda za kijinga.
Indonesia

@HastaRuego So vyombo vyetu vya dola vingeshindwa kujua? Maana michubuko, purukushani na mambo mengine ya kitabibu yangeonyesha au hapa ni Paradox mkuu?
Indonesia

@Maestrowafact Ila hii nchi violence ni kila mahali! Hakuna anaetaka amani!!
Eesti


@mjomba__nimama Hapana Jamaa amekulia siasa za kina Mamvi siasa za kutumia akili sio mabavu au vurugu!
Suomi

@SBloga11 @Elsukay0 @fintanjr_ Mkuu unanunua iPhone ya kichina ambayo sio OG lazima uzione kimeo!! JBL OG unafananisha na ipi mkuu tuanzie hapo! Wazungu hawajawahi grade bidhaa kwa jina ni ubora chief!
Indonesia

@Elsukay0 @fintanjr_ Kuna kitu kinaitwa brand n kama Apple simu zao zinachemka hazikai na chaji na ni bei kubwa ila kila mtu anazitaka sasa ndo hyo jbl n ya kawaida mzee ila sasa ukiwakuta vijana wa mjini wakiisifia😂 yan unatoa M1.5 unanunua huo wehu
Filipino

@IMngulu87986 @Psiteshio1 Ustaarabu siku hizi ni msamiati kwa kweli
Filipino

@Psiteshio1 Haha jana kaja jamaa kasema kanifananisha nikasema siyo mimi! Akanipiga mzinga wa elfu 2 nikampa kiroho safi, kaenda huko baada ya lisaa karudi tena kanikuta pale pale kiti kirefu akasema naomba niongezee elfu 2 nami ninywe Heineken, nikamwambia acha mazoea ya kifala nenda huko.
Filipino


















