Joel Mshana

12.7K posts

Joel Mshana banner
Joel Mshana

Joel Mshana

@JrMshana

Dady

Dodoma, Tanzania Katılım Kasım 2014
1.2K Takip Edilen1.5K Takipçiler
Joel Mshana
Joel Mshana@JrMshana·
@livingmkamba Mara nyingi kushinda kesi kama hiyo ni ngumu, ila unaweza kupima DNA Ili kuhakikisha ni kweli SIo wake then unafungua mashtaka mahakamani
Filipino
1
0
1
54
living⚖️
living⚖️@livingmkamba·
Hivi kisheria ipoje endapo itabainika umelea mtoto ambaye si wako.?🤔🤔
Indonesia
38
16
126
18.8K
sultan
sultan@chapanombombwi·
@ayubu_madenge Andika comment yako unasubiri nani acomment usome?
Filipino
1
0
0
564
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Kim Jong Un kiongozi wa Korea Kaskazini, amepitisha sheria inayowataka askari wake kujiua vitani ili kuepuka kukamatwa mateka wanapoipigania Russia kwenye vita dhidi ya Ukraine. Kim amewasifu askari ambao bila kusita walichagua kujiua, akiyaita matendo yao kifo cha kishujaa.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
17
33
688
15.4K
Imani Henrick Luvanga
Imani Henrick Luvanga@Imaniluvanga·
Song of Solomon 8:6 "Place me like a seal over your heart, like a seal on your arm; for love is as strong as death."
Imani Henrick Luvanga tweet mediaImani Henrick Luvanga tweet mediaImani Henrick Luvanga tweet mediaImani Henrick Luvanga tweet media
English
123
114
1.2K
69.1K
Saleem
Saleem@BattawySaleem·
@_zolendronic Tuletee andiko katika bibilia ambalo yesu anakataza ufiraji
Indonesia
2
1
1
148
NGUCHIRO WA MAMA
NGUCHIRO WA MAMA@_zolendronic·
Kuna dini inaruhusu mwanaume kumuingilia mkewe kinyume na maumbile?
NGUCHIRO WA MAMA tweet media
Indonesia
25
5
39
6K
DuZwey DuZwey
DuZwey DuZwey@duzwey·
@_zolendronic Yes wakiristo, Nchi nyingi za Kikiristo ndio zinaongoza kampeni za uhuru wa kufirana..wana hadi matamasha ya kufirana huko kwa wenye ukiristo. Huwa hadi wanatutishia Watanzania kuwa tukibana uhuru wa Kufirana watatunyima misaada ..Wanasema kufirana ni haki za binadamu
Indonesia
5
1
1
449
GRINGO018🎨🖌️
GRINGO018🎨🖌️@018Salama·
Ni taarifa ipi unadhani itafanya Watanzania kushangilia hivi?
GRINGO018🎨🖌️ tweet media
Indonesia
120
31
377
38.1K
Honourable speaker KILESI🕊️
Tusali sana wanangu😭😭 Leo nikitoka kazini, Nimekutana na kijana mmoja Akaniomba lift, kisha tukaanza safari uelekeo kwenda nyunbani, Kidogo hivi namuona dogo analia, Nikashtuka na kumuuliza, Oy vp Mbona unalia mwanangu? Dogo aliangua kilio so mchezo ikabidi nipaki pembeni, Nikamsogelea dogo kwa utaratibu na kumkumbatia huku nikimbembeleza aniambie kilichomsibu, Baada ya muda kupita kama dk 20 hivi, Dogo aliniita "Bro" nikaitika, Akanambia " Nimepigiwa simu nyumbani nimeambiwa mke wangu amepelekwa hospitali masaa mawili iliyopita japo nilipigiwa simu haikuwa inapatikana, Ila kwa bahati mbaya mkeo kafariki dunia wakati wa kujifungua na mtoto pia kafariki😭💔 Nimejiskia vibaya sana nimekosa cha kumwambia dogo imebidi tulie wote 😭😭 Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi . Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un💔🕊
Filipino
91
106
1.2K
49.9K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Huwezi amini kama ni Dar mpaka ufike.
kasesco☆ tweet media
Indonesia
49
43
319
13K
Ngatta Boe
Ngatta Boe@Ngattaboe99·
Demu alikua mshamba katoka kwao huko kondoa maomba omba nimemtich kuvaa,mitikasi,ujanja watu wanajua ni mzanzibar alikua hata akisuka nywele akilala zinafumka nywele zake laini nikampeleka kwa wanangu wakamset dread mpaka nywele zikakaza akawa rasta hazifumuki leo kajua..
Indonesia
34
36
188
17.1K
MRENO⛑️
MRENO⛑️@mreno255·
Wakali hii kwangu tuu au hadi kwenu , mbona mimi nikiscrol video clip moja zinazofuata zote hua ni za porno ? Nakosa uhuru sasa qmmk.
Indonesia
34
26
198
16.7K
Faith Melinda
Faith Melinda@keezafaith·
If you are a good driver, what mistakes has she done ?🤔
Faith Melinda tweet media
English
319
28
350
40.3K
Comrade Kicheche Jr
Comrade Kicheche Jr@Kicheche_jr·
Advance kulikuwa demu mmoja mrembo mmachame alitokea kunipenda, tukawa tunashinda pamoja muda mwingi tukiwa tunasoma n.k kila mtu alijua hapo mi tayari ila alinikazia. Sasa siku zikaenda, miezi ikaenda na hatimaye tukamaliza, siku hiyo akalia kuachana na jamaa mwingine na sio mm.
Indonesia
9
9
224
22K
Engkabora
Engkabora@Engkabora·
Mdogo wangu kanitumia hayo matokeo yake yupo chuo mwaka wa kwanza izo supp maana ake nini wakuu
Engkabora tweet media
Filipino
33
8
43
8.8K
EL SUKAYO 🇹🇿
EL SUKAYO 🇹🇿@Elsukay0·
Nono banks ndiye pisi kali ya muda wote hapa X zitajoin pisi na pisi ila hapa hawatofika Nono ndiye Queen of X 👑wapwa wote tumemtunuku hii crown
EL SUKAYO 🇹🇿 tweet media
Filipino
72
28
145
9.2K
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Hii MINESO Hii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Huyu Jamaa Kama Mfumo Umedukuliwa
Indonesia
18
11
156
12K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Mimi nitafukua Makaburi… na MSAADA NITATOA… Umekua miongoni mwa watu walionipiga Spana kwa kuwasaidia watu Mitandaoni ila leo mm nakutumia Hela mtandaoni na wewe unaomba Msaada mtandaoni kama walivyoomba wale uliokua unawaponda! Sina Beef na wewe… tunaweka kumbukumbu sawa! Kama jinsi nlivyowasaidia wale na Leo tunakusaidia wewe… ila ingekua bora kama ungeweka Bill nzima hapa- ili tujue tunachanga kiasi gani! Mtu anaweza toa laki 5 kumbe bill ni laki 2 au mtu akatoa elfu 50 akajua amemaliza kumbe bill ni milion 5. UGUA POLE Bro… MWENYEZI MUNGU AKUPONYE na Akujaalie uwe na AFYA NJEMA🙏🏽 Binafsi nipo tayari kwa mchango mwingine- ukiweka taarifa zako sawa!
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 tweet media
Filipino
269
144
880
81.5K
Zed
Zed@Zephania_Ndaki·
2 Pac Nae Alikua Mtu Wa Kawaida Sana Sema Mtu Akifa Anaimbwa Mnoo.
Indonesia
47
21
161
15.6K