hassanmwakinyo_

1.3K posts

hassanmwakinyo_ banner
hassanmwakinyo_

hassanmwakinyo_

@JrMwakinyo

i came from nothing but through faith and commitment to my craft, I am going to get what's mine

Tanzania Katılım Kasım 2019
11 Takip Edilen21.1K Takipçiler
hassanmwakinyo_
hassanmwakinyo_@JrMwakinyo·
laana mbaya inayo kumba maisha yetu zaidi nikuruhusu wajinga ndiyo wasimamie wenye akili.. isn’t fun but its fine congrats #champez 🤝 @hassanmwakinyojr proud to be who I’m 😎
hassanmwakinyo_ tweet mediahassanmwakinyo_ tweet media
Indonesia
2
6
90
3K
hassanmwakinyo_
hassanmwakinyo_@JrMwakinyo·
Pesa ni chanzo kigumu zaidi cha maisha ya mwanadamu. Lakini ni nyenzo inayoaminika zaidi kujua tabia na asili ya mwanadamu
Indonesia
4
8
66
2.4K
hassanmwakinyo_
hassanmwakinyo_@JrMwakinyo·
Katika maisha, utakosana na watu ambao hukuwaza kuwa ungekosana nao . utaSalitiwa na watu uliowaamini kwa moyo wako wote.Na utumike vibaya na watu ambao ungefanya chochote kwa ajili yao… believe it or not# Msena
Indonesia
1
4
38
2K
hassanmwakinyo_
hassanmwakinyo_@JrMwakinyo·
Ukiwa sahihi hakuna anaekumbuka na ukikosea hakuna atakae Sahau ishi maisha yako..
Filipino
4
20
205
5.4K
hassanmwakinyo_
hassanmwakinyo_@JrMwakinyo·
Moja ya somo kubwa maishani" ikiwa utazoea kukosa sana katika vitu vingi ulivyotegemea kupata kupitia watu uhalisia utakujenga kuamini katika maisha yako. na sio matarajio" kwa maisha ya watu
Indonesia
4
9
98
3.5K
hassanmwakinyo_
hassanmwakinyo_@JrMwakinyo·
Roho mbaya inapunguza wateja kwenye biashara lakini huruma inaweza ikafanya ufilisike kabisa
Indonesia
1
29
195
4.6K
hassanmwakinyo_
hassanmwakinyo_@JrMwakinyo·
Wakati wa anguko lako, weka kumbukumbu sahihi za tabia za watu, ili utakapoinuka tena, Usichanganye wanyama na wanadamu.
Indonesia
9
9
88
3.1K
hassanmwakinyo_
hassanmwakinyo_@JrMwakinyo·
Wachungaji wengi wanakua Na misimamo sana Na dini zao hawako tayari kufanya mambo yasio faaa kwa masilah ya kulinda heshima Na dini ya Mungu wao tofauti Na mashekh wetu ambao wengi wao wanaweza kufanya chochote sababu ya matumbo Yao so sad 😞
Indonesia
21
8
116
5.3K
hassanmwakinyo_
hassanmwakinyo_@JrMwakinyo·
Uadilifu hukupa uhuru wa kweli sababu huna cha kuogopa…✌️
hassanmwakinyo_ tweet mediahassanmwakinyo_ tweet mediahassanmwakinyo_ tweet mediahassanmwakinyo_ tweet media
Indonesia
25
18
295
15.9K
hassanmwakinyo_
hassanmwakinyo_@JrMwakinyo·
Katika jamii ya makuzi yangu vijana wengi wa umri wangu na walio nitangulia wana ndoto za maisha makubwa lakini jambo baya zaidi hawataki kazi. wanapenda ukaribu na watu walio fanikiwa watakao weza kuwahudumia juu ya kila kitu kulipiwa kodi kuvalishwa kulishwa. na hata matibabu
Indonesia
6
7
44
6.3K
hassanmwakinyo_
hassanmwakinyo_@JrMwakinyo·
Wakati fulani mtu mwenye hekima aliulizwa nini maana ya maisha? Akajibu, Maisha yenyewe hayana maana. ispokua Maisha ni fursa ya kuunda maana 🫶
hassanmwakinyo_ tweet mediahassanmwakinyo_ tweet mediahassanmwakinyo_ tweet media
Indonesia
49
62
1.4K
97.8K
hassanmwakinyo_
hassanmwakinyo_@JrMwakinyo·
hela inatabia zake na watu wana tabia zao ukifanikiwa kupata hela. Hekima inahitajika kwani atakaeshinda ni yule atakae weza kua juu ya mwenzake… ima hela ikuongoze au uiongoze..
Indonesia
5
4
54
6K