
2kazjunior
2.2K posts

2kazjunior
@iikazjunior
#HardWorkPays #code420switched
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mart 2012
292 Takip Edilen276 Takipçiler


@Rydx_017 @babalao__ @Balyx_ @MissChelsea1221 @DullahTheking2 @athanas_pius Dah sema kiukweli buguruni folen hamna siku inakata
Indonesia

2kazjunior retweetledi

@Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @Balyx_ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 Diva alimdisrespect bushoke big time miyeyusho sana
Filipino

Wiki iliyopita,
Alitekuwa Mtangazaji Kutoka Wasafi Fm,
Diva The Bawse alifanya Interview na Bushoke katika kipindi chake cha Mapenzi (Lavi davi)
Ndani ya Interview aliuliza maswali ya ndani zaidi suala ambalo likapelekea msanii kushindwa kujibu na hivyo mtangazaji ali-mzimia Mic.
Bushoke mwisho wa interview.
Siku chache zilizofuata Bushoke aliitwa na Kufanyiea Interview tena na Media hiyo hiyo katika kipindi kingine cha The Switch ambapo alimuimba Diva na kuelezea suala la kuzimiwa Mic.
Then after that Alihojiwa na Hiyo hiyo Media ya Wasafi Tv kwa ajili ya kipindi cha TV cha (Re-Fresh)
Diva aonyeshwa kutoridhika na maongezi ya Bushoke na kuandika barua kwa Wasafi kwenye mtandao wake wa Insta (Badala ya kutuma Email) jana usiku
Then leo akaandika kuwaaga mashabiki wake wa Lavi davi
Angalia The Saga nzima na kilichotokea....
Screenshots/video kwa Comments👇

Filipino

























