JUMLY
1.6K posts


Enyi Madeveloper apa +255 Nimetafuta Wifi Billing system Hapa Bongo Yenye Quality nnayohitaji au hata Yenye Unafuu , Mazee Mpk saivi Sijaona,
Na kama Kuna Mtu ana Billing system ya Wifi ambayo Tayari ipo intergrated na Payment Gateways, Mazee Aje Tufanye Kazi , Aje Tufanye Issue Moja Kubwa kuna Hela sana Hapa 🫵
Pia kama Kuna Mtu ana Mfumo wa Power Backup ( Achana Na Solar ) let's say huo Mfumo Una Battery Moja Ndogo Labda Inayoweza Kuwasha Access Point 1,Router 1 na Microtik 1 , Ambao Umeme Ukiwepo Unacharge ile backup then ukikatika Unawasha Automatic Huyu nae namuhitaji 😁
Bongo Madeveloper wapo zao Ni Mawinga Qmmk Kwenye Error ambayo Technology ni Imezishika Fursa Zote 🚮
Indonesia

@MkulimaKante Huku akitumia mfumo wa biashara kutrack mauzo yote ,faida ,hasara ,bidhaa ,wateja nk
ess.digitalisolutions.cloud
Indonesia

Biashara ya mbao itakupa utajiri wa kutisha hadi ushangae cha msingi toka huko mjini.
Nenda kapige kambi Mufindi ndani ndani huko Ihalimba huko.
Trust me bro itachukua miaka mitatu tu wewe kuanza kuitwa TAIKUNI.
Ile biashara haina tofauti na madini akina SWAI na MASSAWE wengi wametajirikia huko📌
Indonesia

@Narrowbeeflying Angetumia mfumo wa mauzo
ess.digitalisolutions.cloud angepats report zote kaka 😂
Indonesia

..✍️ Jamaa angu mmoja ni mtata mtata sana, alioa Single maza mwaka juzi, akamfungulia duka, sasa akawa anashangaa mbona kila akijaza mzigo dukani haoni hela na duka linaendelea tu kuisha 😁 sasa juzi tu hapo akavizia simu ya mke wake usiku akiwa amelala akaikagua, kumbe mke wake anawasiliana na baby dady wake na huyo mwanamke tena ndio anaemuhonga huyo baba mtt wake 😁 na walishakutana mara kibao na jamaa akagundua kumbe hata mwanamke alivyokuwa ana ujauzito bado walikuwa wanakutana 💔 Jamaa alichofanya hakupanic usiku ule akalala walivyoamka asubuhi, akamuambia jiandae ukasuke vizuri kesho tunaenda kwenu kusalimia 😁 hakumuambia kama alikagua simu, akampa hela akaenda kusuka fresh kesho yake asubuhi wakapanda gari na watoto wawili mmoja wa mwanamke na mwingine ndio wa huyo jamaa, ni mkoa wa jirani tu hapa sio mbali, walivyofika wamekaa kidogo wanashangaa jamaa anaaga wakwe ikabidi waulize vipi mbona unaacha familia? 😁 jamaa ndio akaanza kuwaelezea pale A-Z akachukuwa na simu ya mwanamke akawaonyesha chatting zote kama unavyojua Smart huwa inaonyesha vizuri chatting, baada ya hapo akawaacha wamebaki mdomo wazi na akawaambia ntawaletea mabegi yake, Juzi kweli kapakia mabegi yake kwenye boda akapeleka 🙌
Indonesia

Mfumo rahisi wa kusimamia Biashara yako
*ESS: Msaidizi wa Biashara Yako Kiganjani*
Kama unamiliki duka au biashara, unajua jinsi inavyochosha kufuatilia kila kitu kwa kichwa au kwa madaftari.
*👉Jaribu leo uone mabadiliko:* ess.digitalisolutions.cloud

Indonesia

@MkulimaKante Wakati ukicontrol mauzo kiditali na kuona ripoti zote za store yako na mfumo rahisi sana wa mauzo,jaribu Sasa
ess.digitalisolutions.cloud

Usifungue bar kwanza uendeshaji wake ni mkubwa na utakugharimu
Kama una plan ya kuwa na bar anza na kiliquor store ingia singida tafuta pisi moja kali iliyosimama ipangishie chumba na msosi uwe juu yako ilipe 200k
Hiyo isimamie kuendesha liquor store yako funga wifi na nunua zako jbl speaker kubwa wateja wawe wanaconnect bluetooth wenyewe.
Unaweza kuongeza na big screen moja na viti kadhaa kuzunguka kaunta yako.
Wewe control mauzo huyo dada ndio awe in charge wa kuhudumia wateja wako.
Bro miaka mitano mingi utaanza kuitwa tajiri📌
Filipino

Pinterest Blog #22.
Same process. Same prompts. Same boring system.
Pick a niche. One command finds the seed keywords. One command expands them into 150-200 targeted keywords.
One command clusters the boards. One workflow creates articles and pins.
That's it. That's the whole thing.
Month 3-4: $100/month.
Month 6-8: $500/month.
Month 12: $1,000+/month.
Then you do it again. Blog 23. Blog 24. Blog 25.
Nothing changes except the niche. The system stays the same. The results repeat.
This is the most boring business model online. And I wouldn't trade it for anything.
👉 Like this and Comment "Details" to get my FREE guide.

English

🚨 BREAKING: You can run Claude Code completely free now.
No API bills.
No rate limits.
No data leaving your device.
Just Claude Code running locally fast, private, and 100% yours. Here’s how to set up Claude Code on your own machine (free + fully private)
For guide: Local AI Coding Setup: Free Claude-Like Agent (Ollama + VS Code)
Like + Comment " Send" + Retweet
Follow me @s_mohinii so that i can DM you

English

you can make $1,423 consistently!!!
from Pinterest + AI
And the entire system is automated and runs on 4 prompts.
→ One for niche research
→ One for keyword research
→ One for board clustering
→ One for pin design
+ Content creation process.
That's it. My entire team these prompts across every single project we run.
for the first time we are releasing everything in PINPOWER.
👉 Like and Comment "PROMPT" to get details
(limited enrollments with LIFETIME ACCESS)

English

HOLY GUACAMOLE 🤯
A legend dropped 1000+ N8N workflows in one repo and I'm literally shaking...
He scraped EVERY workflow from the official n8n site + GitHub.
✅ E-commerce automation
✅ Social schedulers
✅ Lead gen machines, etc.
Workflows worth $10K+ in consulting fees!
LIKE + COMMENT “YES” & I’ll send you the FULL workflow + setup FREE!

English

@elewachii I'm still selling what's for free guys
Comment "n8n" and I'll send you a free copy of the Beginners guide to n8n


English

After building 300+ YouTube channels that generated $10M+ in revenue... I developed a system that gets you leads from YouTube without recording a single video.
And you can try it for free.
Listen up, people don't talk about this when it comes to YouTube for business:
Consistency matters more than you realize.
But consistency is impossible when each video takes 10 hours to produce.
I've been solving this problem for clients for years. Scripting, strategy, editing - we handle it all. But there's still one bottleneck: they have to record.
And most business owners hate being on camera multiple times a month.
So I built AutoYT to remove that final barrier:
→ Auto-researches topics your audience actually wants
→ Writes full scripts (not the generic garbage ChatGPT spits out)
→ Creates AI avatars with voice cloning that looks human
→ Edits with B-roll, slides, and proper scene transitions
→ Publishes everything on your schedule
Before AutoYT: Research (2h) + Scripting (3h) + Recording (1h) + Editing (4h) = 10 hours per video.
With AutoYT: Click one button. Get a professional video.
Zero recording. Zero stress.
Every business will need consistent YouTube content by 2026. The ones that figure out automation first will dominate their niche.
I'm offering free test access to AutoYT.
Want in?
Connect/Follow
Comment "LEADS"
I'll DM the link.
PS - Best for B2B companies, consultants, and coaches who sell expertise but don't want to be on camera every week.

English












