Sabitlenmiş Tweet
K∆L∆SH NiKV
8.4K posts

K∆L∆SH NiKV
@Kalashnicovic
🇹🇿Yanga & Any team that beats Simba | 🇬🇧Man United & Any team that beats Liverpool | Apple Products‘ Addict |
📍Jupiter Katılım Haziran 2018
849 Takip Edilen1.1K Takipçiler

@GMwimbage @Ngalongela225 @__sheriii Bro hiyo miezi 6 kaiongea kwa confidence kabisa. Sasa hiyo “Prohibition letter” nayo ndo kitu gani? 😂
Filipino

@Ngalongela225 @__sheriii Kwan siyo tena miez 12 ya uangaliz ndo uthibitishwe kazin
Filipino

Nimependa hii hapa…
Mnaotafuta wake wakati mwingine unaweza kujaribu hii njia pia…
Japo mambo huwa hayatabiriki Ila kujaribu kwa njia tofauti si mbaya.

KIDEVU@KEYDEVU
Fungua biashara halafu tafuta mfanyakazi wa kike mdogo aisimamie,baada ya miaka 6 muoe,utakuja kunishukuru badae!!📚🗝️
Indonesia

@nshomily1 @gabyconscious Possible mzee hasa kwa hizi old models faida ni ndogo. Simu kubwa ndo zinaifa kubwa atleast.
Filipino

@gabyconscious Kwambq mnapataga faida ya 40k kwenye simu mmoja ?? Usitoa taarifa za uongo mzee
Indonesia

@EliraNyamu Ni ngumu huwa kuna fake link wanatuma na inaonekana from Apple ukifungua na kufuata maelekezo kazi imekwisha na wanaweza kubeba mpaka hela zako zote kuanzia bank mpaka kwenye mitandao ya simu. Ila bila hivyo bado ni ngumu kuiAccess hasa kwa hizi models za juu.
Indonesia

@miLLm93 @LifeofSteph_1 Poti baada ya kuona nyama ngumh mwishoni kaona a’assume tu kaelewa.
Indonesia

@LifeofSteph_1 Unamuona huyo jamaa wa mwisho ndo watu wa Birmingham sasa😁
Filipino

Wewe kama uanajiona umeiva sana Kingereza cheki muvi za waingereza ambazo hazina subtitle ujione ulivyo mchache 😂😂🙌
K∆L∆SH NiKV@Kalashnicovic
…😀

@DrKessyJulius1 @spana_Konki 😂 bro analazimisha hoja ambayo msemaji hawasema. Au labda kuna clip nyingine? Itoshe kusema chalii kapuyanga.
Indonesia

@spana_Konki @Kalashnicovic Acha kushangaa as if wewe ndio umesikiliza mwenyewe,hakuna mahali Popote alipoongea Uchumi mzuri/mbaya katika clip yake kama unayo Lete Hapa,kitendo Cha kusema Eti mara anapigiwa simu kwenda kijiweni na washkaji,mara mke anamuuliza yuko wapi maana yake alikua na utoto sio Akili
Filipino

@spana_Konki @DrKessyJulius1 Uchumi umeweka wewe yeye shida yake haikua hiyo (based on that clip.)
Indonesia

@DrKessyJulius1 @Kalashnicovic Duh yani baada ya kuandika hayo bado hujaelewa? Hujaona uchumi ulipoingia? Kweli hapa najaza maji kwenye gunia.
Indonesia

@spana_Konki @DrKessyJulius1 Aisee 😀 hoja yake ilikua oa/olewa unapoona umemaliza ujana na sio unapokua financially stable we hiyo umeitoa wapi? Unadhani angesema unayoyasema watu wangemwona kazingua? Btw clip hiyo hapo taja kuanzia dk ipi kagusia au kuongelea masuala ya hela?
Indonesia

@Kalashnicovic @DrKessyJulius1 Nalisha au mmekurupuka kuelewa. Sikilizeni eleweni. Kaongea sahihi ila nyie mmeangushia sukari kwenye mfano wake mmoja, hakumaliza hata kutoa mifano kwasababu ya muda wa kipindi. Ila point yake ya msingi ni make sure ni wakati sahihi ili mambo yasiwe mengi. Sikilizeni jamani.
Indonesia

@spana_Konki @DrKessyJulius1 Tatizo lako wewe unailisha maneno ile clip. Kwenye ile clip jamaa anajichanganya hoja yake haieleweki.
HT

@DrKessyJulius1 @Kalashnicovic Wewe ulishakimbia muda mrefu. Huo ni mfano wako mmoja kwenye yale ya Msingi. Ukweli ni kwamba wengi wamekurupuka hapo, halina mjadala. Kazeni vichwa muwezavyo.
Indonesia

@DrKessyJulius1 @spana_Konki Sure, suala la kuchanganya ujanja na ndoa halina umsingi wowote 😀
Indonesia

@spana_Konki @Kalashnicovic Hapana Mangi Jamaa aliongea kifala Sana Eti alioa mara washkaji wanampigia aende kijiweni,mara mke anamuuliza uko wapi n.k hakua na hoja ya Msingi kabisa,mara Eti baba angu ananiambia nitulie tu maana mda ulikua haujafika yaani Ujinga tu
Indonesia

@spana_Konki @DrKessyJulius1 Hakuna sehemu kagusia changamoto ya kifedha kaongelea suala la umri na wakati kwenye suala la kuoa. Labda kma kuna clip nyingine tofauti na ile na hata kesi ya ndoa yake shida ilikua ujana na sio uchumi (kwa mujibu wake). Msikilize vizuri.
Indonesia

@Kalashnicovic @DrKessyJulius1 Ndio hichohicho kasema alafu akaishia tolea mfano wake mmoja tuu. Sikiliza alivyoanza kuongea na akaja ongeza na caption generally, ndio suala hilohilo, uelewa wa mtu tuu.
Indonesia

@spana_Konki @DrKessyJulius1 Kwa hoja hiyo uko sahihi bro ila kwa mujibu ile clip ya Farhan hoja yake haikua hiyo unayosema na laiti angesema hivyo kusingekua -ve comments za vile.
Filipino

@Kalashnicovic @DrKessyJulius1 So ukiwa hovyo kabisa kiuchumi sio sababu za msingi za kutokuoa kwa wakati huo?
Filipino

@spana_Konki @DrKessyJulius1 Hapo hoja unayo ila unapokosea ni hayo maneno “sababu za msingi” 😀
Filipino

@DrKessyJulius1 Una miaka 35, unatamani na una uchu wa kuoa, umri unakwenda ila kazi ya kueleweka huna, unapata vibarua vya hapa na pale vinakusaidia kula kidogo na kujivika usitembee uchi, unakaa kwa ndugu au mwana. Ni kwa namna gani mtu huyu ana sababu za msingi za kuoa?
Indonesia





