Greenjm

4.4K posts

Greenjm banner
Greenjm

Greenjm

@GMwimbage

Tanzania Katılım Ağustos 2019
483 Takip Edilen300 Takipçiler
Greenjm
Greenjm@GMwimbage·
@amiartz44 @TGLupondo @1TraVeLA Ulishawah kuona ligi yao imeisha mwezi wa 7 mwishon au unaona kuna utofaut wa mechi karibia 5 kati ya Brentford na arsenal?
Indonesia
0
0
1
21
Godfrey Achireka Jr.
Godfrey Achireka Jr.@1TraVeLA·
Ligi kubwa za uropa zitakuwa zimeisha, fainali ya ucl ishafanyika , Kombe la dunia limeshaanza na kufikia katikati ya mashindano .. Ndio labda ligi kuu ya Tangannyika 2025/2026 itakuwa imemalizika!. N.B ligi hiyo ina timu 16 tu! 😀😀😀
Indonesia
8
17
253
9.3K
Greenjm
Greenjm@GMwimbage·
@TGLupondo @1TraVeLA Sasa vimashindano vya kijinga kijinga pia vinachangia mfan mapinduzi na muungano
Suomi
3
0
1
56
Thy African
Thy African@TGLupondo·
@1TraVeLA Poor management ya kila kitu Dunia iko kulia sisi tuko kushoto
Filipino
2
0
2
654
Imaginator
Imaginator@ImaginatorAndy·
@1TraVeLA Ikifika mpaka tarehe 31 May ligi haijaisha basi itaisha mwezi wa 8
Indonesia
1
0
0
668
Greenjm
Greenjm@GMwimbage·
@ALugandu @grimikks_ Hiyo ya tabora kwahyo kama unaenda mwanza ukifika tabora ukunje kwenda nzega
Indonesia
1
0
1
8
DOCHA 
DOCHA @ALugandu·
Barabara Ya Kutoka Dodoma Kwenda Singida Yale Mashimo Kuna Mawili Upige Shimo Upasue Tairi Na Rim au Ukwepe Shimo Ghafla Uchochole Kuweni Makini..!!
DOCHA  tweet media
Filipino
10
17
93
3.3K
ABD
ABD@SamataJr_12·
Diesel imekuja kupanda bei kipindi kibaya🤦‍♂️ Wakulima wa Mbarali watatoa sana milio kwenye bei za kuvunia na Combaine😆 @Mazikuagric @PichaNzuri
ABD tweet media
Indonesia
8
4
28
2.1K
Mkambunga
Mkambunga@mzeemkambunga·
@Cowwbama @Thereal_taivina PROMOCODE WEKA "VINA88" HII NI NINI KAMA SIO AFFILIATE NA MNAPATA PESA KUPITIA WAPUMBAVU WANAOBETI KUPITIA NINYI NA SIO KUBET🤣🤣🤣
1
0
0
444
Greenjm
Greenjm@GMwimbage·
@Kalashnicovic @Ngalongela225 @__sheriii Mm nimeamua nikae kimya maan naona mapicha picha huyu hata standing order au labour law haijui maan sijawah ona serikalin kuthibitishwa kazini ni miez 6 ndo nmeisikia kwake hapa
Filipino
2
0
1
19
You
You@Your2qh·
Hizi hapa ndio Taasisi znazoajir moja kwa moja bila kupitia ajira portal. Polisi Zimamoto Magereza Takukuru Jwtz Judiciary TRA
Indonesia
13
14
371
19K
Mtu wa kazi Og
Mtu wa kazi Og@Ngalongela225·
@GMwimbage @__sheriii Ajira za kudumu baada ya miezi sita ya Uangalizi unapewa barua ya prohibition letter after than unaweza kopa mkopo accordibg tu mshahara wako
Indonesia
1
0
0
107
FineByMe🇹🇿🇷🇼
FineByMe🇹🇿🇷🇼@Trigga_kush·
Miaka 10 hujawahi kuongea na mtu ghafla asubuhi unajikuta kwenye group la ndoa. Can you people try to utilize well that small cycle you have Thuli,Khuli... Mbali Sabela.
Indonesia
35
207
1K
38.3K
Greenjm
Greenjm@GMwimbage·
@LazaroMase87044 @AmosdeSantos1 Highest scoring quarter ikiwa ni 65.5 ukisema over inamaan kweny quarter mojawapo iwe 66 kuendelea ukisema under means iishie 65 kushuka chini the same to lowest ikiwa 48.5 ukisema over inamaan quarter zote zianzie 49 ukisema under inamaan quarter 1 au zaid ziishie 48
Filipino
3
0
3
184
Nabil
Nabil@Meelajoseph1·
@JChikundu hivi maana yake wanajua kweli hii kitu ameshika inapatikanaje? Mikel Obi Na yule Bruno Fernandes,na yule mwingine Rooney na Schooles
Filipino
2
0
1
87
#Juma
#Juma@JChikundu·
Bruno Fernandes na yule mwizi wa tuzo yetu watadhani super Dec ameshika tufe🌐🌍.
#Juma tweet media
HT
3
2
40
3.2K
Unaweza
Unaweza@hataweweunaweza·
@moshijnr Senegal walikosea kuondoka uwanjani Mechi iliendelea tu ili kuondoa patamshike
Indonesia
6
0
1
509
Moshi Jnr
Moshi Jnr@moshijnr·
CAF kumpa ubingwa Morocco ni kufurahisha meza yao tu, na hii inaleta picha kuwa wanaonekana ni wajinga sana kutokana na maamuzi yao CAF Mwaka 2018 walitaka kumpa ubingwa Wydad AC na Esperance de Tunis arudishe medali, Esperance wakagoma Na hivi tena wamerudia . Shame .
Indonesia
9
25
374
13.4K
Greenjm
Greenjm@GMwimbage·
@paulo_timothy @DMsangii @baraka_asege Unafikir kukata ticket za ndege ni sawa na bus siyo Simba ukute walishafany logistics za kuondoka wakati t wanatoka singida kuelekea Arusha unafikir kwann yanga waligoma kwenda tabora cyo kwamb uwanja ni mbovu bali ni logistics za usafir zilikuwa ngumu na huwez kwenda kwa bus
Indonesia
0
0
1
22
Mr.Mbeya
Mr.Mbeya@baraka_asege·
Simba wanalelewa kama malastborn Excuse za kishamba nyingi sana. Yanga kacheza juzi dhidi ya Azam saa 5 usiku mechi imeisha kesho saa 10 anakichafua dhidi ya TRA hata saa 72 hazijaisha. Hii waandishi mmelikalia kimya tyu
Mr.Mbeya tweet media
Indonesia
16
5
72
6.8K
Mhuri93
Mhuri93@paulo_timothy·
@GMwimbage @DMsangii @baraka_asege JKT ukiachana na FA alikuwa na mashindano gani mengine haya Yanga, Azam na Simba wote walikuwa na mashindano pia hadi sasa wanamichezo miwili mbele, Simba akikuwa wapi!?
Filipino
1
0
0
9
Greenjm
Greenjm@GMwimbage·
@baraka_asege Ile tim yen wenye akili wapo wachache san ni ln simba aliomb excuse asicheze mech, yanga vs Simba tareh 1 anayefuata ilibid achez na coastal kitu ambach ni kigum maan coastal alikuwa katok kucheza na singida haya game ya juz Simba anahusikaj kuna tim zina game 17 hao nao wasemaj
Greenjm tweet media
Filipino
0
0
3
171