Kamal Assad

421 posts

Kamal Assad

Kamal Assad

@Kamali_assad

2025 plans, God bless

Tanzania Katılım Temmuz 2016
315 Takip Edilen75 Takipçiler
Jack upepo
Jack upepo@kikomasta·
Vikwazo sio mara zote vinabomoa kuna muda vinajenga. Ona hii:- Miaka 46 iliyopita walisema msiuze silaha kwa IRAN 🇮🇷 Sasa hivi wanasema msinunue silaha kutoka kwa IRAN 😂 Umegundua nini kwenye hili? #BilaGanzi
Jack upepo tweet media
Filipino
6
6
70
1.7K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO Mbunge wa Jimbo la Mchinga (CCM) Salma Kikwete ameishauri serikali kutafuta kitu mbadala ili kupunguza matumizi ya kinywaji cha ‘Energy' hasa kwa watoto kutokana na kinywaji hicho kuwa tatizo. Kikwete ametoa ushauri huo leo Ijumaa Juni 20, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026. Amesema pamoja na serikali kupunguza kodi kwenye suala la vinywaji ili kuleta ushindani lakini kinywaji aina ya 'Energy’ kimekuwa ni tatizo kwa watumiaji wake hasa watoto.
Indonesia
55
5
47
11.1K
Dr Calipso
Dr Calipso@nulphin·
😭😭😭😭😭😭 Huyu ni Waziri wa @SuluhuSamia huyu ni waziri wa CCM na ni Mbunge. Daktari Mpumbavu kuwahi kutokea.
Indonesia
36
72
304
23.5K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mjini Magharibi (Zanzibar), Mhe. Tauhida Gallos, amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuwachukulia hatua kali watu wote wanaotumia mitandao ya kijamii kumtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi leo Mei 26, 2025 bungeni jijini Dodoma, Mhe. Tauhida amesema kitendo cha kumtukana Rais ni dharau kubwa kwa mamlaka ya juu kabisa ya nchi, na kuongeza kuwa ni bora wabunge watukanwe, lakini siyo Rais wa Jamhuri. Aidha, Mbunge huyo amesema kuwa changamoto ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii imekuwa kubwa nchini na hivyo kunahitajika nguvu ya pamoja na hatua madhubuti ili kudhibiti hali hiyo.
Indonesia
110
5
71
18.2K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema hafurahishwi na hatua za Rais wa Urusi, Vladimir Putin, akimtuhumu kwa kuendesha mashambulizi ya kikatili yanayosababisha vifo vya watu wengi. Kauli hiyo imekuja baada ya Urusi kurusha idadi kubwa ya ndege zisizo na rubani dhidi ya Ukraine usiku wa Jumamosi, na kusababisha vifo vya watu 13 nchini humo.
Swahili Times tweet media
Indonesia
28
9
549
36.6K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, wameungana kutoa onyo kali kuhusu ulinzi wa amani ya jiji, wakisisitiza kuwa hakutakuwa na nafasi kwa watu wanaojaribu kuvuruga utulivu wa jiji na nchi. Mchengerwa, akizungumza siku ya Jumamosi mbele ya zaidi ya wamachinga kutoka masoko mbalimbali jijini Dar es Salaam, katika hafla ya kuliombea Taifa ameeleza kuwa vurugu nyingi zinazojitokeza jijini humo husababishwa na watu kutoka mikoani au hata nje ya nchi, na si wakazi halisi wa jiji hilo. Ameagiza mamlaka za mkoa, chini ya uongozi wa Chalamila, kuchukua hatua kali dhidi ya wachochezi hao. Aidha, Mkuu wa Mkoa Albert Chalamila aliunga mkono kauli hiyo kwa kusisitiza kuwa hakuna mtu binafsi, chama cha siasa, taasisi ya dini au shirika lolote litakaloruhusiwa kuharibu amani iliyopo. Alisema Naye Mkuu wa Wilaya Edward Mpogolo ameeleza kuwa uhusiano mzuri baina ya viongozi katika wilaya hiyo umesababisha maendeleo mazuri kutokana na ushirikiano uliopo.
Indonesia
195
11
110
31.6K
Ernst Roets
Ernst Roets@ErnstRoets·
Donald Trump made history today. Thank you President Trump for showing those videos for the world to see. It cannot go on like this! Things have to change.
English
1.5K
1.2K
11K
673K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
"Ninaitwa Grace Kiwelu ni Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Kilimanjaro, Mwenyekiti kamati ya Fedha wa kanda ya Kaskazini na ni Mjumbe wa kamati tendaji ya Bawacha Taifa. Leo nimesimama mbele yenu kwanza kusema ahsante kwa Chama changu Chadema, kimenipa heshima, nimekuwa Mbunge, nimekuwa Mjumbe wa Kamati kuu na nimejiunga na Chama hiki tangu mwaka 1992 nikiwa Binti na leo nazeeka ndani ya Chama lakini leo nimesimama mbele yenu kwa maumivu makubwa kwasababu nitasema mwishoni ninaenda wapi. Chama changu nilikipenda sana na nilikitumikia kwa moyo wa dhati, tulizunguka nchi nzima hii kuijenga Chadema, tulikuwa tunazunguka na Mbowe kuhakikisha Chama chetu kinaenea Tanzania nzima, tulifanya ziara wakati huo tukiwa wabunge watano tu, mimi nikiwa Mbunge pekee mwanamke kuzunguka nchi hii tukiwa na fuso, tunaweka viti, meza, spika. Tunazunguka na hatuna mwanachama hata mmoja huko tunapoenda. Tukifika tunashusha viti, tunafunga Spika, tunahutubia miti na watoto. Leo namshukuru Mungu tumefika hapa. Lakini badala ya kuvuna heshima, tunavuna matusi. Tulishauri chama kwa nia njema kwamba tunahitaji reforms ndio lakini tusizuie uchaguzi. Unawezaje kuzuia uchaguzi wakati wewe sio mshirika wa uchaguzi? Tunafanyaje mikutano wakati tumeshasema tunaenda kuzuia uchaguzi? Tunauzuiaje uchaguzi?, wakasema tutazuia kwa maandamano. Leo wananchi wangu wa Vunjo niwaambie tunaandamana kuzuia uchaguzi, tunaanzia wapi tunaishi wapi? Wazee wangu wa Vunjo na vijana,tunaanzia wapi? Maandamano tunayofanya ama vijana wanaoandika leo kutukana baba na mama zao kwenye mitandao hutowaona kwenye maandamano. Na niwaombe sana wananchi wangu wa Vunjo, nilikuwa mmoja wa G55 kwasababu ninawajali, ninawaheshimu na ninawapenda. Uamuzi ninaouchukua leo mnisamehe nakipenda, na niliipenda sana Chadema kwasababu ilinipa heshima sana, kufika hapa nilipofika nilijengwa na Chadema lakini sasa itoshe kusema kuanzia leo Tarehe 11 Mei, 2025 ninajiondoa rasmi Chadema, ninakwenda nyumbani- bado nina nguvu, sisemi ninaacha siasa lakini acha kwanza nikapumzike, na ninamshukuru Mungu sana kwamba Aprili 27, mwaka huu Mungu alinipa Mjukuu, nakwenda kulea Mjukuu wangu. Nimechoka na matusi ya mitandaoni kila siku. Nilimuandikia Katibu Mkuu kwamba ninajitoa kugombea Ujumbe wa kamati kuu kwasababu ya matusi, Katibu Mkuu hajawahi kujibu meseji mpaka leo. Tuna group alianzisha Katibu Mkuu linaitwa MAMAMA, mwenyewe alilifunga kwasababu ya matusi. Leo Viongozi wanaona matusi hawakemei, kosa ni kumuunga mkono Mbowe na nilimuunga Mkono kwasababu ya mageuzi makubwa aliyoyafanya ndani na nje ya Chama chetu. Bila Mbowe tusingekuwa na Chadema hii ya leo. Ana haki ya kupongezwa, kwahiyo mimi nimechukua maamuzi tayari kwamba leo ninafikia mwisho wa kuwa Mwanachama wa Chadema, niwashukuru Viongozi wangu wa Bawacha kwa kuniunga Mkono na tutakwenda pamoja kuendeleza mapambano ya haki za wanawake na wananchi wetu, kuyafikia malengo tuliyokuwa tumetegemea kuyafikia."- Grace Kiwelu
Jambo TV tweet media
Indonesia
377
28
649
112.5K
Kamal Assad
Kamal Assad@Kamali_assad·
@mshambuliaji Ripoti ya CAG alikaa kimya, mechi ya simba mayoweee
हिन्दी
0
0
3
168
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Maswali mazito ya Mbunge Msukuma kwa Waziri wa Michezo Prof. Kabudi kuhusu Mgogoro wa Mechi ya Derby ya Simba na Yanga na kumtaka kutoa majibu ya kile kilichozungumzwa kwenye kikao cha mustakabali wa Derby. #KitengeUpdates
Filipino
34
40
379
28.6K
Kamal Assad
Kamal Assad@Kamali_assad·
@Phbhimself Haya maneno na hivi vitendo vinapatikana katika sura gan aya ya ngap katika biblia au ni mambo ya kidunia
Indonesia
2
0
1
244
Paul Bonaventure
Paul Bonaventure@Phbhimself·
Kardinali wa Ufaransa, Dominique Mamberti, ameteuliwa kuwa Protodeacon. Kwa heshima hiyo, atakuwa na jukumu la kipekee na la kihistoria, kutangaza kwa ulimwengu maneno maarufu "Habemus Papam!" yaani, “Tunaye Papa!” Lakini nafasi hii si ya kawaida. Hii ni nafasi inayobeba heshima kubwa, inayochukua jukumu la kutangaza kwa ulimwengu wakati Kanisa Katoliki linapopata Baba Mtakatifu mpya. Ndio, Dominique Mamberti ndiye atakayesimama mbele ya dunia nzima, kwenye kile kilele cha jukwaa maarufu la Kanisa la Mtakatifu Petro. Akiwa amevaa vazi lake rasmi la makardinali, uso wake ukiwa na uzito wa majukumu na furaha iliyofichwa. Na kusema maneno ambayo hutamkwa mara chache sana katika historia. "Annuntio vobis gaudium magnum, Habemus Papam!" (Nawatangazia furaha kuu, Tunaye Papa!) Ni maneno ya kale yaliyojaa uzito wa kiroho na kihistoria, maneno yanayoashiria mwisho wa fumbo lililotawala Vatican kwa siku kadhaa fumbo la Conclave.
Paul Bonaventure tweet media
Filipino
9
20
253
17.8K
Kamal Assad
Kamal Assad@Kamali_assad·
@mshambuliaji Bila ushindani watarud hao hao wawe wanafaa au hawafai
हिन्दी
0
0
0
45
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
MWAKA 2025 WABUNGE HAKUNA KULIALIA WALA MIUJIZA Huu mwaka wa Uchaguzi kazi walizowafanyia wananchi zitaongea hakuna kulialia.
Indonesia
4
1
89
10.1K
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
SHERIA HAITETEWI inajitetea yenyewe. Law always speakes. Huwezi kuondoa haki iliyotolewa Kikatiba na kisheria kupitia Kanuni. Kusaini Kanuni za Maadili ni kanuni wezeshi kurahisisha ushiriki wa vyama na wagombea na si vinginevyo. Tume ya Uchaguzi siyo Bunge haina uwezo wa kufuta haki iliyothibitishwa na Bunhe kupitia Katiba na Sheria. Ni kushindwa kuwajibika.
Boniface Mwabukusi tweet media
Indonesia
121
414
2K
87.4K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Mheshimiwa Jaji Mkuu Prof. IBRAHIM HAMIS JUMA, wewe ni MUISLAM na mtu RAHIM SANA. Naomba kwa pamoja, TUMFIKIRIE Sheikh MOHAMMED IBRAHIM aliyekaa GEREZANI BUTIMBA kwa MIAKA 11 kwa Kesi ya “UGAIDI” ambayo HAISIKLIZWI kwa kuwa MAHAKAMA HAINA PESA.@judiciarytz
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
22
63
415
11.7K
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Sharti uwe mtumishi wa Umma, na watumishi wote wa Umma bosi wao ni Rais na Rais ndo mamlaka Yao ya mwisho ya nidhamu! Kwamba watumishi wa Umma ndo wana akili au maadili kuliko watu wowote Tanzania? Ni ubaguzi wa wazi, hawa wana kazi lakini wasio na kazi hawatakiwi! Ajira ngumu 😩
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi@TumeUchaguziTZ

NAFASI ZA KAZI!

Indonesia
82
141
631
35.8K