Kampeni Kuu za CCM-2025
132.8K posts

Kampeni Kuu za CCM-2025
@Kampeni2025
Live updates za Kampeni za CCM 2025
Dodoma, Tanzania Katılım Temmuz 2018
9.8K Takip Edilen18.8K Takipçiler
Kampeni Kuu za CCM-2025 retweetledi
Kampeni Kuu za CCM-2025 retweetledi

Leo mgombea wa CCM, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, anaanza ziara yake ya kampeni mkoani Tanga.
Mkoa wa Tanga ni miongoni mwa maeneo yaliyopata miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa chini ya uongozi wa Rais Samia. Miradi hii, iliyokamilika au inayoendelea kutekelezwa, inabeba nafasi muhimu katika kuimarisha uchumi wa Tanga na Tanzania kwa ujumla.
Miradi Mikuu ya Kimkakati
1. Upanuzi na Uboreshaji wa Bandari ya Tanga
Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) imekamilisha hatua kubwa za upanuzi wa Bandari ya Tanga. Maboresho haya yanahusisha ujenzi wa magati mapya, kuongeza kina cha maji ili kuruhusu meli kubwa zaidi, na kuimarisha vifaa vya kisasa vya kuhudumia mizigo.
Matokeo yake, uwezo wa bandari umeongezeka maradufu, na sasa inajipambanua kama lango kuu la biashara kwa nchi jirani zisizo na bandari kama Uganda, Rwanda, Burundi, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo—ikiakisi dira ya serikali ya kukuza biashara ya kikanda.
2. Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi (EACOP)
Mradi wa East African Crude Oil Pipeline (EACOP) unaoishia Tanga unaiweka Tanzania katika ramani ya kimkakati ya nishati barani Afrika. Mradi huu umefungua fursa za ajira, biashara kwa wakandarasi wa ndani, na kuleta teknolojia mpya nchini.
Aidha, serikali imehakikisha wananchi wanapata fidia stahiki na viwango vya kimataifa vya uhifadhi wa mazingira vinazingatiwa—jambo linaloongeza imani ya wawekezaji na kuimarisha heshima ya Tanzania kimataifa.
3. Uwekezaji katika Terminal ya Gesi Asilia ya Kupikia (LPG)
Kwa kushirikiana na sekta binafsi, serikali imeanzisha ujenzi wa terminal kubwa ya LPG Tanga. Lengo ni kuongeza upatikanaji wa gesi salama na nafuu kwa wananchi, kupunguza utegemezi wa kuni na mkaa, na kulinda mazingira.
Mradi huu utashusha gharama za gesi, kutoa ajira kwa vijana wa Tanga, na kuwawezesha wafanyabiashara wa ndani kushiriki katika mnyororo wa thamani wa gesi.
4. Maboresho ya Barabara na Miundombinu ya Usafirishaji
Serikali imewekeza katika ujenzi na maboresho ya barabara za mkoa, hususan zile zinazounganisha maeneo ya pwani na wilaya mbalimbali.
Hii imepunguza gharama za usafirishaji wa mazao, kuongeza biashara, na kuboresha upatikanaji wa huduma za kijamii—hasa kwa wananchi wa pembezoni.
5. Mradi wa Maji wa Miji 28
Kupitia Mamlaka ya Maji Tanga, serikali imetekeleza mradi wa maji katika miji 28. Mradi huu umeongeza upatikanaji wa maji safi na salama, kupunguza uhaba wa maji, na kuboresha afya za wananchi.
6. Mradi wa Bwawa la Nyumba ya Mungu
Mradi huu umelenga kuhifadhi na kusambaza maji kwa matumizi ya kaya, kilimo na viwanda. Umeongeza uwezo wa hifadhi ya maji na kuimarisha huduma ya maji mkoani Tanga.
7. Mradi wa Bwawa la Mkomazi
Bwawa hili limewekeza katika uhifadhi wa maji kwa matumizi ya kilimo, viwanda na kaya, hivyo kuchochea maendeleo endelevu na kupunguza changamoto za ukame.
8. Mradi wa Maji Mkinga
Wilaya ya Mkinga imenufaika kwa kuanzishwa kwa mfumo wa kisasa wa usambazaji na uhifadhi wa maji safi. Hii imeboresha afya, kuongeza ustawi wa jamii na kurahisisha maisha ya wananchi.
9. Fursa za Kibiashara na Uwekezaji
Miradi hii imefungua milango ya uwekezaji wa ndani na wa kigeni. Serikali imekuwa ikihakikisha mazingira rafiki ya kibiashara, ikiwemo motisha za kodi na uwepo wa miundombinu ya kisasa.
Sekta nyingine kama viwanda vidogo, utalii na biashara ya huduma pia zinanufaika moja kwa moja.
Miradi ya Kimkakati ya Kufuatiliwa kwa Ukaribu
1. Bandari ya Tanga
2. Mradi wa EACOP na miradi ya mafuta
3. Miundombinu ya barabara
4. Miradi ya nishati (LPG/LNG)
5. Miradi ya maji
Indonesia
Kampeni Kuu za CCM-2025 retweetledi

Mhe. Dkt. @SuluhuSamia, karibuni Tanga! Uwekezaji wa Tril. 3.1 umeboresha barabara, maji (79%), elimu na viwanda. Ndoto yako ya Tanga ya Viwanda na Utalii inaanza kufanikiwa. Tunakuahidi kura nyingi za NDIYO Oktoba 29.
Indonesia
Kampeni Kuu za CCM-2025 retweetledi

Mh Rais, Karibu Tanga
Anaandika #AMM
Hapa Tanga ndipo ulitoa tangazo gumu Machi 17, 2021. Kwa huzuni ulihutubia taifa, kisha ukakabidhiwa jukumu la kuwashwa taa ya matumaini na kuzima Giza la huzuni na sintofahamu.
Katika kukukaribisha Tanga, naamini itifaki imezingatiwa na kuniruhusu niseme machache uliyofanya kwa mkoa wetu tangu ile 2021:
2020, Pato la mkoa wetu (GDP) lilikuwa Trilioni 6.818, mwaka 2024 kwa sababu ya umahiri wako, limefikia trilioni 9.581. Pato la mtu mmoja mmoja lililokuwa kutoka milioni 2.78 kwa mwaka (2020) hadi milioni 3.43 (2024).
.
Mh Rais, Bandari ya Tanga iliyojengwa 1914, ndio bandari kongwe zaidi nchini. Kabla ya 2021, tulikuwa tunaona meli zinatia tanga umbali Km 1.7 kutoka kwenye gati, na TPA walikuwa wanalipa Ada ya Dola 1.3 kwa kila tani moja kwa sababu mizigo ilikuwa ‘inafaulishwa’ kwenye meli ndogo. Wewe umeweka bilioni 429.1 kumarisha bandari yetu, sasa meli zinafika kwenye gati na ile Ada ya Dola 1.3 kwa tani haipo tena. Kabla ya Uongozi wako tulikuwa tunapokea mizigo tani laki 4 kwa mwaka, sasa tunapokea tani milioni 1.2.
.
80% ya watu wa Tanga ni wakulima. Hawa watakupokea kwa shada na waridi, wakishukuru kuhusu Mradi wa Umwagiliaji Mkomazi. Unapiga tuta la kuzuia maji lenye urefu wa zaidi ya mita 300 na barabara za mashambani zaidi ya kilomita 56, na ujenzi ukikamilika litakuwa na lita bilioni 17 za maji. Bilioni 48 ulizoweka hapa zitanufaisha zaidi ya kata 20.
Kwa ujumla, Serikali yako imewekeza Jumla ya Shilingi Trilioni 3.1 zinazohudumia maisha ya watu kwenye Sekta zote: upatikani wa maji sasa ni wastani wa 79%. Unaifungua Tanga kwa barabara ya Bagamoyo - Pangani na miundombinu mingine. Umeboresha Elimu kuanzia msingi hadi kutuletea Kampasi ya Chuo Kikuu Mzumbe.
.
Februari 28, 2025 ukiwa Mkwakwani ulieleza wazi ndoto yako juu ya Mkoa wa Tanga ukataja mawili unayotamani: Kurudisha Tanga ya Viwanda na Kuimairisha Utalii (Fukwe, Historia na Utamaduni). Tumeona vitendo vyako katika kuanza kutekeleza ndoto hiyo, tunaona Viwanda vipya na tunaona baadhi ya viwanda vya zamani kufufuliwa.
.
Maombi yangu kwa Mungu ni kuona unapata nafasi ya kutimiza ndoto hiyo. Nasi tutatekeleza wajibu wetu kuona unapata tena Nafasi hiyo: #Oktoba29TunatikiSamia
#KaribuTanga

Tanzania 🇹🇿 Indonesia
Kampeni Kuu za CCM-2025 retweetledi

Hadi sasa kuna jumla ya aina 120 za bidhaa muhimu za afya zinazozalishwa na viwanda vya ndani, wazalishaji wa bidhaa hizi tayari wana mikataba na MSD
Lengo la Serikali ni kushusha uagizaji wa bidhaa za afya nje ya nchi kutoka 80%(2023) na kuwa chini ya 50% ifikapo 2030
#AfyaMSD
Indonesia

Kuna muda unauelewa uamuzi wa baadhi ya vyama kususia huu Uchaguzi. Huwezi shindana na dude la namna hii. Impossible
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿@_zack255
Muonekano wa Helikopta maalum iliyopita katikati ya Uwanja wa Tanganyika Packers, ikiwa ni ishara ya kwa Watanzania wote watashiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 na watampigia kura ya Ndiyo Mgombea Urais Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi
Indonesia

Morogoro wanasema hawataki maneno meengi wao wanasubiri muone kwa vitendo. Kila wakati tunapata sababu ya kuele w kwanini baadhi ya wapinzani walikimbia huu Uchaguzi. Waliona tsunami linakuja
Salim Alkhasas@salim_alkhasas
Ndio kwanza Saa saba.. unaambiwa Huko Mwanza wamesema rekodi hii wataivunja saa nne asubuhi
Indonesia









