Michael Kasonkwa

102 posts

Michael Kasonkwa banner
Michael Kasonkwa

Michael Kasonkwa

@Kasonkwamichael

Public administrator as professional, kijana mzalendo wa kitanzania, Mtengeneza maudhui na Mwigizaji wa SANAA ZA MAJUKWANI NA KWENYE TELEVISION ,

Ukonga Dar es Salaam Katılım Nisan 2025
59 Takip Edilen32 Takipçiler
Michael Kasonkwa
Michael Kasonkwa@Kasonkwamichael·
Mwanamke shupavu.....#october✅✅
Dira Ya Samia@DiraYaSamia

ASANTE KWA UPENDO WENU RUVUMA! 🙌 Shukrani za dhati kwa wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) mliojitoa kwa moyo wa pekee kushiriki na kushuhudia mikutano ya kampeni ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Dkt. @SuluhuSamia, katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Ruvuma. Muitikio wenu wa kishindo umeandika ukurasa mpya wa mshikamano na imani ya kweli katika safari ya maendeleo ya taifa letu. Safari ya Ushindi inaendelea kwa nguvu mpya na matumaini makubwa kuelekea tarehe 29 Oktoba #DiraYaSamia #SamiaHadi2030 #HaijapataKutokea #KaziNaUtu2025

0
0
1
4
Michael Kasonkwa
Michael Kasonkwa@Kasonkwamichael·
HODI HODI RUVUMA! 🌟 Wananchi wa Ruvuma, leo ni siku ya kihistoria! Karibuni kwa wingi kumpokea na kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia @ccm_tanzania , Mhe. Dkt. @SuluhuSamia 💚💛 Usikose kufuatilia hotuba yenye dira ya maendeleo,
Michael Kasonkwa tweet media
Indonesia
0
0
1
10
Nicephorus Kahwili
Nicephorus Kahwili@NKahwili35377·
Muonekano wa Chuo cha Ufundi stadi VETA katika Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma. Uwepo wa chuo hiki umewezesha vijana wengi kupata mafunzo ya ufundi katika fani mbalimbali. #OktobaTunatikiSamia
Nicephorus Kahwili tweet media
Filipino
1
0
2
5
Michael Kasonkwa retweetledi
Kizimkazi
Kizimkazi@MamaSamia2025·
Mama Samia ni shujaa, mtiifu na mbeba maono ya Taifa letu. Anastahili tuzo muhimu kwa kuwa ni kiongozi bora na wa mfano.
Kizimkazi tweet media
Indonesia
40
28
102
8K
Michael Kasonkwa retweetledi
Chama Cha Mapinduzi
Chama Cha Mapinduzi@ccm_tanzania·
TAARIFA KWA UMMA
Chama Cha Mapinduzi tweet media
Indonesia
78
29
196
22.3K
Michael Kasonkwa retweetledi
Kizimkazi
Kizimkazi@MamaSamia2025·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunukiwa Tuzo Maalum ya Heshima ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika viwanja Bunge Jijini Dodoma tarehe 31 Mei, 2025.
Kizimkazi tweet mediaKizimkazi tweet mediaKizimkazi tweet media
Indonesia
12
22
61
3.3K
Michael Kasonkwa retweetledi
SAMIA APP
SAMIA APP@Samia_App·
WATALII WALIOTEMBELEA VITUO VYA MALIKALE WAMEONGEZEKA Idadi ya Wageni Waliotembelea Vituo vya Malikale wameongezeka ambapo kwa mwaka 2020/2021 Wageni 72,176 walitembelea vituo hivyo huku kwa mwaka 2024/25 (hadi kufikia mwezi April,2025) wageni 144,274 walitembelea vituo vya malikale. Idadi hiyo iliongeza Mapato kutoka TSh. Milioni 339.02 mwaka 2021 hadi Tsh. Bilioni 2.36 mwaka 2024/25 (Mwezi April, 2025)
SAMIA APP tweet media
HT
3
13
18
126
Michael Kasonkwa retweetledi
Michael Kasonkwa
Michael Kasonkwa@Kasonkwamichael·
TANZANIA IMEPATA DOLA ZA MAREKANI MILIONI 2,968 KWA KUUZA BIDHAA SADC Kwa Mwaka 2024, thamani ya bidhaa zilizouzwa katika soko la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ilikuwa ni dola za Marekani milioni 2,968 ikilinganishwa na dola za Marekani milioni 1,727.5 mwaka 2023
Michael Kasonkwa tweet media
Indonesia
0
1
2
30
Michael Kasonkwa retweetledi
Michael Kasonkwa retweetledi
Chama Cha Mapinduzi
Chama Cha Mapinduzi@ccm_tanzania·
RAIS SAMIA: HATUTARUHUSU MTU YOYOTE KUVURUGA AMANI YA NCHI YETU KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE✅
Eesti
72
39
141
14.1K