Boyfriend Babu
113 posts

Boyfriend Babu
@KennyBankroll
OWN YOUR MIND, MIND YOUR OWN 🚩






Imefika wakati tuweke record clear. 1. Haya malipo yote ya matibabu ya ndugu yetu @Sativa255 akiwa Dar Salaam yamelipwa na watu watatu 👉🏿Mh. Rais Milion 35 ambazo zimeingizwa kwenye Account ya Aga Khan, 👉🏿Shirika la THRDC Milioni NA 👉🏿Kiongozi @zittokabwe Milioni 10 ambazo aliingiza moja kwa moja akaunti ya Aga Khan. 2. Zitto pia alilipa gharama za hospitali huko Katavi, gharama za escort ya polisi, gharama za mhudumu wa hospitali kumleta Sativa Dar na gharama nyengine. HAYA NI MUHIMU SANA YAWEKWE WAZI ILI KUFAHAMU PESA ZILIZOCHANGWA X ZIMETUMIKA KUFANYA NINI KINGINE? 3. Katika harakati ni dhambi kubwa kutosema ukweli. Mliokusanya michango mtuonyeshe ankara za malipo yote yaliyofanyika kwani za Rais, THRDC na Zitto tunazo. 4. Tusitoke kwenye ajenda ya kuokoa uhai wa ndugu yetu kwa sababu za kisiasa. Kuna watu wanapiga kelele na kubeza jitihada lakini waulizwe wao wamefanya nini? 5. Suala la Mh. Rais kuchangia Zitto alipokua hospitali aliwaambia wote ikiwemo mgonjwa mwenyewe na Seif (ndugu anayekaa na Sativa Hospitali). 6. Tunasikitishwa sana na namna ambavyo kikundi cha watu wachache kinaleta chuki zao binafsi dhidi ya Zitto kwenye hili. tunaona wazi kuna kampeni ya kumchafua kwa kubeza kila jitihada alizozifanya kwenye hili SI SAWA. Hastahili hili alijitoa kwa moyo mmoja na wote kwa pamoja tulinde heshima yake kwenye hili.



Well mi sitaongelea tena hii issue though mi napitia mambo mengi sana since hili tatizo limetokea. Nimekuwa nikipigiwa simu mara kwa mara Mama angu anazima sometimes anafahamu ukaribu wa mimi na Sativa ulikuwaje so binafsi haamini kama mimi nipo salama yupo na mawazo nafanya kazi ya ku report kwenye simu yake kila baada ya lisaa limoja ikipita tu au akipiga simu isipopokelewa anapata hofu kubwa sana kuna muda anazima napigiwa simu naongea na mama kumsihi mi nipo salama. Toka Sativa amepotea nikiwaonyesha Ridea history za kwenye bolt zinasoma sjui 300k+ katika hela zote hizo sikuwahi toa hata mia mbovu kwenye mchango private transaction nimepokea kupitia namba yangu nyingine ila sikuwaza kwakua nampambania mwanangu kuna vingi sana nimepitia kwenye hii issue ya Sativa kama nilivoamua kukaa kimyaa kuhusu hayo mengine na hili pia ntakaa kimya kwanzia now. Mungu atasaidia kila kitu kitakuwa poa ntakuwa sawa. Binafsi naamini Miriam ana maumivu makali kunizidi🙏


NIMETUMIWA DM NIWEKE RISITI HII NI RISITI MOJA TUU KATI YA NYINGI ZILIZOLIPIWA. NASISITIZA HAKUNA MWENYE NIA MBAYA KWENYE HILI KILA KILICHOFANYWA NI KWA AJILI YA KUOKOA UHAI WA SATIVA. TUSIKUBALI KUTUMIWA KISIASA. UMETAKA RISITI IWEKWE PUBLIC HII HAPA ALAF KESHO NENDA HOSPITALI OMBA FAMILIA WAKUPE BILL UTAONA MIAMALA MINGINE. NIMEMALIZA🙏🏾




























