The Manywele

125.4K posts

The Manywele banner
The Manywele

The Manywele

@manywele_ze

When every thing is lost future remains.

Katılım Nisan 2022
5.1K Takip Edilen43.3K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
The Manywele
The Manywele@manywele_ze·
Repost hii iwafikie wasomaji na books addicted huko walipo wajue sehemu ni moja tu ya kupata hivi vitabu @Vitabu247 Wanapatikana Kariakoo Au piga 0752750830 Delivery ipo
The Manywele tweet mediaThe Manywele tweet mediaThe Manywele tweet mediaThe Manywele tweet media
Indonesia
21
51
95
92.4K
The Manywele retweetledi
BARADHULI🇹🇿
BARADHULI🇹🇿@Baradhuli2·
ENDELEENI TU KUSHANGILIA KIFO NA ITAKAPOFIKA ZAMU YAKE NAPO SHANGILIENI. Qur'an (21:35) "Kila nafsi itaonja mauti;na tunakujaribuni kwa mtihani wa Shari na Kheri. Na kwetu sisi mtarejeshwa. SOON🙏🏿
BARADHULI🇹🇿 tweet media
Indonesia
0
5
26
204
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Barabara ya Morogoro kutoka Dar inawezekana ndio Barabara kubwa na namba moja katika Nchi hii… Hii ni Barabara inayobeba uchumi wa Nchi hii, Magari yote kutoka Dar kwenda Mikoa ya Kaskazini, Magari yote yanayotoka Dar kwenda Mikoa ya Nyanda za juu kusini na Nje ya Nchi Zambia, Congo na kusini zaidi.. Magari yanayotoka Dar kwenda Mikoa ya kati, Dodoma, Singida Magari yanayokwenda Kanda ya ziwa na nje ya Nchi Rwanda, Burundi na Uganda.. Magari yanayokwenda Magharibi Kigoma, Tabora na hata Katavi .. Miaka 65 ni vibarabara viwili tena vimejaa mashimo tupu.. ikitokea breakdown magari yanasimama masaa manne, matatu kila siku. Sijawahi kupita hata nisikute mkwamo, watu wanateseka, uchumi unaharika na hakuna suluhu… pesa zinaibiwa na nyingine zinachezewa kuhujumu Chadema na kumnyanyasa kiongozi wetu Lissu badala ya kuhudumia wananchi.. Safari ya Morogoro - Dar km 180 inapaswa kuwa saa moja na dakika 20 tu… lakini mtu anasafiri masaa matano mpaka sita!!! Utajenga uchumi gani? Nchi gani makini itapitisha mzigo kwenye bandari ambayo hakuna hata miundombinu ya kusafirisha mizigo yao kwa mda.. Shame on you ccm.
Indonesia
45
85
397
10.8K
The Manywele retweetledi
BARADHULI🇹🇿
BARADHULI🇹🇿@Baradhuli2·
Kila siku tukiwaambia Chadema ni chama cha dini moja mnakuwa wakali. Yani Tajiri la kihaya @EsirEid pamoja na kupigania Chadema leo hii wamemkataa sababu ya dini yake. Chadema hawapendi Waislamu we angalia tu nafasi zote za viongozi wa juu kama kunamuislamu hata mmoja.
BARADHULI🇹🇿 tweet media
Indonesia
7
11
53
585
The Manywele retweetledi
BARADHULI🇹🇿
BARADHULI🇹🇿@Baradhuli2·
Hii page yenu ya kishoga nayo🚮😅 Mnatuambia wenyewe tumwage moto wa dragon tukimwaga mnaHide komenti na mnatupiga tofali. Hii sio haki😅
BARADHULI🇹🇿 tweet media
Indonesia
4
11
23
566
The Manywele retweetledi
BARADHULI🇹🇿
BARADHULI🇹🇿@Baradhuli2·
katika hali tu ya kibinadamu unaweza kuongea na baba au mama yako hivi? Huyu kichaa alikua mzalendo sana wa bangi.
Indonesia
11
14
65
2.3K
The Manywele retweetledi
BARADHULI🇹🇿
BARADHULI🇹🇿@Baradhuli2·
Yani kweli vijana ndo wamefikia huku?🤔
BARADHULI🇹🇿 tweet media
12
18
79
3.5K
The Manywele retweetledi
Tebbe 🫦
Tebbe 🫦@ms_tebbe·
Mwenyewe unaenda kwa bebi wako unajiachia,kesho unajikuta mtandaoni💔😒
Tebbe 🫦 tweet media
Indonesia
35
21
111
2.5K
The Manywele retweetledi
Cristiano Ronaldo
Cristiano Ronaldo@Cristiano·
Good to be back! 😎 Looking good 👍🏽
Cristiano Ronaldo tweet media
English
16.3K
39.3K
678.3K
33.6M
The Manywele retweetledi
Johari Mshana
Johari Mshana@joharimshana·
Asubuhi nilipita tena kwa Shangazi,. Nina ujumbe mnifikishie kwa Maria Sarungi /wanaharakati wamchangie shangazi apate furnitures mpya na jumamosi kesho ikiwezekana twendeni tukampangie nyumba na kufanya usafi!! Hapa ni nyumbani kwa mama yake Maria Sarungi,!
Johari Mshana tweet mediaJohari Mshana tweet mediaJohari Mshana tweet mediaJohari Mshana tweet media
Indonesia
26
20
64
12.5K
The Manywele retweetledi
BARADHULI🇹🇿
BARADHULI🇹🇿@Baradhuli2·
Mti wenye matunda.♥️
Indonesia
0
17
24
380
The Manywele retweetledi
M K
M K@MarryKayoa·
Hamieni Dar Tokeni Huko Tarime😊🤭
Indonesia
19
60
1.1K
121K
SATIVA17 X ( TWEETS)
SATIVA17 X ( TWEETS)@Sativa2555·
No future for Tanzania with Samia Suluhu hassani Repost 340
SATIVA17 X ( TWEETS) tweet media
English
31
131
416
4.2K
The Manywele retweetledi
millardayo
millardayo@millardayo·
Golikipa wa Klabu ya Yanga, Djigui Diarra amefungiwa kucheza michezo mitatu na kutozwa faini ya Shilingi milioni nne kwa makosa mawili ya kumshambulia Mwamuzi na kuonesha kidole cha kati wakati akitoka uwanjani baada ya mchezo kati Mtibwa Sugar uliochezwa katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Adhabu hiyo imetolewa na Bodi ya Ligi (TPLB) kupitia barua yake rasmi iliyotolewa hii leo Machi 27, 2026 ambapo imeeleza “Katika Mechi Namba 126 ya Mtibwa Sugar FC 1-1 Young Africans SC Mchezaji Djigui Diarra wa Klabu ya Young Africans amefungiwa michezo mitatu (3) na kutozwa faini ya Sh. 2,000,000 (milioni mbili) kwa kosa la kumshambulia Mwamuzi wa Kati wa mchezo tajwa hapo juu, mara baada ya mchezo huo kumalizika kwenye Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, adhabu hii ni kwa mujibu wa Kanuni ya 41:5(5.3) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Wachezaji.” “Mchezaji Djigui Diarra wa Klabu ya Young Africans ametozwa faini ya Sh. 2,000,000 (milioni mbili) kwa kosa la kuonesha kidole cha kati wakati akitoka uwanjani baada ya kumalizika kwa mchezo tajwa hapo juu Diarra ametenda kosa kwa mujibu wa Kanuni ya 41:5(5.4) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Wachezaji, kwa sababu kitendo hicho kinaashiria matusi na dharau, adhabu hii ni kwa mujibu wa Kanuni ya 41:5 ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Wachezaji.” #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
25
9
351
13.6K
The Manywele retweetledi
Johari Mshana
Johari Mshana@joharimshana·
Nimeamka na mastaa wa X, tunakuwa busy na kesi za siasa sanaa, embu tupate breakfast kwanza, hivi hii ndoa bado ipo au hizi stori za mtaani sio za kwelii 😂
Johari Mshana tweet media
Indonesia
13
24
135
25.8K
The Manywele retweetledi
Sports HQ
Sports HQ@sportshqtz·
Eti Okello anaona Aibu
Indonesia
16
16
78
5K