Kija
11.3K posts

Kija
@Kijab3n
Psalms 23:1. Exploring the world to create meaningful memories.

Rais Samia Suluhu amemteua Angela Kizigha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Aidha, Taarifa ya Ikulu imeeleza kuwa Prof. Palamagamba Kabudi ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), kabla ya uteuzi huo, alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Ikulu (Kazi Maalum). Wakati huohuo, Balozi Ali Jabir Mwadini ameteuliwa kuwa Katibu wa Rais. Zaidi jamii.app/UtenguziUteuzi… #JamiiForums



WANAUME: Acha mazoea na mke wa rafiki/ndugu/jamaa yako. ACHA!!


Rais Samia Suluhu Hassan amemzawadia gari mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba, ikiwa ni ombi la mama huyo kwa Rais baada ya kueleza changamoto ya usafiri inayomkabili. Aidha, zawadi hiyo imetolewa kwa kuthamini mchango wa marehemu Kanumba katika kukuza tasnia ya filamu nchini.


JUST IN: 🇨🇳 Elon Musk says "China is rapidly reducing dependence on oil."




asking someone how they slept is stupid asf to me

i believe doctors leave the room to look things up on google





