VOMOUS🪽

4.1K posts

VOMOUS🪽 banner
VOMOUS🪽

VOMOUS🪽

@vom06

Home Is A Person Not A Place.

Earth Katılım Mayıs 2017
806 Takip Edilen1.4K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
VOMOUS🪽
VOMOUS🪽@vom06·
Trading is like a religion. Never talk about it with non-believers.
English
0
3
7
262
NICE (🎹🎸)MCHINA WINGA
Kuna muda mnasababisha tuonekane hatuna maadili Ila kuna watu wamejaa usenge sana humu 🚮 Jifunzeni kuheshimu watu
Indonesia
6
7
27
1K
Tegwollo
Tegwollo@RamRamcy·
Kitu isikudanganye juu uko na nguo nyingi uzichome ama uzifanye kama duster
Indonesia
6
41
111
1.2K
♟️
♟️@iamFallacy·
Kabla mwaka 2026 haujapinduka M/Mungu anibless watoto watatu. Inshaallah
Eesti
2
1
19
402
VOMOUS🪽
VOMOUS🪽@vom06·
@MTUMASHUHURI Hapo kwenye shimo lolote ni mtihani. Ukiweza hiyo, kufuatacho hutobagua jinsia. Mwombe Mungu akuepushe na hiyo kitu
Indonesia
0
0
0
2
MASTER MIND 🤔
MASTER MIND 🤔@MTUMASHUHURI·
Ukiachana na uzuri wa sura na tako , uzuri mwingine wa mwanamke mrembo ni kua open minded na kunyanduliwa style na shimo lolote lile bila masharti bila kukataa 😎 . #Elimikawikiendi
Filipino
1
10
21
625
VOMOUS🪽
VOMOUS🪽@vom06·
Kabla sijaianza siku, Ee Mungu nashukuru kwa ulinzi wako.
Indonesia
0
0
0
1
Rezam Six
Rezam Six@rezam06·
Kuomba kabla ya kulala ni jambo la muhimu maana kuamka asubuhi ni majaliwa🙏
Filipino
1
4
17
129
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Kuuguza ni ibada mana sio kila mtu anaweza. Ukiona mtu anamuuguza ndugu yake yeyote yule mtie moyo sio rahisi. Hao watu wanapitia mambo mengi sana sio mchezo
Indonesia
7
21
136
2.7K
JIGA📌📌
JIGA📌📌@EddyAman5·
Kama wewe Unahisi Unyenyekevu kwako ni Utumwa Usiolewe📌
Indonesia
2
10
25
332
Dr SALUMU
Dr SALUMU@Dr_salumu·
Ishi na watu jinsi walivyoamua kuishi na wewe, watakacho punguza na wewe punguza watakacho ongeza na wewe ongeza. Maisha ni UNAFIKI yani kuuma na kupuliza.
Indonesia
2
22
57
1.1K
UPTOP G
UPTOP G@Wahome005·
Kufanya kazi na millennials ukiwa genZ self control ndio inakuokolea
Indonesia
8
24
79
1.3K
LAST BORN🇹🇿
LAST BORN🇹🇿@Last_born97·
Mafanikio hayaji kwa jaribio la kwanza. Dunia huwapa nafasi wale tu wanaothubutu kupigana tena na tena. Usichokipigania, hautakipata.📌
Indonesia
4
8
38
516
Brave man
Brave man@thomas_yona_·
Ili Mwanamke akupende kwa dhati hakikisha anajua una wanawake wengi😀😎
Indonesia
2
6
30
591
Muuza viatu🌹
Muuza viatu🌹@Agnesskanje·
Wanaume huwa mnapata wapi hela mpaka za kuhonga😒
Filipino
13
7
71
2.2K
~BINGWA⚡
~BINGWA⚡@BingwaIK·
Ni siku nyingine ya kumtanguliza Mungu kwenye kila Jambo, Good morning🌅,
Filipino
11
14
22
109
Muthee Moris〽️
Muthee Moris〽️@Thee_CIC·
Kuna kitu inaitwa God's Grace hii ndio inatusukuma hii town buana
Filipino
9
128
696
5.8K
MRENO⛑️
MRENO⛑️@mreno255·
Huku Arusha tunakemea ushoga na tunaanza msako wa nyumba to nyumba.Tukigundua una dalili za uchoko ni vipigo hadi ukome 📌📌👊🏿👊🏿
Filipino
12
13
55
1.9K
VOMOUS🪽
VOMOUS🪽@vom06·
Kama umeamka na hujamuomba Mungu, weka Simu pembeni na umshukuru kwa kukuamsha salama na umuombe akulinde na mitikasi ya siku nzima. Haichukui hata dakika ila ni muhimu sana.
Indonesia
0
0
0
2
Yosemite
Yosemite@Flagoff1·
Wanao ongelea mziki wa bongo wote 🖕🏾🖕🏾🖕🏾🖕🏾🖕🏾
HT
6
12
26
795
VOMOUS🪽
VOMOUS🪽@vom06·
@SamsonErnest_ Tena usiombe ukakaa karibu na watu ambao sio waamini, wanaona kama unawasumbua.
Indonesia
1
1
1
1
Samson Ernest
Samson Ernest@SamsonErnest_·
Watu watakerwa na tabia yako ya kuomba kitu hicho hicho kila siku, utaonekana msumbufu na kukosa adabu. Ila Mungu hakerwi na tabia yako ya kumwomba kila siku juu ya hitaji lako, tena unavyozidi kuomba ndivyo unavyoimarisha uhusiano wako naye, na siku moja utapokea majibu yako.
Indonesia
5
13
28
261