Kisindo

81 posts

Kisindo

Kisindo

@Kisindo1

Katılım Nisan 2017
122 Takip Edilen139 Takipçiler
Kisindo
Kisindo@Kisindo1·
@IAMartin_ Tutakuwepo NB; ungevua miwani wakati unazungumza, tukuone macho. Usikute na wewe unatucheka wafiwa kwenye tinted yako nyeusi. Hadi sasa hatuaminiani…
Indonesia
0
0
2
546
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Ndugu Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, umesahu haraka.. Wakati sisi tunasoma huko shule ya msingi tulikuwa tunakimbia mchaka-mchaka asubuhi. Katika mbio mbio zetu kuna nyimbo fulani tulikuwa tunaimbiashwa. Tulikuwa tunaimbishwa mdundo wa aina hii; “Idi Amini akifa, mimi siwezi kulia.. nitamtupa Kagera, awe chakula cha mamba”… hapo tunaruka na kupiga miluzi mingi. Au Idi Amini hakuwa binadamu? mlitufundisha kushangilia vifo wenyewe katika shule zetu.…… halafu JOBO alikuwa na matendo ya Idi Amini. Walifanana. Tulifundishwa kumchukia Idi Amini kutokana na matendo yake ya ukatili kwa binadamu. Hatukuchukia sura yake. Tulifundishwa na kuimbishwa hivyo.. Job Ndugai alizuia mjadala wa Tundu Lissu bungeni. Job Ndugai alizuia mshahara wa Tundu Lissu. Job Ndugai alizuia fedha za matibabu. Alikuwa mtu katili sana. Matendo ya watawala yanajenga na kuongeza chuki. Hayo mambo yanayokushangaza ni madhara ya chuki ambayo mmeijenga kwa kupuuza mambo mengi.. Ni kweli kwamba siyo utamaduni wa Kitanzania watu kushangilia kifo cha mtu tena ambaye mbunge wao kwa miaka zaidi ya 25.. unajiuliza kwanini wanashangilia! Lakini hadi watu hao wanaingia barabarani na kuanza kushangilia kifo cha mbinge wao, ni wazi hawaridhishwi na utendaji wake katika madaraka aliyowahu kushika.. Hatujachelewa sana, tunaweza kurejesha umoja na mshikamo wa asili ambao tumeishi tukiona upo. Tendeni matendo mema tu. Unganisheni jamii iliyo na hasira. Matendo ya kupora haki ya watu kuchagua na kuchaguliwa yanaumiza sana jamii. Watu wanaongozwa na wasiowachagua. Watu wanachaguliwa viongozi. Matukio endelevu ya watu kutekwa na kupotezwa yanazidi kuongeza chuki ya wazi kwa Serikali na watumishi wa umma. Serikali ipo kimya tu. Inakera. Pia, ukandamizaji wa haki za msingi; kuwanyima wengine haki za kukutana na kufanya siasa inaongeza chuki kubwa. Mnafungia chama kikuu cha upinzani? Fikiria; sasa hivi tumefikia hatua ya kuwazuia watu kukusanyika na kufanya ibada kwa kuwa Askofu wa Kanisa alipinga UTEKAJI na kuunga mkono NRNE. Mnatakiwa kujirekebisha. Watu mliopewa madaraka ya kuongoza watu hamtakiwi kuwatawala. Mnatakiwa kuwaoangoza watu. Tatizo mmekuwa watawala. Usipoelewa kwanini wananchi wanashangilia mbunge wao kwa miaka 25 basi huwezi kulitatua tatizo katika jamii yako….. utakwenda Kongwa na kisirani sana. Unaweza kutumia vyombo vya ulinzi katika wilaya kuagiza walioshangilia barabarani katika kijiji hicho wakamatwe; utawashtaki kwa makosa gani? NB; ungevua miwani wakati unazungumza, tukuone macho. Usikute na wewe unatucheka wafiwa kwenye tinted yako nyeusi. Hadi sasa hatuaminiani…
Martin Maranja Masese tweet media
Indonesia
67
173
1K
50.1K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️PIGA KURA‼️ Ukiambiwa leo uchaguzi ni wa haki na huru upige kura A = Samia Suluhu B = Tundu Lissu C = Dorothy Semu Jibu na herufi au jina na piga kura ktk poll 👇🏾 hapo next tweet
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
940
210
1.4K
86K
Kisindo
Kisindo@Kisindo1·
@Sirjeff_D Wazo zuri kaka,atafutwe tuchange kile tutakachobarikiwa
Filipino
0
0
1
56
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Waungwana, mimi naamini kwa asilimia 100 huyu mshua aliyenyooka tunaweza kumtafuta na kumpata... tumchangie kakitu kadogo, hata buku-buku. Au mnasemaje wadau?
SIR JEFF⚡🇹🇿 tweet mediaSIR JEFF⚡🇹🇿 tweet media
Indonesia
123
214
1.9K
56.9K
Kisindo
Kisindo@Kisindo1·
@zittokabwe Ukumanina ni mwingi sana unalindaje kura ilhali ACT mmekubali kushriki uchaguzi usio na haki??Nipige kura niilinde why ?
Eesti
0
0
0
13
Kisindo retweetledi
KIDUKU
KIDUKU@TanzaniaOneJezi·
Watanzania Amkeni Usingizini😴😴🔥🔥 Naombeni RT 200🤝
KIDUKU tweet media
Indonesia
19
251
871
17K
Kisindo retweetledi
KIDUKU
KIDUKU@TanzaniaOneJezi·
Njia Pekee Ya Wewe MWANANCHI Kulinda KURA Yako Kwa Wivu Mkubwa Ni Kukaa Nayo Mwenyewe. Ukiiweka Tu Kwenye Box Ushaliwa Tayari. NO REFORM NO ELECTION Naombeni RT 200🤝
KIDUKU tweet media
Indonesia
44
368
1.5K
35K
Kisindo retweetledi
Madenge
Madenge@rollymsouth·
We RT tu
Madenge tweet media
Indonesia
96
3.9K
6.5K
158.5K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Ukisikia “KAZI NA UTU”, ndiyo hiyo 👇 sasa. Hongera sana rafiki yangu ⁦@mrishogambo⁩ kwa KIVUKO BORA na cha TATU UIMARA DUNIANI. Wale WANAOKUPIGA VITA, nawaambia; WATASUBIRI SANA. Mrisho Gambo TUNAE na TUNATAMBA NAE.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
64
47
410
23.2K
Kisindo
Kisindo@Kisindo1·
Mzee Mbowe amekaa kyika kama vile aliyekamatwa siyo mwenyekiti wa chams chake hata kuongea ki unafiki ameshindwa
HT
0
0
0
11
Kisindo
Kisindo@Kisindo1·
@rollymsouth Nimejiuliza tu hivi hiyo B30 isingewezekana kupata engineer akatengeneza paa la kufunga na kufungua?? Hii nchi bhana wizi kila sehemu
Indonesia
1
0
1
1.6K
Grok
Grok@grok·
just grok it
English
23.5K
3K
34.7K
72.5M
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Inaweza ikawa positive au negative wereva lakini CDM wameteka attention ya nchi kuanzia mwishoni mwa mwaka jana mpaka sasa hivi!! Matukio after matukio!!
Indonesia
73
196
2.1K
51.8K
Kisindo
Kisindo@Kisindo1·
@fbuyobe Paratrooper kusoma uzi mmoja no Tsh 3000?
1
0
0
280
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Kabla sijaandika THREAD HII,nilijipa muda wa kutosha , kuthibitisha na kujiridhisha na niliyoaandika Uzii huu ni sensitive sana ,kwani unaweza kuharibu biashara ya mtu au wadhifa wake Lakini , kwanini nidanganye , ingali naweza sema ukweli ? MR KUKU -Tariq Machibya THREAD 👇
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
21
81
653
145.5K
Kisindo
Kisindo@Kisindo1·
@TBoundBuses Vipi mzee hii imekuja kweli kwa RoRo?? mbona inabebwa juu juu kama excavator??
Suomi
1
0
1
877
Victor
Victor@victormatara·
@Kisindo1 Thank you, Makambo Mibale by Faya Tess.
English
1
0
0
109
Victor
Victor@victormatara·
Sights and scenes from the Nithi Bridge View Point. Tharaka Nithi County, Kenya 🇰🇪
English
3
38
133
7.4K
Kisindo
Kisindo@Kisindo1·
@Sativa255 Unakuwa na cheo kikubwa ila una stafu with zero legacy, kweli africa ni shit hole countries Tz ikiwemo
Filipino
0
0
0
25
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Ukiiona hii sura unajua kabisa kinachoongelewa ni UCHUNGUZI usio na majibu.🤝
SIR TIVA tweet media
Indonesia
45
68
1K
51.8K
Kisindo
Kisindo@Kisindo1·
@MwananchiNews Uhuru mnaousemea ni upi?? Majuzi tu mlikula ban ya mwezi mmoja jana mmetoka kifungoni eti uhuru wa habari umepanda,kuweni na adabu basii sisi tuna akili na tunaona kinachoendelea.
Indonesia
0
0
0
18
Kisindo
Kisindo@Kisindo1·
@HerbalistChief Dr,you are doing a great job.I have non stop thirsty is there any remedies to cure this?
English
1
0
0
928
ChiefHerbalist
ChiefHerbalist@HerbalistChief·
If you have family history of 🌿Cervical cancer 🌿Breast cancer 🌿Colon cancer 🌿Brain cancer 🌿Prostate cancer Normalise drinking dandelion leaves tea as often as possible. Nature heals.
ChiefHerbalist tweet mediaChiefHerbalist tweet mediaChiefHerbalist tweet mediaChiefHerbalist tweet media
English
152
1.9K
5.3K
344.9K