codeclay
518 posts

codeclay
@LTibursius
Curious on Ancient life, Archaeological Researcher🦴, loving Coding (mashine learning)💻🔌as best part of my hobby.
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ağustos 2021
725 Takip Edilen123 Takipçiler

@gabyconscious nilikua nasau zote Ile ya HESOYAM🔥 jarb PUBG au CALL OF DUTY uko nimepata new friends
Filipino

Kaka @YesayaSoftware, kusema kwamba "with AI unaweza kuwa chochote unachotaka" ni bold statement sana.
Lakini ukweli ni kwamba THIS IS NOT TRUE.
I will tell you why...
Naelewa uko kwenye tech business, so I will be technical kidogo meanwhile nikijitahidi kuwa rahisi kwa kila mtu kuelewa.
Tuanze na swali rahisi: Unajuaje mtu anapokudanganya?
Seriously how?
Ni kwa sababu una "version ya ukweli" kichwani mwako. Unapo-compare unachoambiwa na unachojua, unaona utofauti. Hivyo ndivyo unavyojua huu ni uongo. Kama huna "Internal Truth" huna uwezo wa kutofautisha ukweli na uongo. Unakuwa mateka wa kile unachoambiwa.
Hapa ndipo kauli yako inapofeli: AI (LLMs) they are not intelligent; not for a single bit.
Ni machines ambazo zipo vizuri sana kwenye kutabiri neno linalofuata (Probability).
Kuiambia AI ifanye kitu na ikakifanya, haimaanishi imekifanya kwa usahihi. Kama huna ujuzi kichwani (knowledge AKA "internal truth"), huwezi kujua kama AI inakupa suluhisho "sahihi" au inakupa "code slop" that kind of looks good.
Kwa @Master_pizo: Hongera kwa kutoa app ya Flutter bila kujua code. Ila kutoa app bila kujua code haikufanyi kuwa "Developer."
Kwa nini?
Kwa sababu huna uwezo wa ku-verify kama hiyo app ilitengenezwa kwa usahihi.
I will give you an example...
Unajuaje kama hiyo app iko secure? What if the AI made a mistake and left a vulnerable section on the app?
Kama kesho ikipata watumiaji laki moja, itastahimili ku-scale?
Syntax ya code ni mechanical part na ni rahisi. Engineering ni kuhusu modeling problems, defining boundaries, na ku-anticipate failure modes.
"Kuwa" kitu fulani (Identity) kunahitaji Authority. Bila maarifa, huna authority juu ya unachozalisha; wewe ni project manager tu, siyo engineer.
Kuna kitu kinaitwa Jevons Paradox: Kitu kikiwa rahisi kuzalisha, matumizi yake yanazidi na complexity inaongezeka. Hii ni kwasababu instead of doing less as we thought we would, now we do even more.
AI inapunguza "effort", lakini inaondoa "mental simulation", ile misuli ya ubongo inayokusaidia kuelewa kwanini mfumo unafanya unachofanya. Bila hii, huwezi "kuwa" mtaalamu kwa sababu huwezi ku-reason kuhusu matatizo magumu juu ya hicho unacho tengeneza.
In a nutshell: AI ni nzuri kwa prototyping na building a quick MVP, lakini huwezi kuwa chochote unachotaka kwa sababu tu una AI, atleast not yet. AI ni "multiplier of ambition" lakini siyo mbadala wa utaalamu. Ukweli ni kwamba AI inahitaji binadamu mwenye "ukweli" wake kichwani ili iwe na tija. Bila ujuzi, AI haikufanyi kuwa mtaalamu, inakufanya tu uwe muumini wa mashine unayoiamini kwa upofu. Coding isn't solved; it just got noisier.
Yesaya Software 🇹🇿@YesayaSoftware
@patrick_forreal Leta ukweli wako tujenge hoja. Au chochote umechukuliaje? Nilimaanisha unaweza itumia kwa kila sekta na kurahisisha na kuboresha majukumu yako. Ninaweza nisiwe na ujuzi fulani kupitia AI ikaniwezesha kufanya mambo kadhaa na yenye tija. Haya karibu tupe ukweli wako.
Filipino

@BornfaceJay Even if you’re Microsoft you will still not excel
English

@pranavcodes_ I have tried both. The problem is if I try it with music on, you won't find me at my chair. I would probably be hitting the moves.
English

@Tech_girlll I do read occasionally but mostly prefer practical learning
English
codeclay retweetledi

0.3 $Sol Giveaway
RT + Follow @arthurcoins 🤝
Drop $Sol addy below
4 Hours
English



















