Sabitlenmiş Tweet

@slimsalmusic- B.L.I.N.D Album Uzi📌
Kuna kitu kimenisukuma kidogo kilichonipelea kutaka kuielezea hii Album kidogo kitu hicho sio kingine bali ni mapenzi yangu binafsi juu ya game ya Hip Hop na Rap game kwa ujumla, so na hili swala la kurudi kwa soko la Album kwa sasa hivi

Indonesia




























