Mtaalamu🙏

37 posts

Mtaalamu🙏

Mtaalamu🙏

@ReaganAmon

Barcelona fan ❤💙

Katılım Kasım 2022
28 Takip Edilen7 Takipçiler
🕸🦂Nagu Jr.🕸🦂
🕸🦂Nagu Jr.🕸🦂@LalykillerJr·
@SimbaSCTanzania Kiufundi unashangaa inakuwaje Maema yupo uwanjani huoni kitu, unafanya sub ya Mpenzu anayekupa uhai mbele Maema bado yupo uwanjani, unafanya sub ya Loemba na Maema bado yupo uwanjani alafu unataka kutafuta mchawi hapo wakati game ameiua kifo cha mende kabisa .
Indonesia
9
0
20
2.4K
BARÇAGUY
BARÇAGUY@blackculer·
Dogo kila siku akipewa nafasi anafanya balaa 🙌🏾
BARÇAGUY tweet media
Indonesia
7
7
67
654
SportsArenaTz
SportsArenaTz@SportsarenatzTz·
🚨 WAKATI Kibu Denis mkataba wake na Simba ukitarajiwa kumalizika mwisho wa msimu huu, taarifa mpya ni kwamba muda wowote kuanzia sasa, klabu hiyo itakamilisha makubaliano ya kumuuza kwenda Al-Nasr ya Libya. Dau walilowasilisha Walibya hao ni dola 300,000 (Sh770 milioni za Kitanzania) ambapo kinachofanyika sasa, ni kumalizia hatua za mwisho.
SportsArenaTz tweet media
Indonesia
20
19
512
24.6K
Barça Universal
Barça Universal@BarcaUniversal·
82' Rashford and Gerard Martin are replacing Raphinha and Eric Garciá.
Barça Universal tweet media
Română
15
7
333
16.9K
Mtaalamu🙏
Mtaalamu🙏@ReaganAmon·
@the_animal99 @BracuszCadabra Changamoto ya simba hakuna mtengeneza nafasi strikers wanahangaika sana kujitaftia mali na mali ikidondokea miguuni kwao ni ile ya papatu ila dogo ni mzuri ni swala la mda tu
Indonesia
0
0
1
6
animal
animal@the_animal99·
@BracuszCadabra Ni mpambanaji ila la muhimu zaid afunge ndo anachotakiwa kukazia hapo. Story kama teka la asenyoo hatutaki sijui anakaba mara sijui ana nini hatutaki. Teka ni kufunga tu
Indonesia
2
0
5
445
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
🚨Simba SC wamekamilisha usajili wa mshambuliaji mzawa Baraka Mwangosi kutoka Mbeya City Uongozi umefikia Hatima hiyo baada ya kuridhishwa na kiwango chake kwenye majaribio ya siku 10
BracuszCadabra tweet media
Indonesia
26
11
270
8.2K
Mtaalamu🙏
Mtaalamu🙏@ReaganAmon·
@Iam_foncie @MickyJnr__ Binafsi nawaelewa simba vizuri sana kocha hana mbinu ukiangalia wachezaji wapya waliokuja uchezaji wao ni sawa na wale walioondoka timu haina muunganiko kila siku kwahyo hapo changamoto sio wachezaji ni kocha
Indonesia
0
0
0
142
foncie
foncie@Iam_foncie·
@MickyJnr__ Matumizi mabovu ya Rasilimali Fedha, unasajili wachezaji kwa mahitaji ya kocha, dirisha linafungwa, msimu haujaanza Kocha anaondika, aje kocha mwingine na baadhi ya wachezaji hasiwahitaji, tunaanza Tena upya, hili timu sijui inaendeshwaje, ndo maana tunafungwa na Yanga Kila siku
Indonesia
3
2
11
7.1K
Micky Jnr
Micky Jnr@MickyJnr__·
🚨 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐢𝐧𝐠: Coach Fadlu Davids has left Simba SC with immediate effect. Yesterday’s 1-0 win over Gaborone United was his final game in charge. Fadlu, a respected professional inside and outside the club, decided to move on after certain things didn’t go as planned. He did not travel back with the team from Botswana, instead flying to Johannesburg to prepare for a new challenge. He departs alongside four of his key assistants — first assistant coach, goalkeeper coach, analyst and biokineticist. For now, Matola and Riedoh Berdien will lead the team as Simba prepare for their next Premier League clash against Fountain Gate. It’s a tough moment for Simba fans, but as they say, everything that begins must one day end. What are your thoughts on this big development? 💭 #NguvuMoja #AfricanFootball
Micky Jnr tweet media
English
149
127
1.8K
134.7K
Mtaalamu🙏
Mtaalamu🙏@ReaganAmon·
@MashabikiT Anafeli sana huyu mwamba anafanya usajili kwa kukurupuka wakati kuna watu wapo tu wazuri na kwa bei ndogo
Indonesia
1
0
0
6
Mtaalamu🙏
Mtaalamu🙏@ReaganAmon·
@fumbokhanJr Mashabiki tunafeli sana hakuna mchezaji ambae hakosei mara ngapi che melon anakosea sema timu inambeba kwa kupata matokeo, tumuache dogo kukosea ndo kujifunza
Indonesia
0
0
2
97
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Sasa naanza Kuelewa kwanini alisema Simba Hakuna Kioo Chake, daaah he drop us on winning de league 😭😭😭
Fumbo Khan tweet media
Indonesia
34
16
640
16.1K
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
HIVI NAOMBENI ELIMU HAPA, HUKO GOMAA CONGO KWANINI WANA VITA KILA KUKICHWA.?? KWANINI HIYO VITA HAIISHI? HIYO VITA INAHUSISHA PANDE ZIPI?
Filipino
171
21
644
88.2K
Mtaalamu🙏
Mtaalamu🙏@ReaganAmon·
@SimbaSCTanzania Simba tuache kuridhika asee tunagoli mbili na tunauwezo wa kufunga kabisa ila tunacheza kama tumemaliza kila kitu timu inacheza kwa kiwango cha chini sana tubadilike asee
Filipino
0
0
0
78
BeksFCB
BeksFCB@Joshua__Ubeku·
Predict the full-time score for the Dortmund vs. Barcelona match and win 5K. Good luck. 👊
BeksFCB tweet media
English
233
34
548
17.8K
NYIGU® 🐝
NYIGU® 🐝@HamisiMaulidi13·
Huyu jamaa pale Azam tv ndio mtangazaji pekee Ambae anaongea kiswahili fasaha na kilichoenda shule.🫡🙌
NYIGU® 🐝 tweet mediaNYIGU® 🐝 tweet media
Indonesia
57
46
1.6K
67.1K
Atinuke
Atinuke@Oluwaseunluve·
@iamphinehas1 If you believe...... You know what to do.
Atinuke tweet media
English
37
6
359
93.3K
Mtaalamu🙏
Mtaalamu🙏@ReaganAmon·
@azamtvtz Kuna maneno ya kizungu yanapita hapo ni balaa
हिन्दी
0
0
0
20