
it could be today grandma
2.6K posts

it could be today grandma
@LamelaEric008
It's all about step



NOT TWEETING UNTIL ARSENAL WIN THE LEAGUE 🤝




@Maestrowafact Ifike wakati mimi na wewe tumalize tofauti zetu boss wangu😂😂😂😂😂😂😂 dah🙌





Safari ya kwenda jiji la Dar es salam imewadia naombeni mje mbezi kunipokea Mwalimu wenu🙏🫶 #NewBeginnings ❤️









@Wakazi Acha kumuongelea Neymar kama unaiongelea CCM, bro. Usijaribu ku-compare ile MSN na Takataka ya aina yoyote pale Barcelona ukiwaweka kando Cruyff na Ronaldinho. Katika Top 10 Legends wa Barcelona, Neymar yumo Casemiro awe juu ya Cr7? Pale united? How? Kisa aliondoka? No way....



Bruno Fernandes is by far the better player than Iniesta. Muweke Bruno kwenye zile timu za Spain na Barcelona atapata assists 40+ kila msimu. Muweke Iniesta kwenye hii United team hatoweza kupata assists hata 5. Iniesta anaishi kwa lile goli la final 2010 tu


🚨🇧🇷 OFFICIAL: Brazil release full World Cup squad by Carlo Ancelotti. ✅ Neymar Jr ✅ Alisson ✅ Endrick ❌ João Pedro ❌ Bento ❌ Andrey Santos ❌ Thiago Silva


My uncle died in 2005 alikuwa na rafiki yake ambaye aliendelea kumjulia hali na kumtembelea mama yake (bibi yangu) miaka yote mpaka alipofariki 2021; Bado anaendelea kuwatembelea nyumbani ndugu zake miaka 21 baada ya kifo cha rafiki yake. We all need this kind of friendship.















