Dr Ben
2.4K posts

Dr Ben
@kasezelo99
MEDICAL DOCTOR 💊🩺🖍|| STREET FOOTBALL COACH || AUTHOR || TABORA || KILIMANJARO || KIGOMA

@kasezelo99 @bonifacejoseph_ Kama umechukua kigezo cha iniesta alikua anapiga makona kama ya bruno sawa ila uyo piptida wenu bado sana kwa iniesta



Msimu ujao Arsenal wanabeba tena mana Chelsea wanaanza upya na Alonso, Liverpool bado wanahitaji maboresho makubwa, United itategemea pia na dirisha la usajili Arsenal ni suala dogo tuh "jinsi gani ya kumpunzisha Rice"😂



Bruno Fernandes is by far the better player than Iniesta. Muweke Bruno kwenye zile timu za Spain na Barcelona atapata assists 40+ kila msimu. Muweke Iniesta kwenye hii United team hatoweza kupata assists hata 5. Iniesta anaishi kwa lile goli la final 2010 tu


Ukisoma comments nyingi za hapa chini utagundua kuwa watu wanadhani AZAM ataenda na camera zake na mitambo yake kule wedikapu Ili waoneshe mechi 😀😀 kama uliangalia FCWC na LA LIGA kupitia Azam huwezi doubt kuhusu quality ya video. ELIMU ni muhimu sana wakuu.

@kasezelo99 😂😂 leo.mpaka nyumbu wenzio watakaa pemben kukushuhudia



Mzee hao wagonjwa huwauwagi kweli?? Unahudumu hospital gan nisije😂😂👏🏾.


@kasezelo99 @bonifacejoseph_ Kama knowledge yenyewe ndio hiyo hapana mzee inakuharibia


@kasezelo99 Ah qmmmmke we jauu 😅😅






