Legendy
600 posts



@Granitinho85459 @mzee_mbuzi Izo thawabu za ndoa wanaopata ni wakinan ni wanandoa au wahudhuriaji tofauti malipo ya wahudhuriaji kwenye mazishi yametajwa je malipo ya wanaohudhuria ndoa ni yapi
Indonesia

@Legendyfx @mzee_mbuzi ibada ya kufunga ni nusu ya dini! na itakapotokea kuna msiba at same time kuna ndoa mfano bibi harusi au babu harus wamepata habari ya msiba wa mzee wao basi inatakiwa ndoa isihairishwe wafungishwe ndoa then msiba ufate
Indonesia

@Granitinho85459 @mzee_mbuzi Iyo ni kwa wana ndoa sio wahudhuriaji mi naongelea waliohudhuria ndoa na waliohudhuria mazishi
Indonesia

@mzee_mbuzi @Legendyfx ibada ya kuoa ni sawa na nusu ya dini
Indonesia

@Granitinho85459 @mzee_mbuzi Ndio wanaohudhuria kuzika wana ujira mkubwa kuliko waliohudhuria ndoa Mtume PBUWH anasema ujira wake ni sawa na milima miwili mikubwa ya thawabu
Indonesia

@VungaEl74 Kuna yule mwingine alisema amesikia adhana. Michezo hii 😂
Indonesia

Mwanaanga Reid Wiseman anasema ALIGEUKA kuwa Mkristo baada ya safari yake ya kwenda mwezini.
"Hakuna maelezo mengine ya kile nilichokiona na kukipitia.
Tuliporudi duniani, niliona msalaba na kulia tu." Ukweli ni kwamba ukiangalia kila kitu na bado humwamini Mungu muumba basi ni wazimu.
Unafikiri kila kitu kimetokea tu? Somo la maadili: Karibu katika Ukristo.
Yesu Kristo ni mfalme

Filipino

@CypherSmithRowe Mbona tunao wasomi wengi tu na hawajagundua chochote
Indonesia

Hizo ni animation za ndege za abiria, ukitumia rockets ni miezi tu unafika na sayari zingine inachukua miaka kadhaa.
Qur'an inasema hatuwezi kuvuka Mbinguni mpaka Mungu aruhusu, Uzuri Mungu sio Maduro Voyager 1 ya mwaka 1977 mpka kufikia leo hii imeshavuka Solar System.
Mudi Mabiriani in Dubai@Mudimabiriani
Ukiangalia Video hiii utagundua kwamba maneno ya kwenye Quran ni ya kweli kwamba hakuna binadamu atakayetoka nje ya solar system au kwenye Sayari hii ya Earth kwenda kwenye sayari nyingine kuishi
Indonesia

@mmanyema5 @Geeee_123 We kazi yako itakuwa ni kuzika tu na wewe autakufa
Polski

@Geeee_123 Waache waendelee kuushi bila kuaga. Na sisi hatuwafatilii. Tutapokea miili yao tuwazike
Filipino

@Mikumifinest Hao hao wakina mathayo na luka mmoja anasema yesu alivaa nguo ya zambarau mwingine anasema alivaa nguo ya rangi nyingine na wote wanakiri walimshuhudia
Indonesia

















