Mbwidu
1.2K posts


@MukhtiarMu24755 @Samuel47857 @DanielFenelus2 @PiCoreTeam Why don't you go to CEX and fetch them? Buying Pi in CEX is free
English

@Samuel47857 @DanielFenelus2 I ask many times from moderators in chat room they did not give a fair Answer about this same Question
Some thing is wrong
Hope it's going to our favour
We need justice we mine pi since 7 years and some who did not participate and take more coins from Exchange
@PiCoreTeam
English

If #PiNetwork had accepted that the Pi of CEXs is equal to the Pi price given as a mining reward, power will be in the hands of the richest and there will be no equity, as they have been talking for years.
English

Kuna watoto bado wanaishi kwa hofu, sio kwa sababu ya wao ni nani, bali kwa sababu ya imani potofu.
Watoto wenye ualbino bado wanakabiliwa na vitisho, unyanyasaji na ukatili unaochochewa na taarifa zisizo sahihi.
Huu si wakati wa kukaa kimya.
Ni wakati wa kusimama, kulinda, na kupaza sauti. ✊🏾
Simama dhidi ya ukatili na imani potofu.
Linda maisha ya watoto wenye ualbino.
#HakiJumuishi
#WatotoWenyeUalbino

Indonesia

@swahilitimes Wasomi wetu hasa wabunifu na wahandisi vipi? Wale wanaojiitaga Eng. Arch.
.
Indonesia

🇧🇷 Brazil FIFA Men's World Ranking.
1992 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 3rd
1993 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 3rd
1994 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 1st
1995 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 1st
1996 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 1st
1997 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 1st
1998 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 1st
1999 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 1st
2000 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 1st
2001 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 3rd
2002 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 1st
2003 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 1st
2004 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 1st
2005 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 1st
2006 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 1st
2007 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 2nd
2008 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 5th
2009 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 2nd
2010 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 4th
2011 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 6th
2012 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 18th
2013 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 10th
2014 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 6th
2015 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 6th
2016 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 2nd
2017 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 2nd
2018 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 3rd
2019 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 3rd
2020 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 3rd
2021 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 2nd
2022 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 1st
2023 ➜ 🇧🇷 FIFA Ranking: 5th
SOURCES
Dataset name: FIFA/Coca-Cola Men's World Ranking (Year-End Positions)
Organization: FIFA.


English


VIDEO:
Mkurugenzi wa Uchaguzi kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima, amewatahadharisha wananchi na wadau wa siasa nchini Tanzania kuwa kuhamasisha watu kutoshiriki kupiga kura ni kosa kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024.
Akizungumza katika mahojiano na kituo cha televisheni cha UTV, Kailima amesema kifungu cha 129 cha Sheria hiyo kinaeleza wazi kuwa mtu yeyote anayetumia nguvu, vitisho, au njia yoyote ya udanganyifu ili kumshawishi mpiga kura kuacha kupiga kura anatenda kosa la ushawishi mbaya, na anaweza kuchukuliwa hatua za kisheria.
Kailima amenukuu kifungu hicho ambacho kinaeleza kwamba mtu yeyote anayetumia au kutishia kutumia nguvu, vurugu, au hila ya aina yoyote kumshawishi mpiga kura kupiga au kuacha kupiga kura anatenda kosa la kisheria.
“Kwa hiyo mtu yeyote kwa sasa, au kwa niaba ya mtu yeyote, anayeshawishi wapiga kura wasiende kupiga kura ametenda kosa kwa mujibu wa sheria hii, kifungu namba 129,” amesisitiza.
Amesema Tume inatarajia mamlaka husika kuchukua hatua kwa wale wote watakaobainika kutoa maneno yanayolenga kuzuia watu kushiriki kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Kailima amewahimiza Watanzania wote kutumia haki yao ya kikatiba kwa amani na kwa uwajibikaji, akisisitiza kuwa kutoshiriki kupiga kura ni mtu binafsi kujinyima nafasi ya kuchagua viongozi anaowataka.
“Niwaambieni wananchi wa Tanzania, usipokwenda kupiga kura utachaguliwa Rais usiyemtaka, utachaguliwa Mbunge usiyemtaka, utachaguliwa Diwani usiyemtaka kwa muda wa miaka mitano,” amesema.
Indonesia

Some believe that DevPis won't be able to tell the difference between a purchased Pi and a mined Pi.
They monitor all your transactions via exchange APIs KYB.if they can't identify the origin of your Pi,they'll use AI specifically designed for that purpose.
#PiNetwork
English

@mshambuliaji Wee nae kiazi kweli! Huyo Rais wa zamani ni yupi? Hana jina?
Filipino

Rais wa zamani wa Congo, aliyehukumiwa kifo Septemba 30, ameitisha kongamano la kisiasa nchini Kenya.
Kongamano hilo linakuja wiki mbili baada ya kuhukumiwa kifo na Mahakama ya Kijeshi ya Congo, ambayo ilimpata na hatia ya uhaini na uhalifu dhidi ya amani.
Katika hukumu hiyo,Mahakama ya Kijeshi iliamuru kutaifishwa kwa mali zake na fidia ya Mamilioni ya fedha.
Kwa mujibu wa taarifa, Rais huyo wa zamani wa DRC amewaalika wapinzani kadhaa kwenye mkutano uliopangwa kuanza leo Oktoba 14 jijini Nairobi.
#KitengeUpdates

Indonesia

@mshambuliaji Ila wew naye sometimes kilumbu kweli! huyo Rais wa zaman hana jina?
Filipino

@Dr_Picoin sometimes you discouraging people who engaging with Pi Network, sometimes you are encouraging! who kind people like you?
English

A few weeks ago, I promised to list business apps from the Pi App Studio that have strong potential and are worth staking your Pi to help improve their rankings.
Here are my two main categories so far:
1. Delivery Apps: Millions of Pi users will need delivery apps to order food and goods locally. These apps are an excellent way to enable peer-to-peer (P2P) Pi transactions while providing essential services.
2. Tutoring Apps: Likewise, many Pi users around the world will seek tutors for their children — and will be willing to pay using Pi. Tutoring apps are another great way to support and expand the Pi ecosystem through valuable service offerings.
I will continue listing more promising apps in the future. @PiCoreTeam
@nkokkalis @Chengdiao


English

@SimbaSCTanzania @mwigulunchemba1 @ahmed__ally Huyo anatafuta attention ya kisiasa, na mlivo watu wa ajabu kimewalamba
Indonesia

Waziri wa Fedha na Mipango na mdau wa michezo nchini, Dkt. Mwigulu Nchemba ameunga mkono kampeni ya kuhamasisha mashabiki kukataa jezi feki na kununua orijino kwa kununua jezi 200. #NguvuMoja




Indonesia

VIDEO:
Wakazi wa mtaa wa Maji ya Shamba wilayani Kondoa mkoani Dodoma wamelalamikia Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Kondoa (KONDUWASA) kufunga mita kwenye mradi wa maji uliopo maeneo hayo, wakidai kuwa mradi huo si wa serikali bali waliomba msaada kwa wahisani ili waondokane na adha ya upatikanaji wa maji safi.
Hayo yamejiri wakati wa mkutano wa hadhara wa mtaa huo uliofanyika baina ya wananchi na mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira ambapo Wananchi hao wameitaka mamlaka hiyo iondoe mita ili waendelee kunufaika na huduma hiyo yenye gharama nafuu.
Aidha serikali ya mtaa huo inayoongozwa na mwenyekiti Bw. Emmanuel Jonas amesema alifuatwa kuelezwa juu ya ufungaji wa mita hiyo ambapo alikataa kwa sababu suala hilo bado lilikuwa halijashirikishwa kwa wananchi.
Kwa upande wake Msimamizi wa usambazaji maji na usafi wa mazingira Kondoa kutoka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Kondoa (KONDUWASA), Boniface Mwamkinga amesema mita hiyo haizuii utoaji wa huduma bali walichofanya kama Mamlaka ni utaratibu utakaowasaidia wananchi kupata huduma pamoja na kufanya matengenezo ya miundombinu hiyo pindi itakapokuwa chakavu.
Indonesia


@DanielFenelus2 Pi Core team said any one saying that communicated with them regarding Pi Network programs is Liar, and you, seems to be a big liar!
English

The value of Pi is already predetermined, but they have faced a problem: the number of Pi in circulation is too high to produce a real value. That's why a dual-value system was created to support and value only a small amount of Pi.
Here's the truth:
#PiNetwork
English









