lightness wilson

36.5K posts

lightness wilson

lightness wilson

@LightnessWilson

Katılım Ekim 2022
3.5K Takip Edilen2.8K Takipçiler
lightness wilson retweetledi
Doctor Mishy🇷🇺
Doctor Mishy🇷🇺@SharonMontana20·
Huyu anakuaga kwenye vikao vyenu mbele pale Naona 😂
Doctor Mishy🇷🇺 tweet media
19
21
232
8.7K
lightness wilson retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Aisee, hii inaitwa hakuna wa kunifanya kitu na sijali. Watanzania nawaita mara 3, nchi imetekwa na majangili ni lazma kila mtu ajitoe. Hakuna namna. Hii haina u CCM tena wala uChadema tena. Huu ni wakati wa Watanzania woote kuungana ili tuwaondoe hawa mashetani madarakani. Aiseee, mnajua kimama hana aibu wala hajui vibaya. In short she doesn’t care anymore. Kaamua kuifirigisa nchi. Na bado kuna Mitanzania yenye low IQ inadhani kuna katiba mpya atayoleta huyu mtu.. Kibaya zaidi kuna Watanganyika bado wanaendelea na uchawa sababu ya kuendekeza njaa za kijinga.
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai

Sister @mangekimambi amkaaaa 😁 Angela Kizigha kateuliwa kuwa mbunge na shostiake @SuluhuSamia Ila jamani hawa kweli wanatuonaje!? Nyie @ccm_tanzania wa Tanganyika mliopo huko mna shida si bure Eniwei hakuna deka - aluta continua! #TutaelewanaTu

Indonesia
56
131
642
40K
lightness wilson retweetledi
Uncle Fafi
Uncle Fafi@Tanganyikan·
Kwa hii kauli ya "umama" usishangae Kisarawe wakipata DC mpya kabla jogoo hajawika mara 3.
Indonesia
33
22
227
38.6K
lightness wilson retweetledi
STUNNA
STUNNA@CavityDamas23·
Sijawai kukutana na hii situation tangu nimezaliwa aisee😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Baba angu kafariki leo Mungu akipenda tutakuwa pamoja tena wanangu Nawakubali sana nyie 🫶🫶🫶🫵
Indonesia
179
102
705
17.7K
lightness wilson retweetledi
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Hili ndo gazeti la kununua wapo vzr wamenyooka ✌️
SafariMlevi tweet media
Indonesia
4
20
104
3.4K
lightness wilson retweetledi
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Aliyekubali Ujenzi wa Kituo cha DART kuwa Jangwani Anyongwe
हिन्दी
2
65
222
8.2K
lightness wilson retweetledi
Hustler
Hustler@Feudal70·
Tamaa ya watu kwenye madarakani imewaua watu na kufunga watu kwa kuwasingizia kesi za uongo. Anaeteseka kwenye kuta za gereza na sakafu ndio kitanda chake, ni raia na kiongozi mwema anaependwa na taifa lake. Yule muuaji asiependeka anauwa ili aongoze wananchi. Muda waja atajinyea
Hustler tweet media
Indonesia
1
29
87
1.5K
lightness wilson retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Si mchezo 😁👊🏽 Tundu Lissu is ANTIFRAGILE Fanyeni utafiti maana ya hii sifa! Ni mtu au kitu ambacho kikipata stress yaani misukosuko si tu inahimili bali INAIMARIKA na kuwa bora zaidi! That’s what Lissu is! Challenges make him better and stronger Leo ni LARGER THAN LIFE inside and outside Tanzania Kimama chenu kingekuwa na busara angemwachia zamaniii! Tatizo anaona kama ligi zile za michambo za taarab eti ndo anamkomoa! Hivi hakuna wa kumshauri maana alishashauriwa ye hataki eti!? Nashauri Jaji Mkuu Masaju na majaji @judiciarytz wasimame kwenye haki na kuDISMISS the case! DPP atajibeba! Okoeni Taifa - kabla mambo hayajazidi kubumbuluka! Mi nawapa last benefit of doubt! Do the right thing! #FreeTunduLissu
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
6
84
413
11.3K
lightness wilson retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Wakongwe wa Twitter Republic tupewe heshima yetu 🤣 tulimpandisha kisukari mapema kimama! Vijirepublic tumo! Siku hizi kuna republic ya Instagram, republic ya Tiktok 😁😁 Kiukweli hawatupendi hawa madhulmat but it’s ok! Hatuhitaji watupende ila wasituteke, wasituue, wasitutese - watusikilize! Eniwei leo maoni tofauti ni uhaini eti! #TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Indonesia
26
65
393
24.8K
lightness wilson retweetledi
millardayo
millardayo@millardayo·
Mahakama Nchini Burkina Faso imemhukumu Waziri wa zamani wa Masuala ya Kiutu, Laure Zonga, kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya wizi wa fedha za umma, kujitajirisha kwa njia haramu pamoja na utakatishaji wa fedha. Kwa mujibu wa taarifa za Mahakama, Zonga alihusishwa na ubadhirifu wa kiasi cha faranga milioni 35 za CFA, ambazo ni sawa na takribani dola za Marekani 61,400. Fedha hizo zinadaiwa kupatikana au kutumika kinyume cha sheria wakati akiwa madarakani, jambo lililosababisha uchunguzi na hatimaye kufikishwa Mahakamani. Hukumu hiyo imekuja katika kipindi ambacho Uongozi wa Burkina Faso chini ya Ibrahim Traore umeweka mkazo mkubwa katika kusafisha mifumo ya utawala na kuwajibisha Viongozi wanaohusika na matumizi mabaya ya rasilimali za umma. Mbali na mapambano dhidi ya ufisadi, Rais Traore ametaja pia vita dhidi ya Wapiganaji wa itikadi kali, rushwa na utawala mbovu kuwa miongoni mwa vipaumbele vyake vikuu katika kuimarisha usalama, uwajibikaji na utendaji wa Serikali. #MillardAyoUPDATES.
millardayo tweet media
Indonesia
52
44
519
23.6K
lightness wilson retweetledi
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Hii nchi ni KOLONI LA WAZANZIBARI kwa miaka zaidi ya 60. Tulimfukuza mkoloni mzungu tukakubali kutawaliwa na wakoloni wa kizanzibari. Ndiomaana Mzanzibari kauwa ndugu zetu kwa maelfu na watanganyika tunamuangalia tuu. TUNATAKIWA KUOMBOA HILI TAIFA KUTOKA UTUMWANI HARAKA SANA.
SATIVA tweet media
Indonesia
48
149
953
29K
lightness wilson retweetledi
Nkota
Nkota@xlusako·
Habari za asubuhi watu wa Mungu👋🏾
Indonesia
13
12
34
571
lightness wilson retweetledi
Mwaki
Mwaki@Mwaki28·
Afya ni uhai, na kila mtoto anastahili kulindwa. #WatotoWenyeUalbino wanahitaji huduma muhimu ili kuishi kwa usalama: ☀️ Kinga dhidi ya jua 🧴 Mafuta ya ngozi (sunscreen) 👁 Huduma za macho Hizi si huduma za ziada tu, bali ni mahitaji ya msingi. Ni wajibu wa serikali na wadau kuhakikisha huduma hizi zinapatikana kwa wote, bila ubaguzi. #HakiJumuishi
Mwaki tweet media
Indonesia
2
22
19
406
lightness wilson retweetledi
BΞBΞRU
BΞBΞRU@incrediboss·
Kumekucha tena, Good morning 🌅
BΞBΞRU tweet media
Indonesia
57
110
852
28.4K
lightness wilson retweetledi
Laizer Mayon
Laizer Mayon@MayonLaizer·
"DPP na serikali pumzi imewakata, sasa wanakimbilia kwa Jaji Mkuu kujinusuru! Lissu amewabana kisheria mpaka wameishiwa hoja. Vituko hivi ni ishara ya mwisho wa mchezo. CCM tanzania, suluhu ni moja tu: #FreeTunduLissu na #SamiaMustGo. Hamuwezi kuzuia mafuriko kwa mikono—mnachelewesha yasiyoepukika tu. #TutaelewanaTu ✊🏾"
Laizer Mayon tweet media
Indonesia
4
65
217
6.5K
~BINGWA⚡
~BINGWA⚡@BingwaIK·
App gani haipo kwenye simu yako?
~BINGWA⚡ tweet media
Filipino
53
26
83
3.1K